Habari wakuu.
Unataka kuzaa ?
Hospital wamekwambia unashida ya mayai ?
Au Mirija imeziba .
Au kila ukishika mimba inatoka ?
Au hedhi yako imekuwa ya shida sana?
Chukua mizizi ya mbaazi +...
Habari watu wa jukwaa hili,
Kama swali langu linavojieleza naomba msaada ,
Mimi ni kijana na sijaowa, imekua kawaida kwangu ninapokua karibu na mwanamke ambae ni mpenzi wangu na nikawa na hisia...
Food poisoning ni hali ya kuchafuka kwa chakula kunakotokana na uwepo wa vimelea mbalimbali kama vile bacteria, virusi, au parasites au sumu zao ndani yake.
Hali hii hutokea wakati unapokula...
Hi jf members,
naombeni msaada wa dawa itakayonisaidia kutibu tumbo linalouma. Nimeenda kupima kwa daktari nikaambiwa enzymes zangu ni weak/dhaifu kwahiyo tumbo linakuwa na wakati mgumu sana...
Ndugu yangu anasumbuliwa sana na vidonda kooni kwa muda mrefu kiasi hata kumeza hata maji tu inamletea maumivu, ametumia Pen V mpaka basi lakini hakuna kitu, Mwenye ufahamu wa dawa atiririke hapa.
Kuna msemo usemao kila jambo lina muda wake,
Hivi ni umri gani kwa mwanaume au mwanamke hautakiwi uwee umeshauvuka tiyari unatakiwa uwe na mtoto kwa maana ukivuka huo umri mtoto wako akizaliwa...
Habari za asubuhi wakuu.
Kama mnavyojua kila mwanadamu ni muhimu awe anapata muda wa kupumzika na kupata usingizi wa kutosha.
Sasa kuna ule wakati una amka ambapo una kuwa na kama mawenge fulani...
Jino langu gego upande wa kulia siku kama mwaka uliopita nikitafuna kitu upande wa kulia nasikia lina ganzi.
Baada ya muda nikagundia lina kishimo.
Juzi nilikuwa najaribu kufungua kinywaji kwa...
Habari, waswahili wanasema dawa ya jino ni kulitoa tu Ila hapa naomba kupata mawazo tofauti na hilo juu ni kwa muda jino limekua likinisumbua nimeshatoa kadhaa na likitolewa hili jingine hufuata...
Habarini wakuu,
Katika pita pita zangu humu JF nimekutana na taarifa ya kuwa hospitali ya Hindu Mandal wanatoa meno kwa kutumia dawa na sio vyuma.
Kwa yeyote anayejua kuhusu hili, naomba...
Habarini wakuu
Nakumbuka pale Babu wa Loliondo alipo tangaza tiba kwa ajili ya magonjwa sugu kama vile ukimwi n.k
Umati wa watanzania walikusanyika kuweza...
Nna majirani wawili ..wadada wajawazito walikuwa..umri around 25.
Mmoja mtoto kafia tumboni kisa ni irregular heartbeat wakati hana historia ya ugonjwa huo..mimba ilikuwa miezi minne..na mwingine...
Umejiuliza hadi sasa umeweka chanjo ngapi za magonjwa katika mwili wako?
Kwangu nadhani mara ya mwisho kupokea chanjo ilikuwa ni utotoni tangu hapo sitaki kuufanya mwili wangu uwe majaribio ya...
Kwa miaka ya hivi karibuni, tatizo la mimba kwa wanafunzi katika shule nyingi za sekondari za kata, na hasa zile zilizopo maeneno hya vijijini, limekuwa moja ya maadui wakubwa wa elimu na...
Habari Ndugu zangu wa JF,
Heri ya mwaka mpya wadau, Jamani naombeni hata ushauri katika tatizo hili.
Nina ndugu yangu anasumbuliwa na tatizo la mapaja kuwaka moto kisha pia mishipa ya damu ya...
Kuna mambo mengi sana ambayo binadamu huwa tunayapuuzia ambayo ki msingi ni msaadaa mkubwa sana kwa afya zetu na badala yake tunakimbilia madawa ya pesa nyingi sana mahospitalini. Mimi ni mmoja wa...
Naomba kufahamishwa kwamba ni kweli mgonjwa akisha anza kutumia ARV hawezi kuambukiza ugonjwa?? Kuna jamaa hapa mtaani kaathirika ila anatumia ARV kwa muda na ukimuona afya yake iko imara. Shida...
MAJI
Sumu hurundikana mwilini tunapokuwa hatuna maji ya kutosha mwilini. Kitoto kichanga kilichozaliwa leo, asilimia 80 ya mwili wake ni maji. Kiwango cha maji kwenye tishu hupungua kadri mwili...
Heshima kwenu wakuu.
Nimechomwa na mwiba mguuni kwenye unyayo. Nimejitahidi kuutafuta ili niutoe nimeshindwa kuubani. Maumivu makali sana. Leo ni siku ya 3.
Ni wapi nitapata wataalam waubaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.