Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Ni kama ulimi umechanikachanika japo si sana na radha nahisi bado ila nahisi Kama kuwa na ganzi midomoni!.. Nitumie dawa gani?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nahuu umri wangu nlikua sijawai kutumia P2..Kuna Siku nilidu baada ya kuangalia calendar nikajua..nisiku ya high chance of pregnancy..hee nikashtuka. Basi nikaenda kununu P2. Tena nikawasifu Sana...
9 Reactions
79 Replies
11K Views
korodani la kushoto lilivimba na kuonekana kama limeota lingine la 3,baada ya kukutana na mwanamke tuliepanga kufanya ngono.liliuma sana lakini uume bado ulisimama. Je tatizo ni nini la korodani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujuzwa tatizo la uvimbe kwenye korodani na athari zake.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wataalamu wa afya na watafiti wa mambo haya tuambieni Mbu jike aina ya Anofelesi ana uwezo kwa kuambukiza mtu ugonjwa wa malaria kwa njia ya kuuma mtu kupitia damu Hoja iliyopo, iweje mbu huyo...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Samahani sana ndugu zangu wana Jf, Leo ni siku ya 3 naskia maumivu nyuma ya goti hasa wakati wa kuukunja na kuunyoosha mguu Hivo naomba msaada wenu juu ya hili tatizo ndugu zangu[emoji120]...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Je, Kuna uwezekano VVU kutooonekana baada ya miezi sita kupitia kipimo cha Sd bioline?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwanini watu wazima hawapati mapunye kichwani Kama ilivyo kwa watoto. Maana watoto wengi hukumbwa na tatizo hili!
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Madaktari mliomo humu heshima kwenu Naomba ufafanuzi wa kitaalam. Ninini uhusiano kati ya figo (ya mwanaume) iliyokuwa damaged lakini matibabu yakiwa yanaendelea ingawa bado kupona. Sasa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu msaada tafadhali kuna matatizo tunayaona yakawaida lakini nimageni kwenye jamii yetu. hata baadhi ya wazee ukiwauliza wanasema hayakuwepo kabla. matatizo yenyewe ni Haya yafuatayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello jf doctors. Mimi ni mjamzito nasikia kwa watu eti wajawazito hawaruhusiwi kula kiporo, je kama nikweli ukila unapata madhara gani? Tatizo lingine najitahidi kula matunda ipasavyo ila...
1 Reactions
2 Replies
33K Views
Habari zenu wana JF? Naombeni msaada wenu nateseka na hivi vipele vya rangi nyekundu vinawasha sana hii wiki ya 3 toka vianze kunitokea,. Naomba msaada mwenye kujua dawa maana minyoo nimepima...
1 Reactions
117 Replies
35K Views
Sehemu ya siri ya wanawake ni kiungo hatari sana ambacho kinahitaji kupewa uangalizi maalum Ni sehemu inayohitajika kusafishwa kwa umakini kwasababu magonjwa husambaa kwa haraka na kwa njia...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habarini za usiku ndugu na rafiki zangu? Bila kusita niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Mimi ni kijana mwenye umri miaka 26 nina mchumba wangu anasumbuliwa na tatizo, maumivu ya mara...
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Habari zenu wakuu, natumai mko Salama na mnaendelea vyema na majukumu ya ujenzi wa taifa. Niende Moja kwa Moja kwenye mada. Mimi HumbleBoy98 nimekuwa na tatizo la usikivu kwa takribani miaka 9...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Nina Damu Nyingi Hali inayonipelekea Kichwa Kuuma, Kizungu zungu na Mwili Kukosa Nguvu.Wana Jamvi Hakuna Tiba Mbadala Zaidi Ya Kutoa Damu?
1 Reactions
21 Replies
9K Views
Habari wadau, Naomba kujua ni kipimo gani kinafanywa kugundua tatizo la appendix/kidole tumbo. Na gharama yake. Gharama za upasuaji Na hospital ipi ni nzuri kwa mkoa wa Arusha kutibiwa tatizo hilo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za muda huu ndugu zangu? Naombeni mnisaidie Nina mtoto mdogo wa miezi minne ameota vipele vyingi vinatoa majimaji nahisi tetekwanga naombeni mnisaidie naweza kumpa dawa gani ili apone...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari Wana Jf, Samahani ni kwa wiki mbili sasa nmekua nikiwashwa kuanzia maeneo ya kiunon mpk miguuni hali hyo inanifanya nijikune kila wakati Mbaya zaidi uume pia unawasha sana hvo nalazimika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, ninataka kujua kama ninaweza order prescription drugs mtandaoni kwzikaja kwa njia ya posta nikazipokea au ninahitaji kibari? Ni box kadhaa baada ya hapo nitaziforward kwenda sehemu nyingine...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom