Ndugu wana jf mwenzenu Nina tatizo la maumivu ya mgongo na kiuno ya mda mrefu sasa jumamos iliyopita nikashangaa uume hausimami gafla wakati sijawah kuwa na shida hiyo,je hospital linatibika...
Habari za wakati huu wakuu
Ningependa kujua Je, uchovu wa mwili hasa nyakati za asubuhi baada ya kuamka husababishwa na nini?
Na vipi naweza tatua changamoto hii katika mwili wangu?
habari zenu wakuu!!
naomba msaada jinsi ya kuepuka madhara kwenye macho yanayotokana na matumizi ya vifaa vya kielektroniki kama simu, laptop na vifaa vingine kama hivyo.... binafsi najitahidi...
Nina miezi kadhaa baada ya kujifungua ni mtoto wangu wa kwanza, (RIP MY ANGEL) sasa tangu nijifungue nazidi kunenepa tu sipungui
Sijanywa masupu wala mitori lakini unene umegoma kuniacha...
Nilipata mafua makali juzi kati hapo mafua yamepona ila mpaka leo siskii harufu yoyote ile.
Napata tabu sana kweli nimeamini utamu wa chakula unategemea sana harufu, kama huskii harufu ni kama...
Jarida la The Economist limeeleza kwamba tafiti zimeonesha watoto wanaozaliwa kwa njia ya kawaida huwa na kinga imara zaidi ya watoto waliozaliwa kwa njia ya upasuaji.
Utafiti umebaini kwamba...
Naombeni kuuliza, pumu ni ugonjwa wa kurithi?, mwanamke mwenye pumu anweza kuzaa watoto wote wenye pumu? kama sio ugonjwa wa kurithi ikitokea mtoto wa kike akazaliwa na pumu kwenye familia yake na...
Kila wakati unashauriwa na watalam wa afya ya kwamba unatakiwa kula tende kwa wingi ili kupata faida zifuatazo katika mwili wako:
1. Huongeza nguvu kutokana na kuwa na sukari ya asili, unaweza...
Wadau naombeni ushauri,
Nina tatizo lakutopata usingizi yaani usingizi unaanza kunijia saa 9 nakuendelea
Tatizo hilo limenifanya nirudi kwenye matumizi ya sigara ndio napata usingizi.
Ushauri...
JAMII imetakiwa kufahamu namna bora ya kuzuia, kuhudumia na kutibu wenye matatizo ya afya ya akili kuepusha mateso, vifo na mfarakano katika jamii hasa wanandoa .
Wakizungumza kwa nyakati...
Hippocratic Method and the Four Humors
I do anatomize and cut up these poor beasts, he said to Hippocrates, to see the cause of these distempers, vanities, and follies, which are the burden of...
Rafiki yangu anapata maumivu kuanzia kiunoni hadi juu ya makalio hasa wakati wa kukaa.kipimo cha MRI kaambiwa disc mbili zinauvimbe yaani posterior disc bulge L3/4 and L4/5.tunaomba ushauri wa...
Habari madoctor na waganga wauguzi wa JF
Mwenzenu nimeamka na taarifa sio nzuri kiupande wangu baba yangu ameparalyse upande mmoja na hawezi kuongea miezi mitatu nyuma alifiwa na dada yake wa...
Salaam,
Tuzidi kuchukua tahadhari dhidi ya Covid-19 , maana ipo na ni hatari.
Naomba niingie moja kwa moja katika mada husika;
Ni hivi, kuna ndugu yupo mkoa fulani ndani ya Tanzania. Ndugu huyu...
Wakuu,
Hii ni mara ya pili sasa inanitokea, usiku nasikia baridi kali sana. Natetemeka kisha ninakuwa kama nina kwikwi hivi, nikijifunika blanket hiyo hali inapotea.
Mara ya kwanza ilinitokea...
Jaman poleni na majukumu.
Naomba kujuzwa juu ya swali langu. Kuna mke wa jirani yangu aliweka kijiti mwezi uliopita, ila sasa ameshituka ana ujauzito wa miezi miwili! Je, kuna madhara?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.