Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari za hapa, hivi hapa Dsm wapi naweza pata physiotherapy massage ile ya ku strength viungo vina lia kama vinekakama .. unavutwa mpaka sikio linaitika! Mwili umechoka umebana vibaya mno! Nipe...
0 Reactions
1 Replies
54 Views
Amani ya mola daima iwe juu yenu wakuu. Nikienda moja kwa moja kwenye mada ningewaomba tuelimishane na kupeana ushuhuda juu ya mimea mbalimbali(Ya asili ama ya kupandwa) na magonjwa mbalimbali...
3 Reactions
29 Replies
9K Views
PEP nasikia ni maalum kwa watu ambao wanahisi wameambukizwa VVU kwa dharura. Hata mimi kisa changu ni cha dharura naombeni PEP. Kisa chenyewe kuna binti nilikutana naye mtandaoni. Picha zake...
27 Reactions
164 Replies
5K Views
Kupevuka kwa Yai (Ovulation) Ovulation (kupevuka kwa yai) ni pale yai moja au zaidi yanaachiwa kutoka kwenye moja ya ovari (mifuko ya mayai) yako. Hii hutokea karibia na mwisho wa muda ambao...
2 Reactions
9 Replies
16K Views
Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake...
5 Reactions
50 Replies
1K Views
Kumekuwepo na taarifa pia matangazo mengi kuhusu dawa za kutibu ugonjwa wa homa ya ini. Je, ni kweli ugonjwa huu unatibika na kupona kabisa? Je, ni sahihi dawa mbadala ni Bora zaid kuliko za...
1 Reactions
15 Replies
875 Views
Habarini wanajamvi! Naombeni msaada wa njia ama dawa inayoponya vipele vinavyotokana na kunyoa ndevu. Nimejaribu kubadili njia mbadala za kunyoa, kama vile mashine, magic, wembe nk, lakini hakuna...
0 Reactions
18 Replies
298 Views
Habari za Leo wakuu, Haijalishi vidonda vyako vimefika hatua gani au umekuwa ukisumbuliwa kwa muda gani, unaweza kutumia tiba ya asili kwa majani ya mashona nguo. Haya ni yale majani ambayo huwa...
22 Reactions
35 Replies
2K Views
The brain is a complex organ responsible for cognition, movement, sensation, and autonomic functions. It is divided into major regions, each with distinct roles and clinical significance. 1...
1 Reactions
0 Replies
32 Views
habarini wadau nasikia sikia sana huu ugonjwa una tiba yake?!
1 Reactions
11 Replies
258 Views
Mimi nimewakumbuka hawa - Profesa Matunge r.i.p - Hawa Nyamichwo r.i.p - Ng'winzukulu Jilala r.i.p - Profesa Majimarefu r.i.p - Dr. Rahabu Lubago - Dr. Isaac Ndodi
8 Reactions
109 Replies
2K Views
SHAHAWA ZA (KIUME) ZINA FAIDA NYINGI KIAFYA KWA MWANAMKE Kumeza shahawa kupitia mdomo wakati mnapofanya mapenzi kutakusaidia uweze kupata usingizi mzuri usiku kwasababu biochemically, Shahawa...
6 Reactions
78 Replies
65K Views
Jaman naombeni nisaidie ni mazoezi gani ya kunenepesha uume!?
3 Reactions
24 Replies
481 Views
Mbegu za kiume hukomaa kupitia mchakato unaoitwa spermatogenesis, ambao hufanyika ndani ya korodani (testes), hasa kwenye sehemu inayojulikana kama seminiferous tubules. Mchakato huu huchukua...
3 Reactions
9 Replies
423 Views
Kuwahi Kumwaga: Kuwahi kumwaga (kuwahi kufika kileleni) kwa mwanaume ni hali ambayo hutokea pale mwanaume anapopata mshindo (anapofika kileleni) mapema zaidi kuliko yeye au mwenza wake...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Wakuu ni alfajiri hii siku ya leo, usishangae kwa nini nimeshika simu nakukaa kuandika uzi huu badala ya kujifunika gubigubi blanketi, hapo ujue ni kuwa usingizi umenipaa na dakika kadhaa...
45 Reactions
418 Replies
33K Views
Huyu Jamaa yangu kutoka Arusha yupo Dar kwa wiki kadhaa sasa. Siku kadhaa zilizopita akiwa anaangalia mpira kwenye kibanda umiza ile mechi ya Yanga na Kengold, kipindi cha pili mwishoni alianza...
11 Reactions
26 Replies
654 Views
Wakuu nipo na serious depression hii imetokea leo asubuhi. Baada ya mpenzi wangu kutoka kazini shift ya usiku aliniomba aje apumzike kwangu na kwa vile leo ni weekend nikamkaribisha coz nilikuwa...
31 Reactions
301 Replies
4K Views
Naomba msaada nimetumia dawa na hospitali zote kupata suluhu ya harufu mbaya ya kinywa. Naswaki vizuri ulimi, meno na kwa dawa mpaka za 50k. Nimetumia karafuu, tangawizi na aina nyingine za...
3 Reactions
22 Replies
499 Views
Pilipili ni ndugu zetu toka katika falme za mimea ( plant Kingdom). Kama ninavyosema, na leo narudia, Kila kiumbe kina roho na mwili, hivyo hakina kazi moja tu, kila hicho kina kazi zaidi ya...
3 Reactions
2 Replies
160 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…