Heri ya mwaka mpya
Hii issue ya matatizo ya figo naiona kama imeongezeka sana mtaani baada ya ndugu yetu mmoja kuwa na hili tatizo...tulivyoaanza kwenda clinic ya kutoa maji imenistua kuona...
SIKU YA LEO NAPENDA TUJIFUNZE KAMA NILIVYOAHIDI JANA JUU YA MAGONJWA mbalimbali NA MICHEPUKO
Hili ni tatizo kubwa sana na linachangia karibia kwa asilimia 50 ongezeko la hawa wanaume au wanawake...
Habari zenu jamani,
Nina mpenzi wangu siku zote tunafanya mapenzi bila shida yoyote. Lakini sasa imetia wiki tangu aingie period lakini tukifanya mapenzi anatokwa damu.
Kwa ufupi
Makala ya juma lililopita ni mojawapo ya makala niliyopokea maelfu ya maswali kutoka kwa wasomaji, naamini kama tutakuwa pamoja mtapata majibu ya maswali yenu katika mfululizo wa makala...
Habari za humu na heri ya Mwaka mpya 2021.Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 25 mkaazi wa hapa jijini dar es salaam.Nina elimu ya shahada ya kwanza ya uhandisi katika chuo kimoja wapo...
Ndugu zangu nina mwanangu anakula mchanga katika hali ambayo sio ya kawaida yaani ukimuacha dakika moja tu anakula mchanga au matope machafu.
Ameumwa minyoo tunampa dawa ila kila tukienda...
Mjamzito ambaye hapati usingizi wa kutosha anaweza kuwa na hatari kubwa ya kupata shida za ujauzito ikiwemo hatua za kifafa cha mimba (Preeclampsia), au shinikizo la damu na ugonjwa wa sukari...
Wakuu habari ya wakti huu.
Nina mwanamke wangu ambae anapata maumivu makali sana wakati wa kufanya ngono, hata penetration ni issue. Ukufanikiwa ku-penetrate bado analalamika maumivu makali.
Kwa...
Happy New year 2021 everyone . Hope this year comes with blessings and happiness . Reflecting last year events , today I've decided to talk about Nervous Breakdown .
“Packaged inside of every...
Please share to raise awareness – the end of the year can be a particularly difficult period for many people.
It’s so important we learn these signs to help identify those at risk.
The more...
Habari
Katika tembea tembea yangu jijini Dar-es-salaam hasa kwenye usafiri wa daladala nimekuwa nikikutana na wanawake wengi sana wenye tatizo la kuota ndevu kidevuni. Tatizo hili limekuwa sugu...
Amani kwenu Waungwana was JF.
Nina Swali
Mimi ni Mstaafu was Miaka 61. Nimejiwekea utaratibu was kutembea Maili Tano, Mbili na nusu kwenda to a certain point na kurudi nyumbani Mbili na Nusu...
Wakuu habari za asubuhi,
Samahani kwa kuwajia asubuhi hii, poleni na pilikapilika za corona.
Kama kichwa kilivyo hapo juu, nina kijana wangu miaka mitano (5) anatokwa na jasho sana hasa usiku...
Jamani mm Nina tatizo la kusikia kidogo japokuwa namshukuru mungu pia kwa sababu nawaza je ningekuwa sisikii kabisa sijui ingekuwaje kwangu hii Hali imenifanya niwe natumia nguvu Sana katika...
Habari za humu ndugu zangu,
Usiku wa leo nimepata jeraha baada ya kuchimwa na msumali mguu wa kushoto.
Msumali unakutu. Kitu cha kwanza nimefikiria kesho niende hospital kwa ajili ya sindano ya...
Nahitaji masada wakuu wapi na weza pata huduma ya PEP
Kipindi hiki cha sikuu maana nimetembelea hospital kadhaa hapa mjini dar , meambiwa huduma mpaka jumatatu , nikipiga hesabu kwa rafu...
wadau kama kichwa cha habari nilivokianisha hapo juu yaan nasumbuliwa na macho..nikiangalia kwenye kioo naona kama vile mtoto wa jicho upande wa uweupe pia kunakuwa kama vile mchanga na uhisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.