Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wadau nina miaka kumi sasa kuna uvimbe mdomon nimetumia dawa ya kusukutua mouth wash lkn tatizo bado lipo nimeendea hospital lkn tatizo halipon nini tatizo na kama ni ngoma nimepima sana tu jaman...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari jf, nimekuwa nikijiuliza maswali lukuki pasipo kupata majibu stahiki kila siku, ni imani yangu sasa kupitia Madoctor aidha wahusika wenyewe(wajawazito) waliyomo humu wanijuze au watujuze ni...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu, Jamani Wataalam wa Afya kwa muda kadhaa nimekuwa na matatizo ya Meno. Ni hospitali gani Nzuri naweza kwenda kwa matibabu? Usiniambie Muhimbili....wao kazi...
0 Reactions
24 Replies
15K Views
Wana JF naombeni mwenye kujua faida ya maji ya madafu kwa mwili wa biandamu.
0 Reactions
16 Replies
35K Views
Habari wakuu, Naomba ushauri wiki yatatu sasa mwilli wangu unawasha na kutoka vipele mwilini naona sasa bado unaendelea hii inawezakuwa dalili yaugonjwa au ni allergy Kuna kitu nimetumia au...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari wadau mimi huwa nafanya mazoezi ya gym kwa muda mrefu tuu, kilichonileta hapa ni kuomba ushauri wakitaalamu kwa muda wa kama siku tano hivi mfululizo nimekuwa nikisumbuliwa na kuuma kwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wana JF, Duniani siku hizi kuna maradhi mengi sana, na changamoto kubwa imekuwa jinsi ya kupata tiba sahihi (hasa za asili) kwenye tatizo lako. Japo kwenda hospitali ni muhimu ili kucheki...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Habarini zenu wanajamvi. Niende kwenye mada moja kwa moja. Kuna muda nimepima magonjwa yafuatayo ; uti,typhoid,amoeba,malaria, nilipima haja kubwa na ndogo kwa pamoja, katika maabara kama tatu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huu ugonjwa usikie tu.... mimi ulimkuta kaka yangu nikawa namcheka na kumshangaa eti anashindwa kunywa maji na kula vizuri. Ukiona mtu kaugua huu ugonjwa kwanza kichwa hakina balance maana muda...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Kitengo cha Utafiti wa Dawa Asilia cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kimegundua dawa za asilia za aina tatu za kutibu magonjwa ya kisukari na kibofu cha mkojo. Kitengo hicho ambacho kazi yake...
0 Reactions
22 Replies
13K Views
Je, tiba Ni ipi mtoto anapochelewa kutambaa? Ana miezi Saba lakin hatak kutambaa, kabisa.yeye hupendelea kukaa tu. Naomba msaada wa tatizo hili kwa wajuvi wa mambo.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina tatizo la allergy kwa sababu nikipata vumbi tu napata mafua, pua zinawasha na macho pia, nikitumia dawa yoyote yenye priton naumia sana kifuani upande wa kushoto pamoja na mkono wa kushoto...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4. Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka. Ila kuna tatizo ameliona yeye ni mnywaji wa konyagi na bingwa. Akinywa pombe hizo halioni...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari JF doctors. Mwezi uliopita tarehe 28 nilichoma sindano ya uzazi wa mpango kwa mara ya kwanza.Kinachonishangaza huwa naenda bleed kwa siku 4 ila mwezi huu nimeanzaa kubleed tarehe 13 mpaka...
0 Reactions
18 Replies
143K Views
Nina tatizo la kuumwa kichwa kwa upande mmoja nikimeza dawa ya maumivu bado haiponi, na imefikia kiwango ya kwamba ikianza kuuma zaidi naishiwa nguvu hv, pia najiskia kuchoka mda wote na...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Salaam wana Jf Naomba msaada jamani! Nina umri wa 26, shida niliyo nayo napata maumivu makali sana nisipo fanya mapenz kwa muda mrefu. Maumivu yanakuwa katika mirija inayotoa mbegu kutoka...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wa JF Nahitaji msaada wa mtu yeyote anayejua hospitali nzuri kwa kutahiri watoto anijuze
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Wakuu, Bila shaka hamjambo, naomba kujua hivi dawa ya misoprostol isipofanya kazi baada ya kuitumia, ni muda gani unatakiwa kupita ndio urudie kumeza? Wife kameza haijafanya kazi, ujauzito ni wa...
0 Reactions
110 Replies
78K Views
Ndugu zangu, naomba kuuliza ni sahihi mtu kutahiliwa akiwa na umri wa miaka 20? Maana kuna mtu anamiaka 20 ila hajatahiliwa, naombeni ushauri wenu!!!
6 Reactions
70 Replies
6K Views
Back
Top Bottom