Wana jamii naombeni msaada wenu nina tatizo la kukojoa mkojo wa njano sana kwa muda wa miaka mitatu sasa nimekwenda hospitali lakini inaonekana sina tatizo, naomba kujua dawa yake nn wana jamvi...
Wadau naomba kujuzwa juu ya chanzo cha mkojo kutoa harufu kali sana aka kunuka wa wakati wa tendo la kukokoa? Aidha naomba kufahamishwa endapo kuna athari zozote kiafya kutokana na hali hiyo yaani...
Wakuu habari za muda huu?
wakuu naamini kuna wataalamu na watu wenye ufahamu juu ya tatizo langu naomba msaada wa ushauri.
Hivi karibuni nilisumbuliwa na homa kali asubuhi na jioni kwa mda...
Wakuu habarini za wakati huu.
Nimeenda Muhimbili wameniandikia kipimo cha OGD. Kwa ninavyosikia hiki kipimo maumivu yake ni hatari. Naombeni msaada kama huwa kuna mbadala wake. Shida yangu kubwa...
"Nikifanya kazi moyo unaendaaa mbio nikiinamaa sana nikisimama sana pia nikitembeaa sana au nikipata mshtukoo tu basi unaanza kwenda mbio pia nikiwa na mawazo."
Ushauri wa kitaalam unahitajika...
Tunapoumwa ni vema kwenda Hospitali au zahanati ili kupima vipimo kwa lengo la kubaini ugonjwa unaosumbua. Hili ni jambo jema kwani haishauriwi kukimbilia kwenye maduka ya madawa kununua dawa...
Zijue dalili hizi zinazoonyeshwa na kucha.....
Kucha zikiwa na vidoti vyeupe inaonyesha mtu ana upungufu wa vitamins au reaction ya allergy
Kucha ikiwa na mstari/mistari mweusi inaweza ikawa...
Habari wakuu
Wiki mbili baada ya kupata dozi ya kwanza ya chanjo nlianza kupata vipele vidogo kama vijipu ambavyo vimeiva na vinatokea maeneo ya mapaja na miguu pia nimeanza kuhisi tatizo la...
Inasemekana watu wenye damu ya group O immunity yao ni kali kiasi cha kwamba inasababisha uwezekano wa kupata mtoto uwe mdogo. Hata magonjwa madogo madogo huwa ya malizwa kiaina.
Hii ni kweli?
Wana Jf habari za kazi na mihangaiko ya hapa na pale,
Nilikuwa napenda kufahamu sababu zinazopelekea baadhi ya watoto wakachelewa kutambaa au wakawahi kutambaa katika kipindi cha ndani ya mwaka...
JF Dictors naomba mnisaidie, mwanangu ana miaka mitatu anasumbuliwa sana na mafua na kikohozi. Nampa dawa anapona baada ya wiki mbili au tatu ugonjwa uNarudi.
Nifanyeje jamani? Msaada tafadhali.
Nawasalimu wana jukwaa!
Kihisia, akili na saikolojia nimefika pabaya. Nahitaji mtu mwenye uwezo wakunielewa husuani wa kisaikolojia. Mtu anayeweza kunipa msaada nivuke salama.
Sipo WhatsApp ila...
Je wanandugu i hope ni wazima wa afya.
Je kuna madhala yeyote kwa mwanaume kupiga punyeto mala nne kwa mwezi i mean kila jumapili akawa anapiga bao moja je kuna madhala yeyote hapo??
Nimeikuta hii habari kwenye ukurasa wa Millard Ayo. Kirusi hicho ni hatari zaidi ya kile cha mwanzo.
Kinashambulia kinga za mwili mara mbili zaidi ya kile cha awali. Mpaka sasa hakuna dawa wala...
Hii habari imesambaa jana na kuleta hari. Ya hofu isiyohitaji
Kitu Cha kwanza unafaa ufahamu sio kirusi kipya kama ilivyo andikwa kwenye vyombo vya habari ila ni variant mpya ya kirusi kile kile...
Sijaelewa ni kwa nini kila nikilala nitastuka kabla ya asubuh iwe mara moja,mbili au tatu nakuwa nasikia kiu ya maji sana.Yani ile kiu balaa kias siwez vumilia lazima ninywe maji ata funda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.