Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Naombeni ushauri, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 ila ninapenda kula UGORO kwa takribani miaka 6 sasa toka niko A level Morogoro Sekondari, Chuo UDSM na sasa niko kitaa nawait ajira ila kila...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna demu huwa na shida ya "hormonal imbalance" tarehe 19 alipima mimba kwa PT strip ikaonesha reactive but test line ilikua imefade,then after 3days akaanza MP's akatumia steron ili kupunguza...
0 Reactions
3 Replies
823 Views
Kidney Failure (ESRD) Causes, Symptoms, & Treatments- (from internet)! Kidney failure, also called end-stage renal disease (ESRD), is the last stage of chronic kidney disease. When your kidneys...
0 Reactions
3 Replies
920 Views
Salaam wana jukwaa, Mimi ni mwanamke nina umri wa miaka 35. Nilizaa watoto watatu, mdogo ana miaka 8 sasa. Nilikuwa nikisumbuliwa sana na kisukari daktari akanifunga kizazi. Nimedhibiti kisukari...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimetumia dawa ya minyoo Alben, masaa matatu yamepita. Naweza kunywa pombe?
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Habari zenu? Naomba kuuliza: Kwa akina mama waliojifungua mwanamke anatakiwa akandwe maji ya moto siku ngapi? Naomba ushauri jinsi ya kujiweka vizuri wakati ushajifungua.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanasema kila mtu na starehe yake, nimeamini maana nimekua mhanga wa kupenda sana nikido na mwanamke irushe maji kama bomba. Yaani huwa nafarijika sana. Sasa imesababisha nikido na mwanamke...
2 Reactions
15 Replies
21K Views
What started things out the chicken or the egg? We may never know, yet we do know there are numerous motivations to make eggs a basic piece of your eating regimen. Eggs have been a dietary staple...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kutokana na mabishano yaliyokua yakiendelea humu juu ya kipi kinafaa kati ya dushelele ama kibamia, na hatima kuwa wenye vibamia hawana chao.hili ni suluhisho la wenye vibamia na wao waweza kua na...
0 Reactions
25 Replies
85K Views
Samahani wataalam, kuna suala nashindwa kuelewa hapa, mwanangu ameangukia uchogo toka kitandani mpaka chini akaanza kutapika then akalala asubuhi kaanza kutapika tena, shida inaweza kuwa ni nini...
2 Reactions
32 Replies
6K Views
Habari wana JamiiForums naomba msaada kwa yeyeto anaye jua gharama za matatibabu ya appendix
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za Jumapili wandungu wa JF Niko hapa ninamaanisha na naomba msaada. Jana nilikua na shemeji yenu mpya tupo katika tendo ambalo nilichukua takribani dakika 67 bado sijamaliza na baada...
1 Reactions
67 Replies
34K Views
Habari zenu ndugu zangu, mimi ni kijana wa umri wa miaka 22 ila na urefu wa 183cm,uzito wangu nin 95KG. Kiukweli na uzito mkubwa kiasi cha kwamba kuna muda nikitembea sana naona shida hasa jua...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Wakuu kama ilivyo mda mwingine tunatoa faida ya kitu. Nadhani mnaufahamu mti wa stafeli. Leo nataka ufahamu baadhi ya tiba zake. Maandalizi •Chukua majani ya stafeli (yawe kiasi) Hayo utachemsha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilianza siku zangu tarehe 15/11 na kumaliza 17/11, mzunguko wangu ni wa siku 28 nilitarajia tarehe 12/12 nizione siku zangu lakini mpaka leo kimya, asubuhi ya leo nimepima kipimo (UPT)...
1 Reactions
96 Replies
12K Views
Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu, Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya: Hasira za mara kwa mara katika mambo...
4 Reactions
32 Replies
8K Views
Nitangulize shukrani kwenu nyote wana JF, kwa kazi nzuri ya kuelimishana juu ya mambo mbalimbali katika jamii yetu, Shukrani sana ziwafikie. Ndugu zangu, Mimi nimekuwa na maumivu ya ndani ya...
4 Reactions
20 Replies
14K Views
Habari Jf Doctor, Nina Baba yangu wa hiyari,alipata stroke ya upande wa kulia kwa bahati nzuri alitibiwa pale Moi na kurudisha fahamu vizuri kabisa na hatimaye kuruhusiwa kutoka hospital...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa muda sasa nasikia maumivu makali mgongoni ila mpaka sasa sijatumia dawa tofauti kuchua jana nilienda saloon wakanichua alafu niliisha badili godoro nilikuwa na super banco nimeiacha nimenunua...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa, Poleni na majukumu pamoja na muhangaiko ya kujenga taifa hili pendwa lenye wananchi na kizazi pendwa mbele la mungu Niende moja kwa moja katika mada ya leo, nikiwa na...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Back
Top Bottom