Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Labda nikwambie tu kama ulikuwa hujui; Mate ya binadamu Yamebeba ndani yake kemikali inayoondoa maumivu(painkillers) inayoitwa Opiorphin, ambayo inanguvu mara 6 zaidi kuliko Morphine au Panado...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau wenye uwelewa kuhusu hili jambo tunaomba ufafanuzi, naimani hili sio jambo geni kwetu.
1 Reactions
3 Replies
581 Views
Habarini wana ndugu humu jf mwenye kujua dawa ya kupunguza au kumaliza maumivu ya hichi kialama anisaidie Hapo mwanzoni nilijaribu kupata ushauri kutoka kwa docta moja pale mhimbili akashauri...
1 Reactions
9 Replies
779 Views
Naomba kuuliza, hivi salon za kiume especially pale mtu anapochongwa ndevu au kichwa hakuna uwezekano wa kupata virusi vya ukimwi kweli mana salon zetu za mitaani hakuna sterilization yani...
0 Reactions
37 Replies
12K Views
Je, ni wakati gani nitahitaji kumuona Dokta kama nitaona maumivu makali yamepungua kutoka siku ya kwanza ya kupata ajali ya enka?. Vipi kama nitaamua kufuata tu taratibu za kujiuguza nyumbani...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Habari yenu wadau, Niko katika kipindi cha kujievaluate na nimegundua nahitaji msaada ili kuweza kucope/kujifunza namna ya kukabiliana na changamoto za utu uzima na maisha kwa ujumla. Niko...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Kiframe kidogo tu hivi naambiwa Laki 4. Glasses zenye blue cut 450,000/= Jumla 850,000/=. Miwani hiyo midogo dogo tu hivi. Kuna nini?
2 Reactions
58 Replies
10K Views
Msaada jaman kwa anaefaham dawa ta kutibu migrain na Tinnitus. Yaani kichwa kuuma sana upande mmoja au kwa nyuma juu ya shingo na kupata sauti flan ndani ya kichwa au masikio
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada jamani kwa anaefaham dawa ta kutibu migrain na Tinnitus. Yaani kichwa kuuma sana upande mmoja au kwa nyuma juu ya shingo na kupata sauti flan ndani ya kichwa au masikio
1 Reactions
5 Replies
2K Views
DONDOO ZA AFYA JE WAJUA?? Kuna kitu Wachina na Wajapan wakifanyaga kama tiba Na Kinga KINAITWA ''Onion Sock'' YAANI SOKSI ZA VITUNGUU, unakata kitunguu maji shepu kama duara, halafu unaweka chini...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Salam, Napenda kufahamu gharama za kuoandikiza mimba hapa nchini Tanzania
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Naomba msaada wenu nitumie dawa gani natokewa na vinyama kwenye ulimi Japo kwa pic havionekan vzr
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Weekend inaendaje huko? Kuna hawa watu wanauza hizi dawa za kupunguza mwili, wengine za kuongeza mwili. Zipo tofauti tofauti. Hivi kuna mtu ashawahi kutumia na matokeo yapoje? Au side effects...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu naweza kuwaita ni wafanyabiashara wakitumia fursa hii ya kuelimisha ni jinsi gani unaweza kufanya ili upunguze mwili. Wengine wakitoa mbinu za kupunguza kutambi...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Juzi nilimkula demu mmoja hivi dry.leo j,nne nimeamka nakuta uchafu kidogo njia ya mkojo .Hautoi Harufu kbsà ila nikikojoa maumivu nayasikia shida itakuwa ni Nini Labda. Ama nitumie dawa Gani...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
~Fuata maagizo kwa uangalifu ~Usibadili kiasi cha dawa bila kumuuliza daktari ~Usiache kutumia dawa ulizoandikiwa bila kuagizwa na daktari ~Usiponde ponde au kuvunja dawa ikiwa hujaambiwa...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Nilikuwa nikisubiri usafiri wa kwenda Gongo la Mboto pale Buguruni malapa. Jua lilikuwa kali likiuchoma uwalaza wangu mpaka nikaziba kwa bahasha kubwa ya kaki niliyokuwa nayo. Mara akanijia...
2 Reactions
64 Replies
12K Views
Jamani ndugu zangu wana JF! Mimi ni muhanga wa maumbile madogo, pengine ni sababu ya life style yangu wakati wa ukuaji (nazungumzia kujichua sana) kwa sasa nina miaka 26 lakini maumbile yangu ni...
6 Reactions
78 Replies
6K Views
Natumai mu wazima wa afya, Kwa yeyote anayefahamu tiba ya kisonono anisaidie, nilikwenda hospital nikapewa dozi ya vidonge. Dozi ilikuwa ni metro siku 2,cpro siku 5 na doxn siku 7 lakini...
2 Reactions
55 Replies
14K Views
Ndugu wana jukwaa habarini za muda huu na hongereni sana na kazi ya kulijenga taifa letu pendwa la Tanzania. Mimi ni kijana wa miaka 20's,ninateseka na tatizo la mkojo hivyo basi nilifika bugando...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom