Habari,
Huu ni uzi kwa ajili ya watoto naomba kuuliza kama. Una uzoefu au wewe ni Dr. Naomba kuelimishwa.
Je, mtoto mchanga anatakiwa kunyonya maziwa ya mama kwa muda gani? Kuna watu wanasema...
Tarehe 4 na 15 Februari ni siku za maadhimsho ya siku ya Saratani na Siku ya Saratani kwa Watoto ulimwenguni. Lengo la maadhimisho hayo ni kuokoa maisha ya mamilioni na kuepusha vifo vinavyoweza...
Hi doctors!
for a while nimekuwa nikipatwa na hali ya ngozi kubanduka kama gamba.
Sijajua hi hali inasababishwa na nini.
pia hii imepelekea kutopenda kuvaa viatu. Maana nikivaa kwa muda miguu...
Poleni Na Majukumu Ndugu Zangu Wa Jukwaa Hili Mahsusi La Masuala Ya Afya. Matumaini Yangu Mtakuwa Mnaendelea Vizuri Na Wazima Wa Afya. Suala Hasa Lililonileta Kwenu ni Kuhusu Ugonjwa Unaomsumbua...
Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza wamegundua virusi vipya vya Ukimwi wanavyoita ‘VB variant’.
Wanasema virusi hivyo ni hatari zaidi ikilinganishwa na vile vilivyokuwepo...
Mara nyingi watu hupunguza muda wa kulala kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo kazi, majukumu na kifamilia au hata kuangalia kipindi kizuri
Kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa...
Leo nimesikia watu wenye damu group O hawasumbuliwi sana na Corona. Hivi damu group hili ina nini special, mambo mengi nasikia wenye group wanapeta hata magonjwa ya kawaida.
Nimepima leo group la damu yangu, nina group 0+ Rh,
Nini faida ya hili group na hasara zake, na je naweza kumpa damu mtu wa group gani?
Nitashukuru nikisaidiwa mawazo, asante.
Kwa faida yetu...
Maandiko yanasema Mungu ndio muumba wa kila kitu, alimuumba mwanamume na baadae akaona siyo vyema aishi peke yake akamletea msaidizi mwanamke.
Kuna video nimeiina mitandaoni inasikitisha sana...
Hivi nyie Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama wajawazito tofauti na kudumbukiza mkono mzima kwenye vidudu vya wake zetu?
Hiyo njia yenu ya kuingiza mikono kwenye uke...
Salamu wakuu.
Nimepata wasiwasi baada ya kubonyeza kichwa cha uume nakuhisi kuna kama uvimbe kwenye mrija Wa uume. Msaada wenu na ushauri Tafadhali,ila sijapata maumivu yoyote
Naona hype kubwa ya watu especially huko abroad kuhusu celery juice. Kuna mtu alishawahi kujaribu kunywa hyo juice? Wapi ulipata celery and ilikusaidia kiafya? Kwa Kiswahili wanaita FIGILI
Vidonge vinavyofahamika kama P2 au vidonge vya asubuhi ni miongoni mwa aina ya udhibiti wa kuzuia mimba.
Mtandao wa kliniki ya Mayo inafafanua kuhusu vidonge hivi;
Uzazi wa mpango wa dharura ni...
Ndugu zanguni Habari zenu,
Naombeni anaye jua jinsi ya kumaliza sumu inayonitesa ya dawa niliyotumia ya Maleria inaitwa Malafin.. yaan tangu nitumia zilipopita siku 7 tu.. baada ya hapo nimeanza...
Msaada wa kipimo mbadala,
Wakuu habarini za wakati huu. Nimeenda Muhimbili wameniandikia kipimo cha OGD. Kwa ninavyosikia hiki kipimo maumivu yake ni hatari.
Naombeni msaada kama huwa kuna...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri na kazi iendelee.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwa nilichokusudia.
Yapata mwezi mmoja nimekuwa na tatizo linalonitatiza.
Siwezi kwenda zaidi ya round...
MISOPHONIA
Hii ni neno la kitaalam likiwa na maana ile hali mtu anakasirika au anakerwa na vitu vidogo mfano mtu kutafuna kwa sautii , kupumua kwa sauti karibu na mtu, sauti ya mtu akisugua au...
Habari wakuu tafadhali usika na kichwa cha habari hapo juu..
Naomba kujua ni msosi gani unatakiwa kula kabla ya show [emoji3061][emoji3061] na ni kwa muda gani unatakiwa kutumia kabla ujaanza?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.