Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari zenu wana jamii, na miezi mitano toka nijifungue nimepata maradhi miezi miwili baada ya kujifungua naumwa sana miguu kwenye magoti, maungio, vifundo vya miguu na mikono huvimba pia na...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Kuna dada yangu alikua mjamzito wa miezi 3!!siku zilivyozidi kwenda akawa anasumbuliwa na tumbo sanaa!!sasa mwezi uliopita tumempeleka hosptal docta akasema mimba ili haribika! Tukalipa pesa...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Reader mode 1.thick white discharge If thick white discharge goes along with others symptoms such as itching burning and irritation it is probably due to a yeast infection if not it is normal...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Dubu ni mnyama ambaye ukikaribia wakati wa baridi Kali, hula Chakula na kunenepa na anaweza kukaa hata mwezi bila kula wakati huo akitumia Akiba za Mafuta mwilini mwake. Nashangaa vibonge wengi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii mada iliwekwa kiingereza na mtoa mada nilibugi kuandika lugha ya mkoloni, hapa nimeedit kuweka haya maneno ya kiswahili. Tuchangie kwa lugha yetu, nikipata muda nitaiweka yote kwa Kiswahili...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu.Naomba kama kuna mdau mwenye ufahamu kuhusu tatizo la kumwaga mate au udenda wakati wa usingizi,nini sababu hasa ya tatizo,na tiba yake. Binafsi nina tatizo hili,na lina...
1 Reactions
6 Replies
15K Views
Napenda kufahamu kama mama mjamzito anaweza kujifungua kwa njia yakawaida baada ya mimba yakwanza kujifungua kwa upasuaji uliosababishwa na njia ndogo wakati wakujifungua
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari.Wapendwa wapi nta pata vidonge vya kubalance hormone za mwili, lengo ni kucontrol sebum production
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Doctors nisaidieni, Kuna wakati huwa nasikia mwili unawaka moto especially sehemu za mapaja tena panakuwa na maumivu,hivi hii inasababishwa na nini na tiba yake ni nini?
2 Reactions
8 Replies
22K Views
Habari wa jf, Kama mada ilivyo hapo juu mimi kila ikifika jioni macho yangu huwa yanawasha sana yani najikuna sana mpaka macho yanakuwa mekundu, naombe msaada wenu nimetumia sana dawa mpaka...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Inaletwa kwako na mkunga, Habari wanajukwaa, awali ya yote poleni sana na majukumu ya kila siku, leo ningependa niwape mada fupi kuhusu uzazi wa mpango, na uzazi wa mpango ninaowaletea leo ni ule...
4 Reactions
16 Replies
7K Views
Nina week nne nahara mfululizo, nilipima wakanambia mchafuko wa kawaida kutokana na maji nilikua nakunywa nilivyobadili mazingira . Tumbo haliumi ila natoa ushuzi una harufu kali, nahara leo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Dogo antoka matongo tongo kwenye jicho moja. Siku hizi hayaambatani na maji maji ya machozi. Nilimpeleka hospital akapewa dawa flani ya kunywa sasa baada ya wiki hali imerudia. Kuna mwenye uzoefu...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Habar JF doctors Ni siku chache nimeanza kupata maumivu ya kitovu. Ila leo naona yamezidi zaidi. Kitovu kinauma kati na kinavuta kwa ndani siwezi lalia tumbo kabisa ni ubavu kwa ubavu. Naombeni...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Ndugu zanguni habarini za Asubuhi ? Nimefanyiwa oparesheni ya kwenye utumbo wangu hivi napaswa kutumia vyakula gani ? Na ni vyakula vya aina gani sipaswi kutumia, Mie niliambiwa nisitumie...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Preview Nina Maumivu chini ya kitovu, takribani ni miezi mitano sasa nime angalia Utra sound wamesema kuna vijiwe,nimetumia dawa lakini maumivu bado yapo pale pale na sina UTI, henia wala tezi...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Wakuu habari! Kuna aina ya uvimbe mdogo mdogo kama vipele vinanitokea kwenye mikono, naombeni msaada kwa Dr mwenye ufahamu navyo kuhusu vinasababishwa na nn na ni nini tiba yake
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni mwaka wa pili sasa hili tatizo linanitesa mpaka nimekata tamaa ya kuzunguka hospital zote bila kujua tatizo ni nini, jamani msaada wenu mwenzenu hii hali inanitesa sana.
1 Reactions
21 Replies
9K Views
Habarini wana jf nimatumaini yangu mu wazima nimeona niingilie huu uzi maana namm nina tatizo la infection kwenye sikio. Lilianza nikiwa Dar nikaenda pale Ekenywa akanicheki dr akaniambia inabidi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kama mada isemavyo, naomba msaada wa tiba ya 'Ingrown toenails'. Ni kwamba kucha za vidole gumba vya miguuni zikikua huwa zina kata nyama za kidoleni kadri zinavyorefuka hasa upande wa ndani ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom