Habari zenu Wana JF,
Nina mdogo wangu (sio wa damu) anasumbuliwa na kinachodaiwa kuwa ni fangasi. Kwa maelezo yake ni kwamba Hali hiyo imekuwa ikimsumbua tangu akiwa mdogo.
Kwanza anapatwa na...
Natumaini mu wazima hata kama sio mia kwa mia lkn pumzi ipo.Mwenzenu nina shida hasa inayonikosesha furaha ya maisha maana nimeolewa mwaka Wa tatu sasa sijafanikiwa kupata mtoto, sijawahi kutoa...
1. Jitahidi kufanya mazoezi kila siku wakati wote wa ujauzito.Vitu kama kutembea,kuogelea na mambo mengine madogo madogo kama haya huimarisha misuli hivyo kukufanya uwe tayari kuhimili changamoto...
Upungufu wa damu hutokea pale mtu anapokuwa na kiwango kidogo cha seli nyekundu za damu au ikiwa mtu na kiwango kidogo cha himoglobini. Himoglobini au protini ni sehemu muhimu katika kuongeza...
Habari za muda huu wajenzi wa taifa hili,
Leo asubuh nimeamua kuanza mazoezi ila baada ya kukimbia umbali mrefu kidogo nikaanza sikia maumivu makali ya moyo, je hili linaweza kuwa ni tatizo kwa afya?
Nimesikia watu wengi Sana tangu kipindi Cha korona kianze wanalalamika miguu kuuma, na maumivu ya mwili bila sababu!
Je, inaweza kuwa dalili mpya ya korona?
kwamba labda mili ya watu Sasa...
Ongezeko la saratani kwa wasichana latisha
TAASISI ya Saratani Ocean Road (ORCI), imebainisha kuwapo ongezeko la saratani ya matiti kwa wasichana nchini, kunakochagizwa na matumizi holela ya...
Habari wana jf natafuta dawa hiyo hapo mimi ni muhanga wa tramadol niko dependant so dawa yaweza nsaidia ni hiyo lakini Tanzania hamna zipo kenya au uganda. ila kuna baadhi ya pharmacy zipo sasa...
Habari zenu wana JF naomba msaada wa kujua ni kipimo gani huweza kupata majibu kwa magonjwa tofautitofauti mwilini kwa kutumia damu. Hii ni kwa sababu nasumbuliwa na maumivu makali ya mgongo kwa...
Jamani nina tatizo kubwa kweli naombeni msaada kama kuna anayejua namna ya kutatua;
Ni hivi, mwezi wa tatu mwaka huu 2010 jumamosi moja niliamka asubuhi na kukuta sehemu ya ndevu zangu imenyolewa...
Habari Wana Jf
Nina Ndugu Yangu Ni mwaka wa nne Sasa anasumbuliwa na Ugonjwa wa Lungs fungal infection ( fangasi kwenye mapafu) ameteseka Sana na huu ugonjwa kauza kila kitu lakin bado mambo ni...
Hapa tumbo linapoamzia upande wa kushoto naskia kuna kitu kizito kinanikandamiza, mkandamizo huo unapanda mpaka juu kifuani, halafu sehemu hiyo nikibinya na kidole panauma.
Hii yaweza kuwa...
Bwana yesu asifiwe wapendwa,
Napenda kuuliza.iv n wapi hapa Dar es salam nitapata daktari bingwa wa kutibu mfumo wa uzazi wa magojwa ya wanawake.
Tafadhali kama ulishawahi sikia ama ulisha...
Wadau nianze kwa kuwapa pole za mihangaiko ya kutwa mzima ya leo.
Nina ndugu yangu anaumwa ngoma yupo stage ya mwisho. Amepelkwa hospital nyingi kila hospital unapiga rufaa kwenda hospital...
Wakuu habarini!,
Mwaka Jana niliungua TB kwa bahati nzuri niliweza nikatumia dawa kwa miezi 6 nikapona.
Lakini baada ya miezi kama 5 hivi,kihoozi kilirudi mpaka sasahivi nakoa tu..nimejaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.