Jamani najua humu Kuna wataalamu wengine naomba mnisaidie,
Nina mzunguko wa siku 28 ,nilisex siku ya 10 baada ya kuanza period yangu na nikapata mimba.
Je, hapo mtoto anaweza kuwa wa jinsia gani?
Wasalaam wapendwa.
Nina kama mwaka mmoja sasa nina tatzo la lips zangu kugeuka rangi na kua nyekundu hali zilikua nyeusi kwa rangi yake ya asili. Ilianza kwa muwasho ndani ya lips kwa ndani na...
This 100 year old heart surgeon isn’t the only one, Kim A. Williams, M.D., incoming president of the American College of Cardiology has also adopted a vegan diet.
World renowned figures...
Natumaini mmeamka salama, naombeni msaada ni alternative gani niitumie kupunguza ukubwa wa uume,maana imekuwa kero kwa gf even if namwandaa vyema before sex ila analaumu nina maumbile makubwa...
Habari zenu wadau?
Mi kuna mtu nimemsikia anasema kwamba ukichukua Panadol 2 ukatia kwenye soda 1 (Coca) ukanywa kwamba inasaidia kusimamisha uume kwa muda mrefu sana, kwamba kwa wakati ule...
Nimekua na tatizo la kujaa gas mara kwa mara , imefikia kipindi nakula ili tuu nikamilishe ratiba ila tumbo linakua limejaa yaan full.
Nilijaribu kupima vidonda vya tumbo nikaambiwa sina, mara...
Wakuu naomba wenye majibu ya kisayansi wanisaidie kwenye hii mada. Watu wengi wakila chakula cha jana au juzi-kiporo, iwe wali, ugali, ndizi au kingine chochote kile hutokea mara nyingi kupatwa na...
Habari wapendwa.
Jaman naomba kufaham hii dawa inamadhara? mfano mtu akitumia ili kuongezeka kiasi hawezi kupungua baadae au
atazidi kunenepa zaidiii na effect zake ni nini?
Jinsi ya kumsaidia mtoto aweze kutambaa, haswa kwa wale watoto ambao wameshafikisha umri wa kutambaa lakini hawataki kutambaa wala kusimamia vitu.
Namna ya kumsaidia unatakiwa kumpa mtoto muda...
Wana JF,
Kuna hali huwa inanikuta ya kuhisi mawengemawenge na kama akili haikuwi sawa hivi. Kwa mfano nikitoka nyumbani kuja mjini ndio nikikuta magari,pikipiki,watu wengi inanikuta sana hali...
Jamani haka katoto kanavyopenda kula godoro ni shida, yaani pamoja na kukachapa ila haijasaidia kabisa, yaani ukiangalia pembeni tuu utashangaa kamdomo kamejaa godoro, sasa najiuliza nini vile...
Wakuu habari zenu,
Twende moja kwa moja kwenye mada husika Madokta, wataalamu na wazoefu wa maswala ya uzazi naombeni ushauri wenu mimi ni mjamzito wa miezi minne sasa,lakini tatizo ama hofu...
Ilianza Kama tonsensi ikaisha ikaja michaniko ya ulimi kidogo nikatumia dawa nayo ikaisha.. sahivi nimekuwa nikisikia ganzi usoni,mbavu Kama zinabana japo sahivi zimelegeza kidogo na Kuna muda...
Nimetokwa vipele hivi sijui shida nini maana kama tetekuwanga nilishawahu kuugua nikiwa mdogo na kama wasemavyo tetekuwanga hairudi mara mbili. Haviumi ila vikitumbuka vinawasha.
Dk, naombeni msaada nimeambiwa nina pressure ya macho maswali yangu ni kuwa:-
Je, inasababishwa na nini
inaweza kupona
Nini dawa yake
kuna tiba mbadala.
Nawasilisha
Habari wana Jf
kama mada inavyo jieleza hapo juu nimekua nasumbuliwa na meno hasa haya magego kiasi kwamba nikinywa kitu cha baridi nasikia yanauma na mda mwingine upepo ukiingia mdomoni tu...
Wanajamii hivi tatizo la kuuma kwa moyo na kwenda mbio huwa lina sababishwa na nini na dawa yake nini?
Maana huwa linanijia kwa mda na hupotea yani moyo unakwenda mbio mpaka naisi kama nakufa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.