Wana JF mimi ni baba wa mtoto mmoja ambae anamiezi minne sasa
na jirani yangu pia anamtoto ambae umri wake unapishana na wangu kwa siku tatu lakini jirani yangu alianza kumnywesha mtoto uji...
Jana nilikuwa kwenye lift za jengo la PPF Tower. Mara nyingi nina tabia ya kupenda kuimba au kupiga mruzi hata ninapokuwa mwenyewe au hata niapotembea.
Lakini ninapkuwa kwenue public basi hata...
Mimi ni men nina tatzo kubwa sana mdudu wangu akisimama kwa muda mrefu sana inaweza nikawa na mwanamke hiyo siku basi natokea na matatizo ya sehemu ya juu kuuma kama nina ngiri sijui ni tatzo gani...
Kwa wale wenye satelite dish, kuna tv station inaitwa hope channel ambayo kwa kweli inavipindi vizuri na ushauri wa madoctor kuhusu matatizo ya afya ambayo mengi yanaepukika.
hey guys,i need ur advice on this..i hav a problem where semen leaks out of my dick as soon as i get aroused..i thought it resulted from masterbation and i stopped masterbating,bt it has been...
wadau naomba kuuliza ikiwa dawa ya babu wa Loliondo ni sumu na ina madhara Tanzania itakuwa na viongozi wangapi salama?idadi ya raia itabaki million 40 na zaidi kama ilivyo sasa?
nnajamaa yangu anatatizo la kushindwa kufanyakazi kwa figo.hali inayompelekea kuishiwa damu mara kwa mara ,je kwanini damu huisha mara kwa mara na je suluhisho ni nini ukiondoa kubadilisha figo...
Doctors, naomba msaada. Nina miezi kama minne nimekuwa nikisumbuliwa koo linalowasha kama mtu anayekaribia kupata mafua au kikoozi. mwanzoni hizi zilikuwa dalili za mafua au kikoozi kwangua...
Asalam alykum ndugu zangu kwa wale wenzangu amani ya bwana iwe juu yenu...
Have u ever seen some 1 allergic to lights..??? Ugonjwa kwa kitaalamu unajulikana Acute intermittent porphyria or...
Wapendwa wana JF naomba kupata ufafanuzi juu ya swali langu hili,"Katika kufanya mapenzi kuna wanaume wengine huwa wakishafika kileleni mara moja hawawezi kurudia tena mara ya pili mpaka labda...
Naombeni ushauri wenu wana Jf. Mimi nilipata ajali barabari hivyo kuna mfupa umevunjika sehemu ya nyongo ktk mguu. Hivyo naomba mnishauri sehemu ambapo kuna mtaalamu/watalaamu freshi wa...
Make sure you read the report attached and provide your insights in relation to the implementation of the research study, results and recommendations. I am inviting wanazuoni wote wa fani ya afya...
Ndugu zangu wanaJF hii imekuwa siri yangu ya muda mrefu bt leo naiweka wazi, ikiwezekana mnipe ushauri. Mwenzenu kwa muda sasa nimekua nikipatwa na yale matatizo ya kiume wakati wa mambo fulani...
JF member kama kawaida naomba kupata ushauri kuhusiana na tetesi ambazo nimewahi kuzisikia; eti chuchu zile ambazo zipo kama chupa au kikombe zinazo tumika kumnyoshea mtoto maziwa zina mazara kwa...
Habarin wanajamii wote humu ndani,natumain mu wazima wa afya! Wagonjwa polen na natumain MUNGU atawaponya! Sasa JF doc mi ninataka kufaham jambo moja! Kwamb haya maziwa ya Nido yanamadhara yoyote...
MCHUNGAJI Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Mwasapila, amewatoa hofu wagonjwa wa Ukimwi ambao wamepata tiba yake na baada ya kupimwa wameendelee kukutwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.