Nasukumwa kuuliza swali hili baada ya kuona hii video ya huyu jamaa anayesema ubongo wake uko tumboni na unafanya kazi kama kawaida.
Tumsikilize Kisha wataalam watupe elimu.
Wana JF habari zenu! Dada yangu alijaliwa kupata mtoto wa kiume tatizo ni kwamba kama siku 7 zilizopita alianza kuvimba matiti na kuweka ile hali ya kitu kigumu kwa ndani kama wale mabinti...
By Jon CohenJul. 7, 2020 , 9:00 AM
A 36-year-old man in Brazil has seemingly cleared an HIV infection making him the proof of principle in humans of a novel drug strategy designed to flush the...
Kukimbiwa na kutengwa na wenza (Baba wa Mtoto): Wanaume wengi na ndugu hudhani kupata Mtoto Njiti ni jambo la laana au mkosi hivyo humtenga Mama na Mtoto wake
Kushindwa kumudu gharama za malezi...
Habari za huku, mimi nina shida moja doctor nisaidie yan mm nkichelewa kuamka tu siku hyo kwangu itakua mbaya ntakua mchovu siku nzima yan ili niwe sawa inatakiwa pale usingz ukikata tu kwwnye sa...
Jaman ndugu zang naomba kuuliza juu ya hii Hali
Sijui Kama ni Hali tuu ya kawaida!!?
Kwani huwa napata hali ya kuwa nashahuku ya kubonyeza juu ya kucha zangu mara kwa mara ama kucha kuingiza...
Habari ya usiku huu wapendwa.
Jamani jino linaniuma kuliko kawaida imepelekea kichwa nacho kinaniuma non stop..usingizi hauji ni kama nimebeba gunia la misumari kichwani😢😢😢
Naomba mwenye kujua...
Uzi huu tutazungumzia matatizo ya utu au matatizo ya kimtazamo. Matatizo haya huhusisha zaidi jinsi mtu anavyoshirikiana na wengine. Tutayazungumzia yote polepole. Tuanze!.
Paranoid personality...
JE UNAFAHAMU WEWE UNAYO DAMU YA KUNDI GANI NA TOFAUTI ZAKE?
Katika pekua yangu nimegundua leo hii kuwa watanzania wengi hatujui tupo katika kundi gani la damu.
Na mbaya zaidi utakuwa wakina mama...
Imenitokea kama siku tatu zimepita. Ilianzia pajani kama kajibu....sikukatumbua vizuri.
Ila kakapotea. Baada ya siku mbili ukatokea uvimbe mwingine kwapani mmoja, nikauminya ila siku ya pili...
Habari Wakuu, poleni na majukumu
Kuna tatizo wife analipitia katika kipindi hiki cha ujauzito
Ujauzito upo Week ya 30 na anasikia maumivu ya nyonga pamoja na mguu, maumivu ya tumbo chini ya...
Husika na kichwa cha habari hapo juu jamani ndugu zangu nina kama mwez na nusu koo pamoja na ulimi wangu vimekuwa vikinisumbua sana na vidonda sasa stage iliofikia napata hofu sana naomba anaejua...
naomba tiba ya tatizo la kinywa yaani nina miaka mingi sasa nasumbuka na kuumwa koo linawaka na ulimi unakuwa na alama za michilizi. Mwenye dawa anisaidie
Ripoti ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam kitengo cha Afya inaeleza kuwa, Msongo wa Mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili...
Takribani kila dakika moja na sekunde 40, mtoto au kijana chini ya umri wa miaka 20 alikuwa anaambukizwa Virusi Vya UKIMWI, VVU mwaka jana 2019, na kufanya idadi ya watoto wanaoishi na VVU kufikia...
Nina demu yeye ni single mother wa mtoto wa miaka miwili (kafunga mwez wa 10 ), huyu demu aliweka kijiti cha miaka mitatu baada ya wiki tatu tangu kujifungua, wiki lilopita kanambia anajiskia...
World-daily-news.com
Published 1 hours ago - 1 views
People residing with HIV who start antiretroviral remedy with a pretty healthful CD4remember can now assume to stay simply as long, on...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.