Men's Health
By: Angie Marcum
Break Studios Contributing Writer
Contrary to popular belief, it is important to know how dirty underwear affects men's health. Failing to wear clean...
UTAFITI unaoendelea kufanyika
wa dawa ya Mchungaji Ambilikile
Mwasapile wa kijiji cha Samunge
umebainika kuwa dawa inatibu
maradhi sugu na Shirika la Afya
Duniani [who] Kuikubali dawa hiyo...
Nipo Tumaini Hosp. Ndugu yangu amelazwa, Alianza kutumia ARV AUGUST 2010, akiwa na CD4- 219. April 6. 2010 akapima CD4 ikapanda mpaka 1000. Akaenda Kwa BABU LOLIONDO tar 11 april 2011. Baada ya...
Kuna wachungaji wa mshahara wanapotosha watu kuhusu mitishamba!!
Mtaani kwetu
Leo asubuhi nimemsikia mchungaji mmoja wa kanisa flani akikashifu dawa ya Loliondo, alikuwa akitoa muongozo wa...
Habari zenu waungwana!
Naomba mnaojua sababu zinazomfanya mtu aonekane mzee kuliko umri wake na jinsi ya kuzitatua,
Kwa mfano najua moja ni kunywa pombe kulikokithiri na solution ni kuacha au...
Ndugu zangu,
Naomba msaada wa vitu gani ni muhimu kwa chumba cha kufanya uchunguzi wa macho ya uoni hafifu kiastahili kiwe(necessities for Low Vision Test room to be). Naombeni ushauri. namaanisha...
Salaam wana JF, mi ni mama nna ujauzito wa mwezi mmoja na nusu, tatizo sipati usingiz kabisa nakesha hadi asubuhi, pia sipendi kunywa maji natapika sana. Naombeni ushauri wapendwa.
You are what you eat, so eat well. A stupendous insight of civilizations past has now been confirmed by today's investigative, nutritional sciences. They have shown that what was once called...
Habari,
Naomba wataalamu mnielezee vizuri hii kitu, inasababishwa na nini mpaka watu wanakuwa na low&high level. Madhara yake ni yapi kiafya kutokana na high level.
Asanteni
Ndugu zangu naombeni mnipe ushauri wenu kuhusu hili taizo ambalo la kiafya ambalo limekuwa kikisumbua mara kwa mara, tatizo lenyewe linausu kupata choo kigumu mara kwa mara na matokeo yake kufanya...
Ndg wana JF, jana nilikuwa nyumbani nimepumzka mchana, mke wa mshkaj wangu akanipgia simu tukutane baa flani kuna inshu anataka nimshauri.
Baada ya kukutana, anadai mshkaj huwa hamtoshelez, huwa...
Helow, mimi ninaboyfrend wangu ambaye ndie mume wangu mtarajiwa lakini tatizo ni kwamba karibia kila siku tukifanya tendo la ndoa lazima nitokwe na damu ukeni yaani akiwa kamaliza round ya kwanza...
naombeni msaada bha ndugu nasumbuliwa na tatizo kuwashwa sehemu za maumbile ya kijinsia. nimetumia dawa aina mbali mbali na hata kufika kutokuvaa nguo za ndani
lakini sipati suruhu, rafiki wa...
Habari zenu wakuu? Naomba msaada au udhibitisho wa kisayansi kama MAYAI yanaweza kutoa chunusi usoni kwa sababu nasikia tu juu juu kuwa MAYAI yanauwezo wa kutibu magonjwa ya ngozi kama chunusi na...
Uchunguzi wa NIMRI,MUHAS
Naye Leon Bahati anaripoti kuwa,Uchunguzi wa awali uliofanywa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Sayansi ya...
Ndg zangu naomba msaada,juzi nimepima malaria nikakutwa nayo 2,nikaanza matibabu ya cndano 5 za artem,pamoja na declopar kwa ajili ya maumivu maana mwili ulikuwa unamaumivu makali sana,jana...
Uchunguzi wa NIMRI,MUHAS
Uchunguzi wa awali uliofanywa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Afya na Tiba cha Muhimbili (MUHAS)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.