jamani nsaidieni ninasumbuliwa na kichefuchefu mate yanajaa mdomoni nahisi kutapka ila sitapiki,nlenda hospital nkaambiwa nna minyoo nkapewa dawa kweli nkaona nafuu ila baada ya wiki 2 tu hali...
naombeni msaada nina wiki 15 ya ujauzito but mtoto hachezi kama mwanzo, nilipokuwa na wiki 7, na 8 ..yaani sasa huwa anajigusa mara moja kwa siku au 2, but nikisikiliza mapigo ya moyo huwa...
Asante sana wana JF.Naomba msaada,mwenzenu kila siku lazima nifanye mapenz ndio najisikia vizuri,hii inatokana na nini?Na zipi athar zake kiafya?Mama watoto wangu ni mvumilivu lakini nahisi ipo...
Wanajf naombeni msaada kwa tatizo linalonisibu, kila ninapotoka kuoga ndani ya dakika chache ngozi yangu huwa inawasha sana. Nimejaribu kutumia medicated soap lakini bado tatizo liko palepale...
My youngest son is 10 m.o,miezi miwili sasa anasumbuliwa na vipele sehem za makalio, vidogovidogo sana - kama ukurutu vile! Vinamuwasha sana, hasa wakati wa usiku-anajiuna mpaka usingizi...
Aids virus vaccine 'could remove ALL traces of disease from sufferers for the rest of their lives'
Last updated at 8:32 PM on 11th May 2011
Vaccine enables immune system to be...
Habaree wanathinker ninaomba mmusaidie rafiki yangu huyu mana nimeshndwa kumpa ushaur mana cjui nimwambie nini? Ninajamaa yangu yeye ni mfanyabiashara wa kusafiri safir ameoa na anamke na watoto...
Read more: Stiff Competition: Could a New 'Viagra Condom' Encourage Safer Sex? - - TIME Healthland
The problem with condoms is that they don't get used as often as they should. But an...
Natumaini wazima wana JF,
Mimi nina tatizo la kutojisikia kula chakula, sipati hamu ya kula kabisa. Sasa yapata miezi 6 nina hili tatizo. Nimetumia vidonge vya vitamini B lakini bado hilo tatizo...
Why sugar is the new health worry
Photo | Joseph Kanyi (posed by model) | NATION That sweetened tea, juice, chocolate or cake you are reaching out for may have...
Wakuu hivi inashauriwa kiafya mara ngapi kwa wiki kupiga punyeto?
Maana kulikuwa kuna kamjadala maeneo flani, so nikaona nije niibe nondo hapa probably naweza ambulia chochote.
NOTE: seriousness plz
Ndugu wana JF, nitumain langu mu wazima wa afya, mimi nina tatizo la jicho la kulia,ambapo huwa ngoz ya jicho hucheza cheza kwa ndan, yaan km mishipa huvuta vuta nahisi km jino linafumba fumba...
Nipo Tumaini Hosp. Ndugu yangu amelazwa, Alianza kutumia ARV AUGUST 2010, akiwa na CD4- 219. April 6. 2010 akapima CD4 ikapanda mpaka 1000. Akaenda Kwa BABU LOLIONDO tar 11 april 2011. Baada ya...
Albinos in Tanzania murdered or raped as AIDS "cure"
Thu May 5, 2011 8:53am GMT
* Albino body parts thought to bring luck in love, business
* Shame deters rape victims from reporting abuse...
Jamani naugua kiuno,kiuno changu kinauma sana,haja kubwa ni kavu mno,kuna wakati hata miguu na makalio yanashika ganzi.na siku ninayofanikiwa kupata haja kubwa korodani zangu huwa zinauma baada ya...
Salam wana JF,
Naomba msaada wa wenu.
Nina mzee wangu(75yrs) ana tatizo la mate kukauka,kwa hiyo anakunywa maji mengi ili mdomo usikauke.
Je huu ni ugonjwa?Au kuna mwenye kujua tiba yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.