Habar zenu wana JF. kumekuwa kuna tatizo linalomkabili rafik yangu.kwamba kila anapokutana kimwili na mpenz wake amekuwa akiwashwa sana sehem za mgongo na kifuan. hivyo amekuwa akipata michubuko...
Heshima kwenu wanajamvi, nimekuwa na tatizo la kusinzia muda wa masomo hasa yale ambayo si ya Practical, naombeni msaada kama kuna dawa ya kufukuza usingizi maana nimejaribu kahawa lakini kama...
Jaman madaktar naomba niulize.Mke wangu alikuwa hedhi tarehe 12-16.Tareh 16 hiyo hiyo nimefanya nae mapenzi.JE ANAWEZA KUPATA MIMBA?Natanguliza shukrani kwa madaktar wa JF
Tafadhali kama kuna mtu yeyote anayeijua au anafanya kazi Hospitali ya IMTU, Mbezi. Jamani Hospitali yenu vyoo vichafu, mtoto anatapika mama anaambiwa azoe matapishi mwenyewe, tena kwa ndoo...
Karibu wana JF, namba kujuzwa mambo yafuatayo kuhusiana na mtoto mchanga.
Ni muda gani tangia kuzaliwa anaweza kutoka nje?
Ni muda gani tangia kuzaliwa anaweza kuanza kula chakula kingine zaidi...
Habari wapendwa, naomba msaada wa kupatiwa taarifa za clinic na massage centre nzurikwa ajili ya akina mama wajawazito iliyopo Dar es salaam. Nimewahi kusikia juu Primier clinic naomba wanaofahamu...
Nina mpenzi wangu na kweli nampenda sana! Ila huwa nakosa raha na hata hamu wakati wa kujamiiana! Yaani anakuw anatoa harufu kali sana uken wakati wa lile tendo! Kiukwel huyu mpenzi wangu ni msafi...
Another little tidbit that's news to me. Always knew to drink a lot of water, but who knew the timing effected things.
Drinking water at the correct time maximizes its effectiveness on...
As the old proverb goes, health is equivalent to wealth. In the modern world, often individuals are not able to take out time from their busy schedules and take care of their health...
Jamaani ndugu zangu nimejaribu kutumia dawa mbalimbali kama amoxilakini haijanisaidia,nasumbuliwa na kubanja kwani hata kucheka mbele za watu siwezi kwani nikicheka tu kidogo ninabanja hadi aibu...
Audio Njia Panda "Uponjaji" wa Loliondo pt. II
Audio iliyopachikwa hapo ni ya kipindi cha pili cha Njia Panda ambacho ni mwendelezo wa "Uponyaji wa Loliondo" kilichorushwa na redio Clouds FM...
Audio: Njia Panda - "Uponyaji" wa Loliondo
Audio iliyopachikwa hapo ni ya kipindi cha Njia Panda kilichorushwa na redio Clouds FM kila siku za Jumapili.
Kipindi kilichorushwa hewani tarehe 27...
Jamani wana jamvini naombeni nasaha zenu nina rafiki yangu ambae alinieleza kuwa bunduki yake imepinda kidogo kuelekea kushoto sasa alikua anauliza je kunatatizo? Coz ana tarajia kuvuta jiko na...
Naomba msaada, kila ninapopanda katika basi au kukaa pamoja na watu zaidi ya watatu nahisi kubanwa
na haja kubwa(stool).
Nikienda chooni kakitoki kitu na nikiwa katika usafiri baada ya kushuka...
Kwanza napenda kuwashukuru wanaJF kwa jinsi mnavyosaidia kuijenga jamii yetu.
Mimi ni mwanaume nimekuwa nikisumbuliwa tatizo la kuwahi kumaliza kila ninapofanya mapenzi na GF wangu tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.