TECHNICAL REPORT ON MIRACLE CURE PRESCRIBED BY REV. AMBILIKILE MWASUPILE IN SAMUNGE VILLAGE, LOLIONDO, ARUSHA
PREPARED BY
HAMISI M. MALEBO (Dip. Ed (Sc), B.Sc (Hons), M.Sc, PhD)1 &...
Habari wana jamii,
Nina imani nipo kwenye jukwaa sahihi kama sivyo basi mtanilekebisha hii ningeiweka wapi.
Kuna kitu huwa kinanisumbua akili yangu siku zote juu ta watoto wachanga wanapokuwa...
habar zenu wakuu,samahan napenda kuuliza kama kwa hapa nchini kwetu katika vyuo vya medicine(muhimbili,kairuki,imtu,kcmc,bugando etc.) wanatoa bachelor of medicine in neurosurgery. Asante!
Wanawake wengi hujikuta katika hali ambayo wamedhulumiwa; kihisia, numbani, na kijinsia. Usione haya ukijikuta katika hali hii kwa maana kuna watu wengi sana wanaopitia hali moja sawa na yako...
Sigara wavutazo ndizo zinazoua watoto wao
* Watafiti: Mimba ni mbalimbali na sigara
NA PETER ORWA
WATU wengi wanapenda kuvuta sigara. Lakini, si wote wanaojua kwamba athari hizo haziishii kwa...
NA EPSON LUHWAGO
HATUWEZI kupambana na ukimwi kama hatutilia mkazo katika mapmbano dhidi ya kifua kikuu.
Hiyo ni kauli ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Mzee Nelson Mandela, aliyoitoa katika...
Ndugu zangu,
Nime-ipost thread hii kwenye Jukwaa la Siasa siyo kwa sababu sijui jukwaa lake muafaka bali ni kwa sababu naamini hili ndilo jukwaa ambalo watu wengi na hususan viongozi wetu wenye...
By PIUS RUGONZIBWA, 21st April 2011 @ 12:53,
TANZANIA will next week launch a new anti-malaria drive in which drugs are to be widely availed in private and public outlets at subsidised prices, as...
Wana JF najisikia raha kuwepo kwa JF imenisaidia mambo mengi sana na uhakika hata kwenye hili nitapata suluhu yake.
kunauwezekano wa kujua kama mtoto wa miezi mitatu ni mrefu au mfupi?
karibuni...
ndugu wapendwa...kuna jambo limenichanganya,kunaa kaugonjwaa flani kamezukaa sana cha watoto kuanguka anguka ovyo mashuleni,kama jana wanafunzi huko songea wa shule ya msingi walishikwa na huo...
Siku mbili zilizopita niliamka nikajisikia maumivu wakati wa kukaa nilipojichunguza nikagundua kuwa nina uvimbe mdogo kwenye anus upande numevimba kama jipu ila nilipobinya halikupasuka maumivu...
TECHNICAL REPORT ON MIRACLE CURE PRESCRIBED BY REV. AMBILIKILE MWASUPILE IN SAMUNGE VILLAGE, LOLIONDO, ARUSHA
PREPARED BY
HAMISI M. MALEBO (Dip. Ed (Sc), B.Sc (Hons), M.Sc, PhD)1 &...
kuna jamaa yangu anatatizo la kutoa harufu kali ya makwapa muda wote haijalishi katoka kuoga au anaelekea kuoga!asubuhi wala jioni ! hata akitumia body spray ni kazi bure na haisaidii chochote...
Salamu wote wanaJF,
Mimi ni mama wa mtoto mmoja, nina tatizo la umbile langu yani ni mwembamba ninavaa size 8. Kwa kweli huwa nikijiangalia hata sipendezewi na umbo langu, nimekuwa nikila ovyo...
Wana jamii forum leo nimekutana na mgonjwa mwenye kisukari ambaye alipata dawa ya mchungaji wa loliondo na hali yake ilikuwa mbaya sukari ilikuwa juu sana na ilibidi nimshauri aanze insuli ambayo...
Nimejaribu kuangalia humu ndani na nimeona kwamba kuna wanajamii wengi huelezea matatizo yao mbali mbali ya kiafya.
Mara nyingi hjitokeza wachangiaji wakatoa majibu ya kukurupuka wakijua hawana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.