Habari za kazi.
Mwanangu amepata tatizo la kutokwa na uchafu ukeni hasa wakati wa usiku
Kila siku asubuhi anapoamka nikimkagua nakuta ametoa uchafu ukeni kwake kiasi cha kulowesha hadi chupi...
Habari wakuu,
Hili ni tatizo linalomkabiri mchumba wangu hvyo nimelileta kwenu kuomba msaada wenu. Tatizo lenyewe ni: alianza kusumbuliwa na maumivu ya mgongo hvyo tarehe 11/6 tukaenda kupima na...
Habari wanajamii...
"Nimepata mushkeri kidogo, sikio limeziba na nasikia kama zito hivi...hii imekuja baada ya mafua ya siku mbili yalioambatana na tonsillitis, naombeni msaada hapa nichukue...
JINSI YA KUTAMBUA TAREHE AMBAYO MJAMZITO ANAWEZA KUJIFUNGUA
Habari za wakati huu
~Ukianza na tarehe yako ya mwisho ya hedhi toa miezi 3 halafu jumlisha siku 7
Kwa mfano:kama tarehe ya mwisho ya...
1) Utakusaidia sana uhifadhi wa pesa kwa matumizi mengine
Umewahi kujiuliza ni kiasi gani cha fedha unatumia kwa unywaji pombe pekee? Sasa jumlisha kiasi chote kwa miezi yote ambayo ungetumia...
Wataalamu wanashauri 1/2 ya sahani iwe mboga, inaweza kuwa 1/2 mboga za kupika na 1/2 salad kama tango, yanya (kachumbari).
1/4 ya sahani iwe nafaka, ugali, wali, viazi, mihogo au pasta.
1/4 ya...
Poleni na majukumu ya hapa na pale naomba niende moja kwa moja kwenye mada!.. Baba yangu ni mtumiaji mkubwa mno wa SIGARA. kwa Siku anamaliza ata pakiti 2.. Ni mraibu kweli kweli na SIGARA. Kiasi...
Mtoto anakaribia kufikisha mwezi toka azaliwe lakini hajawahi hata kulia wala kusema. Nini tatizo? Tumejaribu hosptali nyingi wanasema hana tatizo!
Msaada.
Hello Doctors,
I have been diagnosed with hypertension since February last year, so I am comfortably in telmisartan H 80+125mg medication which helps me but sometimes my BP spikes to 170/103...
Watumiaji wa kilevi cha shisha (sheesha) wako katika hatari kubwa ya kuugua maradhi ikiwemo saratani na kuathirika katika mfumo wa hewa.
Wataalamu wa afya wameonya kwamba ulevi huo ambao kwa sasa...
Mambo vipi wakuu..
Iko hivi huyu bibie nilisex nae tarehe 22/12/2021 ambayo ilikua ni jumatano. Nilipiga kavu tu kwasababu pia hiyo siku nilikua niko monde.
Sasa jumapili yaani tarehe 26/12/2021...
Wanajamvi, natumaini ni siku nyingine njema kwa kila mtu ambayo Mungu ameifanya. Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kuondoa vitambi, kutengeneza mwonekano bora wa mwili na kuimarisha afya. Naomba...
Habarini ndugu zangu?
Naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kupata bima ya NHIF isiyozidi 100,000 kwa mtu mzima? Maana nimezunguka pasipo mafanikio.
Msaada please.
Nawasalimu wakuu.
Mwenye kujuwa dawa ya hii shida naomba anisaidie tafadhali.
Ninashida ya kufa ganzi viganja vya mikono hasa kwenye vidole yaani huwa vinapokezana,vinaweza kufa ganzi vidole...
Habar wanajamvi,
Nina mzee wangu kaenda kufanyiwa vipimo hospitali kakutwa na tatizo Hilo, vipi, mwenye ushaur zaidi ya jinsi ya kuzuia,kukabili na kumaliza tatizo hili tusaidiane
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.