Ivi kuna ukweli juu ya ugonjwa wa ngozi au ndio yale ya UKIMWI na Waafrica?
HAKUNA UGONJWA WA NGOZI
★____________★_____________★
Kwanza kabisa huwa mnaibiwa na hawa madakitari wa ngozi na...
Wakuu poleni na majukumu ya kikazi. Naombeni msaada wakuu wangu hivi tatizo la kipanda uso linasababishwa na nini? Na je kuna tiba ya kuliondosha tatizo hilo?
Mwenye kujua naombeni msaada wakuu...
Kwa yeyote mwenye ujuzi wa tiba asili naomba anijuze jinsi ya kujitibu henia ya utumbo (enguinal hernier) bila ya upasuaji maana inanisumbua sana na nashidwa hata kukimbia.
Habari Wananchi wenzangu, poleni na pilikaplika za kutafuta riziki.
Naomba kwa wataalamu watusaidie ukweli kuhusu huu ugonjwa wa kansa ambao kila siku unatutenganisha na wapendwa wetu japo kuna...
Habari wakuu,
Naomba msaada anayejua tiba za jadi au mtaalamu anayetibu mtu aliyepata kiharusi upande mmoja wa mwili, (aliyetupiwa jini), wataalamu Tanga au Pemba.
Msaada tafadhali
Salaam,
Nahitaji kujua kama mwanamke akipata mbegu za kiume akaweka kwenye bomba la sindano na kujidunga ukeni anaweza kupata mimba?
Hapa nazungumzia ile ya kinyumbani sio ya kwenda hospital na...
Habarini viongozi
Ni kama mara mbili hivi sasa nimekuwa nikishituka kwa kasi sana na kuhisi kama nimepigwa na shoti ya umeme.
Je..!! hili hunitokea mimi tu au pia kuna mtu amewah kupatwa na hii...
Wakuu wasalam
Mtoto wangu mchanga mwenye siku 13 ana uchafu kama utando mweupe kwenye ulimi wake. Vile vile kuna kama viupele vidogo katika ulimi.
Mtoto ananyonya vizuri na hajaonesha dalili ya...
Kwa maelezo mafupi tu hii inaenda mwezi wa pili ameshindwa kuingia period lakini tumepima mimba mara tatu lakini majibu yanaonesha hana mimba. Je, Inaweza kuwa tatizo gani wajuzi wa mambo?
Msaada...
Habari Watanzania,
Kuna huu Mmea ambao unapatika Mikoa yote ya Tanzania na kila Mkoa wanaita kwa jina lake la Asili kwahiyo unawezakuta hapa ukaitwa kwa zaidi ya Majina 100.
Huu mmea 👇 ndiyo...
Wanasayansi wa Australia wanasema kwamba sumu ya nyuki wanaotengeneza asali ina uwezo wa kuharibu seli hatari za saratani ya matiti katika maabara.
Sumu hiyo na kemikali aina ya melitin -...
Leo nimeamka asubuhi koo linawasha. Baada ya muda nikaanza kohoa na kukamatwa na mafua makali sana. Binafsi sipendi mafua na kukohoa. Ila napenda sana kupiga chafya.
Ikabidi nianze harakati za...
Amani iwe kwenu wana JF, rejea mada husika.
Mimi ni kijana wa umri wa kati ya miaka 25&27 uzito wangu ni k 94 urefu ni fut 6.2, majira ya jumatatu alasiri nilikunywa kahawa kikombe kimoja na...
Wakuu habari za jioni, kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina mtoto wangu hapa kama miezi miwili iliyopita mtoto wangu alikula nyama ya kondoo sasa kumbe nyama ya kondoo imemkataa kabisa hali...
Naenda kwenye maada moja kwa moja mimi mwenzenu yamenipata haya nilioyaeleza hapo juu nnaomba msaada namna ya kumlea mtoto huyu wa mwezi mmoja asije akazulika
Mwenye elim kuusu hili anisaidie...
Watu hao juu huwa na wembamba mzuri na kukwepa magonjwa ya moyo,pressure na sukari,kwani hufanyeje fanyeje hadi kulinda miili yao?ili na sisi tuwe nayo.
Amani iwe juu yenu. Wakuu Hali yangu si nzuri nataka kujua hizi dalili za ugonjwa gani ?
1) kichwa kuuma maeneo ya utosi
2) kupoteza hamu ya kula
3) kupata kichefuchefu Cha kutaka kutapika
4)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.