Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nimerudi kwenu wana jamvi nikitaka nasaha zenu siku moja rafiki yangu ambaye kwa hakika ni muislamu haswa na anaamini mpaka aoe ndo atakuja anza kucheza mechi na hata musterbation hafanyi so juz...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani ukiona m2 mzima analia mbele za watu ujue kuna jambo.... Jambo lenyewe ni hiilii.. Nina mahusiano na GF wangu ni miaka mi nne sasa... mwanzoni nilipoanza naye tulikua twafurahia sana ku...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
jamani naomba nieleweshwe kuhusu tatizo la kuwa na chunusi usoni kunasababishwa na nini? na je madai yakuwa nikwasababu ya kutojishughulisha na mapenzi ni ya kweli? nini tiba yake?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yeyote anayejua dawa ya kizungu or herbal ya kuzuia meno yasitoboke au kukatika anisaidie
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Jamaani nasumbuliwa na mate mazito kwani ninatoa makoozi mazito sana utafikiri mwenye kikozi sikooi ila mate ndoo yanatoka mazito naombeeni msaada nimejaribu kutumia madawa mengi bila mafanikio...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari zenu, nilikuwa nasumbuliwa na malaria kwa takriban mwaka sasa,, nimefanikiwa kuitibu kama wik 3 zilizopita kwa kutumia miti shamba. Tatizo lilibakia ni kikohoz(mara chache), mate yanakuwa...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Nimesikia kuna ugonjwa unaitwa pangusa, mwanaume akiwa nao na asipopata matibabu kwa wakati basi uume wake huanza kukatika vipande na kutoweka kabisa. Je kwa wanawake dalili za ugonjwa huu ni...
0 Reactions
7 Replies
18K Views
I would like to know more about urine therapy,whc diseases it can cure n at what time it should be drunk. And whc urine is the best for the therapy. Thanks r in advance!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilipomuona dr ndodi anatangaza ofa ya kutibiwa bure kwa wote watakaoenda kupata tiba kwake kwa kulipia kiingilio tu cha sh.50,000/= nilijipa moyo kuwa tatizo langu la aleji litakuwa limepata...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Wadau nisaidieni tiba kunusuru ndoa yangu!ninatatizo ambalo limenitokea mara kadhaa sasa hasa ninapokua ninangonoka baada ya goli la kwanza tu basi mashine haisimami tena suala ambalo limeleta...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima mbele Wakuu, nina dada yangu ameugua muda mrefu kdg na hosp wamekuwa wakimwambia ni tatizo la nyongo imezidi mwilini na kuzagaa kny damu! Kwa hakika ametumia dawa nyingi na tumeshawaona...
0 Reactions
2 Replies
11K Views
Wapendwa, Mke wangu nimeishi nae kwa miaka tisa na Mungu ametujalia watoto watatu. Kinachoninyima raha ni udogo wa matiti ya mke wangu. Anapokuwa na mimba na anaponyonyessha huwa yanakuwa makubwa...
0 Reactions
25 Replies
25K Views
Wana jamii wenzangu naomba msaada kiukweli ukweli, Kuna jamaa yangu wa karibu sana anatatizo ambalo lina msumbua sana kichwa na inafikia hata utendaji kwenye biashara zake kushuka. Naomba...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kwa utafiti wa haraka haraka kama mpita njia nimegundua kuwa baadhi ya makabila kama Wamakonde,Wangoni,na Wazigua(Tanga line) ni makabila yanayopenda sex sana. Naomba wataalamu mnijulishe je kuna...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
HAYA SASA, TAARIFA JUU YA TIBA YA BABU NDIO KAMA IFUATAVYO. KWA WALE WASIOAMINI NA KWA WALE WANAOAMINI, TASK FORCE IMETHIBITISHA DAWA YA BABU HAINA MADHARA YANAYOJULIKANA KWA BINADAMU (KWA SASA)...
2 Reactions
62 Replies
11K Views
hellow wadau! Msaada kwa rafiki yangu pls,ana madoa doa maeneo ya kifuani hadi shingoni,kwakweli yamemuharibu sana ukizingatia yeye ni white,so amekua kama kenge! Kajaribu kutumia dawa kama...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
habar zenu waungwana? Napenda kufaham ni mazoez gani ambayo yanaweza kunifanya nikatoa kitambi nakutengeneza six packs kwa muda mfupi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu, Sababu 10 zinazowafanya watu kujazana kwa Babu. 1.Huulizwi ugojwa 2.Hupimwi. 3.Hulazwi. 4.Huandikiwi doz 5.Hupigwi Xray 6.Hufungwi P.O.P 7.Huwekewi drip 8.Hupewi miwani 9.Huchomwi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tumekuwa tukiwashuhudia akina mama wakihangaika huku na huku wakitafuta njia mbalimbali za uzazi wa mpango au kufunga kizazi. Ni nadra kuwakuta akina baba wakijishughulisha na mambo hayo hata...
0 Reactions
89 Replies
7K Views
Nina mchumba wangu lakini cku za hivi karibuni akishamaliza siku zake bado anakuwa bado anatokwa na bleed kma vitone kwa mbali. Kama kuna mtu mwenye ufahamu nisaidieni! Ni sababu zipi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…