Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wanajamvini naomba msaada wenu kuna siku nilikuwa nachokonoa meno na stepple ikawa kipande cha stepple pin likavunjika nikaimeza imenikwama kooni napata maimivu makali sana nifanyeje ni wiki ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Waungwana naomba kujua wapi naweza kupata miwani ya macho kwa bei rahisi haswa hii ambayo haina frame-sijui inaitwaje najua kioo kinakuwa hakikuzungushiwa frame. Natanguliza shukurani. Kupimwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nikawa najiuliza. Itokee watu walio kwenye foleni waambiwe "Samahani wapendwa katika Kristu, Mchungaji Ambilikile leo hajisikii vizuri, pressure yake na sukari imepanda hivyo kapelekwa KCMC kwa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Nina mtoto wa umri wa miezi minne, kila anaponyonya namlaza began kujaribu kutoa gesi, lakini pamoja na hayo yote ni mara chache sana kucheua bila kulia. Naomba msaada tatizo ni nini? Na nini tiba...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Naomba kuwapa pongezi na pole madaktari wa Tanzania haswa [Specialist] Tukianzia Dar es salaam, Muhimbili, Arusha, Kilimanjaro mpaka .....Daktari [Specialist wa wilaya kama wapo].Manake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi karibuni kwa imani, Mungu anaonesha vipaji vya utambuzi na matumizi ya mimea, na kwa madai kuwa baadhi ya miti imekuwa tiba tosha kwa maradhi sugu yanayowasumbua watu kwa kitambo kirefu kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Fasting 'could lower your risk of heart disease and diabetes' The 30 volunteers fasted for 24 hours and only drank water. This encouraged the body to start burning up fat cells (posed) Fasting...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawasalimu wanajf wote. Naanza kwa kuomba samahani kwa vile naelewa wazi kuwa thread hii si pure siasa. Nimekuwa nikifuatilia picha zinazopigwa huko Loliondo kwa babu, jambo lililonifanya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Neville Meena na Mussa Juma, Samunge ................ Kikombe cha babu Dawa yote wanayokunywa wagonjwa wanaofika katika Kijiji cha Samunge lazima ipitie katika mkono wa Mchungaji Mwasapila...
1 Reactions
97 Replies
9K Views
Wale wanaoamini tiba ya vikombe wamepata neema nyingine baada ya bibi mmoja kuibuka huko mbarali na kudai kaoteshwa na mungu atoe kikombe cha dawa ambayo inatokana na kuchemsha mizizi ya mbuyu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mganga maarufu wa tiba za asili maarufu kama Dr. Francis Mwandulame wa Iringa amemjia juu babu kwa kitendo chake cha kuwahadaa watanzania kwamba amepewa ufunuo toka kwa Mungu. Gwiji huyo wa...
0 Reactions
40 Replies
12K Views
NDOTO ISIOTAKIWA KABISA.... Kuwa hawa "mababu NA mabibi" waliooteshwa na Wanaooteshwa kila uchao "TIBA ZA MAGONJWA SUGU" IKO SIKU WATATOWEKA NA KUPOTELEA KUSIKOJULIKANA GHAFLA!!! Kama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana Jf kuna wimbi la viongozi wa chama cha mapinduzi na serikali yake kwenda Loliondo kwa babu kupata matibabu, sisi kama wananchi tuna wajibu wa kujua ni kipi kinawasumbua viongozi wetu , kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JF Doctor, ni muda sasa nimejitahidi kulichukulia suala hili kama la kawaida ila sasa naona nahitaji kujua zaidi................ ni kwamba nina rafiki wa kike ambaye ni mjerumani, nimekuwa naye...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wakuu habari,naomba mnijuze juu ya uhusiano wa maziwa na dawa/sumu..........huwa nasikia kuwa maziwa huwa yanatoa sumu mwilini ambapo ikitokea mtu kanywa sumu huwa anapewa maziwa ili kuondoa hiyo...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Jf doctor sijui tatizo langu ni nini mwili mzima huwasha hasa miguuni, sehemu za siri na kichwani. Ni muda mrefu sasa karibu miaka 5 na zinatoa harufu kali sana. Nishaonana na docta mara nyingi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jf doctor sijui tatizo langu ni nini mwili mzima huwasha hasa miguuni, sehemu za siri na kichwani. Ni muda mrefu sasa karibu miaka 5 na zinatoa harufu kali sana. Nishaonana na docta mara nyingi...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Hussein Issa na Fidelis Butahe Mwananchi WAKATI safari za wananchi kwenda katika Kijiji cha Samunge, Loliondo kwa Mchungaji Ambilikile Mwasapila, kupata tiba ya magonjwa sugu,ukiwemo Ukimwi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkojo hurutubisha ngozi Haji Kalili...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Babu wa Loliondo and similar doctors of faith, who have cropped up recently in several parts of Tanzania, in my view, are a manifestation of the breakdown of effective proper medical services...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…