Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wataalamu naomba kujua hili tatizo la kucheua linanikumba mara kwa mara hasa nikila vitu kama nyama yaaani nikiitafuna na kumaliza kula baada ya muda mfupi naanza kucheua na kurudi mdomoni poa...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Cancer refers to any one of a large number of diseases characterized by the development of abnormal cells that divide uncontrollably and have the ability to infiltrate and destroy normal body...
0 Reactions
1 Replies
878 Views
Stretch Marks Are Scars If your skin is stretched farther than it’s used to in a short period of time -- during pregnancy or a childhood growth spurt, for example -- the elastic fibers in your...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye nazo naomba anisaidie mimi ni mwanafunzi naye soma nahitaji msaada
1 Reactions
7 Replies
749 Views
Hello! JF Doctors Ninasumbuliwa na U.T.I almost miaka mitano sasa nimetumia dawa mbalimbali lakini hali ikawa inajirudia untill now Nina hili tatizo, Lakini kitu kinachoniogipesha sasa hivi ni...
5 Reactions
45 Replies
6K Views
How you sleep can make our days or break your night. Sleeping naked comes with all sorts of unexpected positives. Here are surprising things that happen when you start sleeping naked. First, You...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu madaktari na wadau wa afya! Nina shida mdogo wenu week inaelekea ya pili sasa nimekuwa na mdomo mchungu mnooo, hasa nikiamka asubuhi. Saingine nasikia kama tumbo kuuma ila sina, na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Za mida? Nimekua nikifikiria mno juu ya ili swala bila mafanikio Japo ni wazi kila mzizi wa jini uko connected mpaka kwenye ubongo naisi imnazifahamu nerves vyema? Basi kila jino mdomoni mwako...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu habarini! Naomba mnijuze, huyu mtoto ana miezi sita hajaanza kutambaa! Kinachonishangaza ni kuwa anajitahidi kutaka kusimama! Akijishikilia na kitu chochote basi anajitahidi asimame! Je hii...
1 Reactions
19 Replies
8K Views
Mnaopenda salamu leo siwasalimii, msiizoee salamu yangu.... By the way nina swali dogo tu nataka kukuulizeni, hivi mtu huwa na meno 32 akiwa na miaka mingapi? Maana kila nikihesabu meno naona...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Hiki chama cha BIBILIA cha AMERIKA kimeamua kutoa huu mwongozo kwenyu wazazi ambao hamtaki watoto wenu kakaja kuwa watoto si rizki Source: http://liberalchristians.blogspot.com/ sijui madaktari...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Nateseka sana wadau nina miaka kumi hili tatizo nililonalo la mdomo kuwa mchungu huku viungo vya mwili vikiuma na uchovu uliopindukia, na nimejaribu kwenda hospital kucheki vipimo vyote lakini...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Wadau nina miaka kumi sasa kuna uvimbe mdomon nimetumia dawa ya kusukutua mouth wash lkn tatizo bado lipo nimeendea hospital lkn tatizo halipon nini tatizo na kama ni ngoma nimepima sana tu jaman...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Msaada, kila nikianza kufikiria Jambo fulani kwa undani zaidi nahisi maumivu makali ya Kichwa, zamani nilikua nikiwaza moyo unauma ila Sasa ni kichwa ndio kinauma. Ushauri please.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jinho Kim(PhD), Profesa Msaidizi katika Idara ya Sera ya Afya na Usimamizi Chuo Kikuu cha Korea anasema, kuboresha uhusiano wa Wanafunzi na Waalimu kunaweza kuwa na faida muhimu na za kudumu zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu, hivi wapendwa vidonda vya tumbo vinaweza kumsababishia mtu kupata vidonda kwenye koo na maumivu kwenye tezi zote mbili zilizoko ndani ya koo maana na vidonda vya tumbo ila kwenye koo...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Mambo kumi muhimu ya kuchunga kiwiliwili bado kinasiha kamili Kushika Miko au kujichunga na vitu au mambo fulani wakati bado unaafya yako ni Bora kuliko kutumia dawa unapopata ugonjwa. Mwenye...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Uume kushindwa kusimama asubuhi pale mwanaume unapoamka kwa kipindi cha muda fulani, Ni mojawapo ya kiashiria kuwa una tatizo la kiafya linakusumbua.
0 Reactions
7 Replies
811 Views
jamani, kichwa cha habari hapo juu chajieleza chenyewe. hivi, ni kwanini watoto wengine wanakuwa wanazaliwa na vichwa vikubwa hadi wanatisha, na wengine yaani nashindwa kueleza. na nini tufanye...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Utafiti mpya wa kisayansi uliochapishwa nchini Scotland umeelezea umuhimu wa kunywa maji baada ya tendo la ndoa kwa sababu unawakinga wanandoa husika dhidi ya kuumwa kichwa na tatizo la ukavu, na...
3 Reactions
4 Replies
6K Views
Back
Top Bottom