The process of praying should always be commenced by a period of meditation which clears the mind of the garbage of thought, and makes one ready to receive information from higher planes. To...
Idadi ya watu wanaoambukizwa virusi vya ukimwi nchini Tanzania imeshuka kwa kiwango kikubwa katika kipindi cha mwaka 2008-2009 kwa kulinganisha na mwaka 2007-2008...
Mtu akikaa siku tatu hadi saba bila kwenda kunya, je aweza pata madhara yoyote kiafya? Nini husababisha hari hii kutokea? Kama ni tatizo kiafya nini kifanyike?
Heart Attacks And Drinking Warm Water
This is a very good article. Not only about the warm water after your meal, but about Heart Attacks. The Chinese and Japanese drink hot tea with their...
Ukimwi ni maradhi hatari sana yaliyogubika ulimwengu mzima. Maradhi haya nitisho kubwa sana kwa maisha ya binaadamu kwa sababu mpaka sasa mabingwa wa sayansi ya tiba hawajagundua kinga wala tiba...
Kuna binti wa kazi nimeletewa kutoka kijijini, ana miaka 22 hajavunja ungo, pia hakui sawa na umri wake, anaonekana kama ana miaka 12! ana tatizo gani? linatibika?
Jamani wapenda ninatafuta vyitabu au makala kwa ajili ya kujua mambo ya mama mjamzito kwa sasa nina ujauzito wa miezi 2 ila nataka nitape vitabu ili niweze kutunza mimba vizuri kwanini naamini...
Wakuu kama kuna mtu anayejua dawa hii.
"Ndoa inataka vunjika kwa kuwa purupushani zimezidi wife halali kabisa na weekend ni mwendo wa taulo friday evening to monday morning, wife analalamika...
Wakuu, naomba kuwasialisha hii mada;
Pamoja na jitihada kubwa zinazoendelezwa na wadau mbalimbalia kwa mfano mashirika ya maendeleo ya kijamii, serikali, sisi wenyewe kama wananchi na kampeni...
Over 33 million infected with AIDS virus - U.N.
3 hours 24 mins ago
An estimated 33.4 million people worldwide are infected with the AIDS virus, up from 33 million in 2007, but...
Nimewahi kusikia kwamba Haemmorhoid haina dawa zaidi ya zile za kutuliza inapotokea kama Annusol.
Je habari hizi ni kweli au kuna mtu anayefahamu kama kuna dawa ya permamanent ya Haemmorhoid?
1. Cucumbers contain most of the vitamins you need every day, just one cucumber contains Vitamin B1, Vitamin B2, Vitamin B3, Vitamin B5, Vitamin B6, Folic Acid, Vitamin C, Calcium, Iron...
She first noticed an odd black patch on her babys stomach when she held him for the first time.
However, doctors assured Sylvia Atieno that it was a birth mark that would gradually disappear...
Man Trapped In 23-Year 'Coma' Was Conscious.
An engineering student thought to be in a coma for 23 years was actually conscious the whole time, it has emerged. Skip related content
Rom Houben...
Wana JF, naomba msaada, hivi kuna dawa ya kupunguza usingizi? Kuna ndugu yangu yeye ikifika saa moja jioni tu basi hawezi kujizuia! Atalala mpaka asubuhi na hapo usiku katikati wala hastuki...