Habari madaktari,
Nahitaji msaada kwakweli, baada tu ya kujifungua huyu mtoto wangu wa kwanza nasahau mnoo, inanikera sanaa kwakweli, nasahau haraka sana na mara kwa mara, ninaweza kuwa na fanya...
Watu wengi hawaelewi kwa nini wa kinywa pombe wanalewaga. Ungana nami nikuelezee.
Pombe (alcohol) ina compound inaitwa phenyldiethyl ethanol ambayo ina create carbon carbon double bond between...
Mimba iliharibika akasafishwa baada ya mwezi mmoja akaona siku zake
Ila baadae miezi iliyofuata hakuona hedhi badala yake amekuwa anableed, mgongo kuuma na tumbo kuvimba.
Nini tatizo?
Habari? Poleni na kampeni.
Nimeweka huu uzi hapa ili wengi wausome nipate msada. Naomba msaada wa dawa ya kumsaidia mtoto mwenye nyama za pua kwa anayejua. Ni wa miaka 6.
Asante.
Habari wana JF pendwa. Naomba ushauri wa kitaalamu.
Mtoto wangu mwenye umri wa miaka sita ameng'oa meno ana muda wa miezi mitano sasa hayajaota.
Je ni sahihi au kuna tatizo?
Ushauri wenu...
Je ni Kweli madaktari wanapojua mgonjwa atakufa humficha na kuwaambia ndugu zake tu?
Pana tetesi huzisikia kwamba madaktari wanapotambua mgonjwa atafariki, au ana tatizo kubwa sana kuliko mgonjwa...
Msaada waungwana,
Meno yangu ya Juu upande mmoja yanakufa nganzi mara kwa mara, pia nina continuously backbone pain.. sina hakika sana kama kuna mahusiano.
Shida yangu kwa anayejua tiba aisee...
Kuna mzee mmoja anauza madafu mara nyingi naona watu wanajambisha (kubana midomo kwa mikono kisha kutoa mlio kama kujamba au tarumbeta) basi yule mzee huwa anashtuka na kuruka na kuanza kufanya...
wajumbe kuna wakati nilikuwa na tatizo la kutopata hamu ya kula hata ukinipa silace mbili za mkate simalizi na sina hamu ya kula tena,...kuna mtu akanishauri ninywe castol oil.
Aisee nilipokunywa...
Katika malezi yangu, kuna wakati mtoto huharisha (kinyesi kilichochanganyika na ute mzito au malenda) na nimekuwa nikiambiwa nisimpe dawa na hiyo hutokana na kuota meno.
Hawa waliokuwa wakitoa...
Habari wakuu,
Tangu jana asubuhi nilipodamka nikajaribu kunyima kichwa cha uume kidogo nikaona uchafu mweupe mithili ya maziwa unatoka,pia nikienda kukojoa mwishoni nahisi maumivu makali sana. Na...
Wadau kwa sasa kuna dawa ambayo inapigiwa upatu kwamba inasaidia kuongeza kinga ya mwili dhidi ya corona. Ni mchanganyiko wa vyakula vya asili. Inaitwa NIMRCAF.
Kama kuna yeyote anaifahamu...
Wakuu habari za Leo,
Kiukweli kuna tatizo linanisumbua ambalo halijawai kunisumbua kabisa.
Nahitaji kujua kwenu ni athari zipi zaweza kumpata mtu kiafya anapopenda kula denda.
Habari zenu watabibu,
Nina miaka 27 sasa, mimi ni dereva wa gari. Nahisi ndiyo tatizo langu lilipoanzia, seat ya hili gari inagonga sana ukijumlisha na njia ninayoendeshea. Twende kwenye maada...
Habar ndg kama kichwa cha habar kinavyo sema hapo juu.
Ninasumbuliwa na matatizo ya kuuma kwa tumbo kwa muda wa miaka 3 sas nimeangaika hapa Dar mikoani nimetumia madawa hadi na kata tama naomba...
Ndugu yangu ana matatizo ya kusikia na ni ya kuzaliwa nayo, Dokta amesema msaada pekee ni mashine ya kusikia, ni mwanafunzi, naomba mnijuze labda ubora za madhara yake, na pia bei zake na brand...
Katika mila na desturi zetu, kuna ugonjwa ambao umezoeleka kuitwa mdudu wa kidole. Katika mila na desturi hizi, inaaminika kuwa kuna mdudu ameingia kwenye kidole, mara nyingi chini ya ukucha...
Habari wakuu,
Kuna tatizo linamsumbua jamaa hapa yaani akikaa ametulia mida ya mchana jua linapowaka anasikia tumbo kama linachemka,ila inapofika jioni hali hii inapotea kabisa....anasikia joto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.