Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
A snapshot of global Covid-19 vaccines By Christi Nortier• 9 January 2021 Graphic: Jocelyn Adamson and Christi Nortier To date, more than 15.9 million doses of Covid-19 vaccines have been...
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Habari wanajukwaa, Ikitokea mmama/mwanamke ana uterus mbili, je ni nini kifanyike ili aweze shika mimba na kujifungua salama.? Ni hospitali ama daktari gani wanaweza shughulikia hilo tatizo vyema?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilianza kwa kusikia maumivu ya viungo mithili ya uchovu. Yakafuatia maumivu makali kwenye paji la uso kwa muda hata siku nne. Muda wote ni homa na jasho jingi tu. Vipimo vya hospitali...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu, Siku kadhaa za karibuni nimekuwa nikisumbuliwa na jino la pembeni. Nilienda kwenye dental clinic moja katikati ya wiki, nikaambiwa matibabu yake ni root canal...ila tatizo ni bei...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Samahani wataalamu wa afya na wengine wahusika wa jukwaa hili. Iko hivi. Karibuni hivi kuna tatizo limeanza kunipata. Mwili unaniuma kama vile nimefanya mazoezi mazito ambayo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hana ugonjwa wowote ni chakula gani kizur kinamfaa ukizingatia umri wake, yeye ni juice na maziwa ya mama tu
0 Reactions
1 Replies
782 Views
Wasalaamu, Kama kichwa cha bandiko langu kinavyojieleza, natafuta dawa ya hydroxyurea, kwa ajili ya complications za ugonjwa huu. Nipo MBEYA, nimejaribu tafuta kwa pharmacy zote hapa jijini hadi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini za muda ndugu zangu, Naomba kujua kama hili ni tatizo au ni hali ya kawaida..,Ni hivi uume wangu huwa unasinyaa Sana nakuonekana mdogo pale nikiwa katika hali ya kawaida (normal...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Wana bodi, Naomba kwa anayefahamu namna ya kupambana na kutibu tatizo hili, dawa za kutibu kama zipo. Kuna ndugu yangu amepatwa na tatizo hili. Msaada.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 26..Mwaka 2012 nilipatwa na tatizo hili la chawa katika mwili kimaajabu ila kufikia 2014 tatizo lilibadilika chawa wakawa ni wa kichwani (kwenye ngozi ya kichwa)..nimetumia...
4 Reactions
144 Replies
47K Views
Sorry Dr. Hivi karibuni nilikumbwa na dalili zilizonifanya nihisi Nina hernia lakini nilifanikwa kwenda hospitali nikafanyiwa utra sound na ikabainika kuwa sikuwa na hernia bali epididimitis...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni jambo la kawaida sana kwa baadhi ya Watu kuumwa tumbo na kuhara baada ya kula chakula Fulani,kuna watu hawali mboga, matunda,nyama au samaki wa aina Fulani kwani huwaumiza tumbo au hufanya...
1 Reactions
4 Replies
9K Views
Mtoto wa mjomba wangu amefariki jana usiku saa nne Muhimbili, alifanyiwa sana operesheni ya goti. Sasa jana walitaka kumfanyia tena operesheni hapo hapo baada ya kusema hiyo sehemu ya goti ina...
1 Reactions
11 Replies
983 Views
Jamani habari zenu naombeni msaada kuhusu tatizo la ngozi (anajikuna Sana yanakua Kama mapunye then Kama Malibu meusi ya Moto) ambalo limedumu kwa zaidi ya miezi nane hospital mtu huyu kapima...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Kafeini imekua ikitumika kwa watu wengi kwa lengo la kuondosha usingizi ama uchovu. 90% ya watu duniani hutumia kafeini angalau mara moja kwa siku. Kafeini ni nini? Kafeini ni kichocheo cha...
3 Reactions
3 Replies
4K Views
Wanajamvini msinishangae mie kila siku wa kuomba ushauri . Nina rafiki yangu mmoja kweli anatia huruma, kaolewa mwaka wa tano hapati mtoto katembea sana mahospitalini ila nashukuru Mungu sasa...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wakuu Wife nilienda hospital leo,baada ya kuwa analalamika anajisikia vibaya na kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa,Dr amesema anauvimbe kwenye ovary ya kushoto,aise nimeshindwa kuelewa maana...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 sasa. Mnamo mwaka 2002 nilipokuwa form II nilianza kusikia kaharufu flani hivi kabaya kabaya kanatoka kwenye mwili wangu kaharufu ka uvundo sio uvundo mkojo sio mkojo...
31 Reactions
185 Replies
30K Views
Aisee naomba msaada wa dawa gani nimpe mama yangu maana anakohoa Sana Tena kwa muda mrefu huu ni mwaka wa tatu. Ila sio korona maana hamuambukizi mtu na kazi anafanya Kama kawaida ila kwakweli...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Madokta mwanangu anaharisha mara kwa mara kinyesi kimechanganyika na ukijani na povu, tafadhali mnisaidie
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom