Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

….dhambi ya ubaguzi haina mwisho ni kama kula nyama ya mtu mkila hamtaacha… Haya ni maneno ya baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere wakati akituasa kuhusu athari za ubaguzi katika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/watch?v=WR8tIjTykbE&feature=player_embedded
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tragic toddler weighs nine stone Gigantic ... Lu Hao tries to play at home Rex THE desperate parents of a NINE STONE three-year-old have told how they can't make the giant...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
1. Hivi ni kweli kwamba mtu mwenye HIV akivunjika mguu, mkono na popote kwenye mfupa hawezi kuunga? 2. Ni kweli kwamba mgonjwa wa HIV akiwa na kidonda kikubwa hawezi kupona? 3. Kwanini ukinywa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nina matatizo ya kiwango cha lehemu (cholestrol) kuwa juu. Tatizo hili nimeambiwa linatokana hususani na aina ya vyakula/ vinywaji. Je, ni vyakula, vinywaji na matunda gani napaswa kuepuka...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
The ‘magic herb’ that has made thousands of people flock to remote Loliondo village in Tanzania was identified by Kenyan scientists four years ago as a cure for a drug-resistant strain of a...
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Everyone knows that telling lies can get you into trouble. Most of us learned that as a kid. When Mom or Dad found out it was you, not the dog, who ate the last piece of chocolate cake, you were...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ameibuka mama anaetoa tiba ya kikombe huko Tabora kwa gharama ya TSH 500, ni muumini wa kikristo {haikutajwa kanisa gani} anatoa maombi kabla ya kikombe. Watu wengi wameonekana kwenye foleni...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Nimekumbuka maneno ya busara ya kiingereza yanayosema "time will tell" kumbe huu mti anaoutumia "babu" kama kuoteshwa basi wahindi watakuwa walioteshwa kabla ya babu kwa habari zaidi gonga hii...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Kutokana na kutangaza kuwa Mchungaji Mwasapile wa Loliondo amekusanya shilingi milion 50, hivyo ametibu wagonjwa laki tano. Hii inaweza kuwa record ya ajabu ya tabibu kutibu watu wengi zaidi kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Toka ajifungue miaka miwili iliyopita amekuwa akishuhudia ongezeko kubwa la matiti yake mpaka inakuwa kero(sio kwake tu ht mm). Je kuna dawa za kupunguza matiti na kama zipo vipi kuhusu gharama...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Hili sawa la hedhi, mpenzi wangu alitakiwa aanze kublid tarehe 17 au 18, sasa kilichotokea hadi leo hajazipata siku zake, nikimuuliza unajisikiaje anadai hajihisi kitu chochote tumboni, je hili...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
The antiviral activity of compounds isolated from Kenyan Carissa edulis (Forssk.) Vahl F. M. Tolo et al. (Journal of Medicinal Plants Research Vol. 4(15), pp. 1517-1522, 4 August, 2010) An...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Maumivu yatoweka hamu ya chakula imeongezeka nguvu zinarudi kwa kasi mwilini wamejitolea kufuatiliwa na taasisi za serikali kuona manufaa ya kikombe cha babu Video Hisani ya Tangibovu wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hellow wadau.! Hivi kwanini mwanamke (sijui kama inatokea kwa wote) anapojifungua, hupata shida sana anapojisaidia haja kubwa na wakati mwingine,i can say ni nyakati zote anapojisaidia,ile haja...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
The ‘magic herb’ that has made thousands of people flock to remote Loliondo village in Tanzania was identified by Kenyan scientists four years ago as a cure for a drug-resistant strain of a...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa wana JF habari zenu wote, Hii kam awiki ya pili magoti yanauma nikikaa yanavuuta inabidi nisimame kama dakika 10 hivi ndo nikae tena. Hii inatokana na nini? Kuna mtu kaniambia nivae...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wadau kuna mama mmoja Tabora ambaye amekoka anadai ameoteshwa kuponya watu magonjwa yote, hivi ninavyozungumza tayari kuna foleni kubwa ya wagonjwa wanasubiri kupata tiba. Tofauti ya mama huyu na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Watanzania naomba kujua gharama za kujifungua hospitali ni ngapi? Kuna rafiki yangu mke wake kajifungua nchini marekani na kaletewa billya $27,000. Gharama hizo kwa Tanzania mtu unafungua...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Huyu jamaa me cmwelewi kabisa! kuna siku nilimsikia anasema TUSILE CHIPS, MAYAI, NYAMA, UGALI, WALI, SAMAKI, MAHARAGE, DAGAA and TUSINYWE JUICE, SODA ZOTE, BIAAAA huyu jamaa anataka tu starve to...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…