UVIMBE WA UTANDU WA UBONGO NA UTI MGONGO NI NINI?
Huu ni ugonjwa unaothiri sehemu inayofunika ubongo na uti wa mgongo, yaani utandu. Ubongo unafunikwa na sehemu au tandu tatu nyembamba za seli...
Je, unajua historia ya magonjwa ya familia yako? Pengine unajua tu kuhusu mambo makubwa. Usishangae kwa mfano, kugundua kuwa nyanyako mkuu na dada zake watatu wote walikufa kutokana na saratani...
Kipigo ni nini?
Pia huitwa ugonjwa wa kuvamia bongo. Hutokea wakati ambapo mishipa ya damu ubongoni mwa mtu huziba na kupasuka na kufanya baadhi ya seli (Cells) za ubongo kufa. Hizi seli za...
TB au Kifua Kikuu ni ugonjwa wa kuambukiza ambao husababishwa na viini viitavyo tubercle bacilli.
Wengi wetu tuna viini vya TB mapafuni mwetu lakini hii sikumaanisha kwamba tutauguza huu...
Monday, 15 November 2010 11:00
By Bernard Lugongo
As countries worldwide join hands to mark Diabetes Day on November 14, the trend of the disease in Tanzania is still worrisome...
WANASAYANSI wamegundua kuzuka kwa jamii nyingine ya mbu wanaoeneza malaria ambao wanatoa changamoto kwa wataalamu wa afya duniani, sasa kutakiwa kubuni mbinu mpya za kujikinga na ugonjwa huo...
Wakunga mbona huyo jamaa analalamika katoa matatizo ya waziriwake hamjamsaidia mpaka anakuja kulalamika kule kwetu jameni mfanyieni ungwana hi FJ kaziyake kusaidia watu samahani kama nimewakwaza...
Rafiki yangu anatatizo la kupiga punyeto yaani anadai hayawezi kupita masaa sita hajapiga punyeto naombeni ushauri nimuambie madhara yake, na afanye nini kuepukana na tatizo hilo. Ahsante
i have this friend of mine who has been suffering with fungi problem for quiet sometime now..
he told me that he does everything right, like washing his feet well and with care, wearing a clean...
Sigara na marijuana ni miongoni mwa sababu zinazochangia kupungua kwa nguvu za kiume.
Saababu zingine ni msongo wa mawazo, hofu au mashaka. Wanaume wengi wanaupungufu wa nguvu za kiume lakini si...
Matatizo ya akili husababisha tofauti jinsi mtu anavyo fikiria na kufanya mambo Fulani kulingana na uwezo wake wa kawaida.
Pata habari kuhusu jinsi chanzo na dalili.Angalia cha kutizama, jinsi...
Hypoglycaemia
A 'hypo' is when the blood sugar levels fall below normal. It's short for hypoglycaemia, which means low blood sugar.
A hypo may occur:
after an insulin injection
after taking...
nauliza inakuaje mtu anakuwa anaendelea kuingia period wakati ana mimba?
kuna frend wangu alikuwa ananisimulia mpk mimba imefika miezi mi5 bado alikuwa hajajigundua kama ni mjamzito coz alikuwa...
Wadau wa afya!
Mwanangu kaotea meno mawili ya mbele ndani ya fizi; ana umri wa miaka 5 na hajawahi kutoa meno.
Nifanye nini na je kuna madhara gani mbeleni?
UKIMWI
Unaweza kufanya nini?
Tanguliza kwa kujikinga unapofanya ngono
Nenda ukapimwe iwapo una virusi vya Ukimwi
Jua yote unayopaswa kujua kuhusu magonjwa...
Quit Smoking Cigarettes or you are into trouble. The dreadful effects are smoking are very well known to all but to quit smoking is not an easy task. It has some side effects too. But enduring the...
Wanawake wengi hujiuliza Na je, kama nina mimba? wakati mwingine maishani. Kama unajiuliza kama una mimba una maswali mengine Chunguza Beehives pregnancy & parenting kupata ujumbe zaidi...
In my clinical practice in nutrition and weight management, I've always considered unmanaged stress to be an important piece of anyone's problem with unhealthy weight. That's why I routinely...
Whoever coined the phrase "the whole is greater than the sum of its parts" might as well have been talking about the nutritional potential of food. "When we eat certain foods together, their...