Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Leo nimeamka hivi! Hii nimeikuta sana maeneo ya pwani, ukanda ambao unasadikiwa kuwa na wazee wa ‘mizigo’ wengi. Utasikia vijana hivi watundu au kiutani wakimkejeli Mzee mwenye mzigo kwa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari ndugu zanguni, Ninaomba msaada mtoto wangu ana umri miez 4 Lakini kila akinyonya tu baada ya kumaliza anaharisha choo cha kijani chenye kamasi sana nilimpeleka kwa tabibu nikapewa septrin...
0 Reactions
7 Replies
20K Views
Habari za muda huu wakuu! Naomba msaada nitumie dawa gani, tumbo linauma na kuacha au nikanunue dawa gani? Leo ni siku ya pili.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ebeneezer, a medical doctor and a herbal practitioner at the Amuzu Hospital has instructed men to have sex at least 21 times a month to avoid prostate cancer. She pointed out the need to have...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari, Mimi ni binti nasumbuliwa na maji kutoka sehemu zangu za siri yenye harufu sana. Nilienda hospitali mara 4 kwa vipindi tofauti tofauti nikafanyiwa vipimo wakakuta nina vivimbe maji...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Samahani naomba kuuliza, Nimepatwa na hili tatizo yapata mwezi sasa. Maji yanatoka kwenye uume wangu hayana harufu na wala sio usaha. Nikikojoa hapaumi, ila kuna muda yanachuruzika na muda wote...
2 Reactions
41 Replies
12K Views
Since everybody poops...well how often do you?..the frequency., Mimi ni kila siku, kama sio kila siku basi ntaruka siku moja.. Uzi tayari., Wewe je.,
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Wadau habari kuna mdogo wangu ana tatizo la kuwa na mate mengi mdomoni hii humtokea Sana akilala usiku na mate haya hutoka kama udenda hivi. Tatizo hili humkumba hata kama atapata usingizi popote...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Mimi tatizo langu najaa mate mdomoni nikiwa usingizini.Nikishtuka nameza lakini huwa yanatoka mpaka mto wangu unaroa na mto una nuka sana. PLEASE HELP KUNA DAWA?
0 Reactions
15 Replies
26K Views
KITAMBI au kiribatumbo ni hali ya tumbo kuwa kubwa, ambapo huchomoza mbele na wakati mwingine kunig’inia. Kitambi kinasababishwa na ongezeko la mafuta mwilini ambayo huwa yanakuja kutunzwa katika...
5 Reactions
24 Replies
6K Views
msaada wataalam, Nimeumwa na nyuki mchana huu jicho limevimba sana naomben msaada kwa anayejua dawa ipi ya asili au ya dukan itakayonisaidia kupunguza uvimbe maana kesho nnasafari kwenda kwenye...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Jamani nimeng'atwa na nyuki usoni macho yamevimba kiasi kwamba sioni bila kuyatanua macho. Naombeni msada kwa anayejua dawa ya kuondoa uvimbe. Asanteni
0 Reactions
16 Replies
22K Views
Uboho au ‘Bone Marrow’ ni ute unaopatikana ndani ya mifupa mirefu katika mwili wa binadamu huku kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha chembechembe za damu ambazo zina kazi mbalimbali mwilini. Kuna...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam wakuu! Naomba kujuzwa kuhusu huduma za kujifungua kwa mama mjamzito katika hospital ya Mwananyamala!rafiki yangu ameandikiwa akajifungulie mwananyamala mwezi ujao ila sasa anawasiwasi sana...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wana jamii wenzangu!... Awali ya yote niwasalimu katika bwana. Kwa anayefahamu samaki aina ya pono ningependa kujua anasaidia nini katika mwili wa mwanaadumu. Nasikia analeta usingizi...
1 Reactions
2 Replies
7K Views
Naomba kuuliza wataalamu Kuna Uhusiano gani Kati ya uvimbe kwenye kizazi na tumbo kuwa Kubwa kama mjamzito?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu naomben mnijuze shida ni nini week ya pili sasa inakata sipati kile choo cha kawaida yaan kama naharisha ila kdg sana vle vle kujamba tumbo kuunguruma eti inaweza kuwa ugonjwa gani huu kabla...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu? Ningependa kufahamishwa kuhusu hili suala la upatikanaji wa kipimo cha mimba kwa njia ya mkojo kwa wanawake. Hivi kinaweza patikana katika maduka ya dawa muhimu kwa binadamu...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
  • Closed
Utunzaji wa aina ya Kangaruu wa Mama kwa Mtoto (UKM) ni njia ya utunzaji iliyopewa jina kwa kurejelea jinsi kangaruu wanavyowatunza ndama wao. Njia hii imetambulika kuwa bora sana katika kuwatunza...
3 Reactions
0 Replies
4K Views
Ndugu zangu naomba msaada weekend iliyopita nilipiga pombe sana, ratiba yangu ya kunywa bia ni kuanzia Ijumaa mpka Jumapili ila nimepata tatizo moja weekend iliyopita nilipiga Sana vyombo asubuhi...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Back
Top Bottom