Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jaman kunarafiki yangu moja alikuja kuniomba ushauri kwn anadai kuwa kila aki sex na girlfrnd wake inafikia wkt anazimia,ikishatokea hali hiyo jamaa anampepea mpaka anakuwa sawa! Jaman kma kuna...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Ndg wana jf, hv yaweza ktokea kwa msichana kutotoka hedhi hata pale sku zake za mwez alizo zizoea zinapo fika na kupita? Kama ndiyo, hali hiyo husababishwa na nini kama msichana husika si...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kuna baadhi ya watu wakivaa cheni za English Gold hata kwa masaa mawili tu wanawashwa sana na kutokwa vipele vingi shingoni ambavyo ukiona utadhani ugonjwa wa ngozi. Je kuna uhusiano gani hapo?
0 Reactions
9 Replies
6K Views
mahips, mawowowo, mashepu yanatudatisha kinyama wakati tukiingia kwenye sita kwa sita konsetresheni yetu yote ni kwenye kitumbua.
1 Reactions
32 Replies
9K Views
Habari wandugu! ningependa madaktari waliopo hapa wanisaidie kama kuna dawa yeyote ambayo imetengenezwa kwa ajili ya kuzuia mhemko? ( ambayo inaweza kuwasaidia wale ambao hawana mpango wa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Dawa Ya Mchungaji Ambilikile Mwasapile a.k.a Babu. Je Ni Ulaghai? Asalaam Aleikum, Aman iwe nanyi...! Wana JF, habari za miangaiko ya kila siku... Poleni na majukumu na miangaiko ya hapa na...
0 Reactions
91 Replies
17K Views
Jamani nawashauri wale wenye miili ipana na vitambi vitumbo punguza hiyo kitu kwa kunywa maziwa ya mgando kila siku. Download hio file hapo uzisome faida zake
0 Reactions
4 Replies
16K Views
A US man who was paralysed from the chest down after being hit by a car is now able to stand with electrical stimulation of his spinal cord. Rob Summers, from Oregon, said standing on his own was...
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Habari wandugu? Naomba madaktari waliopo hapa wanisaidie,hivi duniani humu kuna dawa ambayo ina uwezo wa kuzuia mhemko?( ambayo inaweza kuwasaidia wale ambao hawana mpango wa kuyaingia maisha ya ndoa)
0 Reactions
3 Replies
2K Views
FW: Heart Attacks And Hot Water..... Oh......... and did I mention the garlic? Heart Attacks And Hot Water A very good article which takes two minutes to read. Heart Attacks And...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
watu wa aina hii wanahitaji msaada
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimejaribu kufikiria nitume jukwaa gani nikashindwa lakini nikaona inawezekana nikapata msaada hata humu pia. Mi ni kijana nina miaka 30,nimehangaika sana kutoka lakini sijafanikiwa vile...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MAGONJWA YAFUATAYO NI HATARI MAANA YANAAMBUKIZWA KUTOKA KWA BINAADAMU KWENDA KWA WANYAMA NA WANYAMA KWENDA KWA BINAADAMU.=1=KIMETA (ANTHRAX), =2=KIFUA KIKUU(TUBERCULOSIS/TB), =3=BRUCELLOSIS...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu Heshima kwanza Napenda kuwauliza hivi Tanzania tunayo kinga ya Malaria inayotolewa na Hospital zetu kwani nauliza hivyo nimeona nchi nyingine naomba kuwauliza ili nijue inatolewa wapi...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Q: Can you catch a sexually transmitted infection from a toilet seat? A: No, sexually transmitted infections cannot be caught from toilet seats. Professor Basil Donovan There's nothing worse than...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu wenzangu kwanza habari za mahangaiko, leo ktk pitapita yangu nilibahatika kuona hii habari ambayo nadhani mimi binafsi na hata sisi wote kwa ujumla haswa my beloved Africa especially...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wana jf kuna swala huwa nashindwa kulipatia ufumbuz, nikwmba mtu anapougua kuna uzembe hapo au ni mambo ya mungu?naomben ufafanuz pls!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wana JF naomba msaada wenu kuna mtoto wangu ana fungus za ndani ya kinywa na ndani ya masikio kiasi kwamba hasiki vizuri kama mtu anafahamu tiba yake namba anifahamshe.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
MADAKTARI WA JF. ASALAAM ALEIK, NA BWANA YESU ASIFIWE SANA. Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la ALLERGY kwa miaka mingi sasa, ninachojua mimi ni kuwa nina maradhi hayo, hasa sitakiwi kugusa...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Although honey seems like a wholesome and natural food to give your infant, don't do it until after she's at least 12 months old. Honey can contain spores of a bacterium called Clostridium...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…