Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Taasisi ya Moyo ya Marekani imetoa tafiti inayoonyesha kuwa uvutaji wowote unaathiri mapafu, mirija ya damu na moyo kwa ujumla Utafiti wa hivi karibuni umeonyesha bidhaa zote za bangi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Poleni na majukum ya kujenga Taifa ndg zg , mtoto mwenye umri niliyotaja hapo juu analia Sana ( Sana Sana wakati was usiku) Kama tumbo inamsokota vile, Kuna muda anajikunja sana, huku akiwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kulingana na daktari wa afya ya uzazi wa wanawake nchini Tanzania Dkt Berno Mwambe, hali hii kwa Kiingereza hufahamika kama Disorder of Sex Development (DSD). Hii ni hali ya viungo vya uzazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa hili, ni jambo la heri kuona watu wanasaidiana kupeana mawazo ya kitabibu ili walio na matatizo kiafya wapate kupona ama kuchukua hatua madhubuti ili wawe na afya njema. Najua...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu ninasumbuliwa na maumivu makali kiunoni nimeenda hospitali lakini dawa hazionekani kunisaidia! hivyo nimepewa ushauri na ndugu na jamaa kuwa dawa za asili za Kihindi na Kichina...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
JE UNAUJUA UGONJWA WA BUSHA (HYDROCELE)💊💊💉💉💉 Mabusha ni hali ya kujaa maji kwenye mfuko wa pumbu. Hali hii hutokea kunapokuwa na mkusanyiko wa maji kati ya tabaka mbili za utando unaozunguka...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Kumekua na kesi mbalimbali za vifo sababu ya watu kumeza dawa kisha kujisahau na kunywa pombe. Hii ni changamoto kubwa sana kwenye sekta ya afya kawaida dawa yeyote anayopewa binadamu kutibu kitu...
10 Reactions
18 Replies
16K Views
Habari za majukumu wapenda mwanangu anawiki tatu tangu azaliwe na leo ni siku ya tatu tokea aanze kutoka na tongotongo lilianza jicho moja leo yamekuwa yote mawili nimeenda hospital ya wilayani...
0 Reactions
6 Replies
45K Views
Habari, Mwanangu wa miezi kumi na moja ameshikwa na mafua makali tumetumia dawa zote za madukani yanapungua kidogo lakini hayaishi. Naomba msaada
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habarini wana jF, Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 22 ninasumbuliwa na tatizo la kuwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa kila muda. Nililikuwa naomba msaada wa dawa inayoweza kuniondolea hamu ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu pole na mihangaiko. Nasumbuliwaga na nta masikioni, ambapo nta ujirundika na kushindwa kutoka nje. So nkawa naenda Kairuki pale Kuna madaktari wako vizuri Sana. Nilikuwa nasafishwa masikio...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba mwenye kujua tiba anisaidie, Nikisimama wima kwa takribani dakika mbili nasikia maumivu makali tumboni upande was kushoto.Nikikaa au kutembea hali hiyo huisha kabisa. Nimetembelea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa? Naombeni ujuzi kutoka kwenu toka juzi naskia Kuna kitu kinacheza tumboni upande wa kushoto Yani kinacheza kwa nguvu Kama vile mtu ananikanyaga kwa ndani sasa leo kipindi...
3 Reactions
17 Replies
23K Views
Kwa mwanamke ambaye alipata tatizo la ectopic pregnancy (iliyojishiliza kwenye fallipian tube) na ikatolewa kwa upasuaji. Je, anatakiwa kukaa muda gani ili aweze kubeba tena ujauzito?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam kwenu wakuu, Ninashida moja ya kiafya,kwanza ninahisi maumivu makali kwenye chemba ya moyo,halafu kiungulia kingi na kuna kitu kinanitembea hapa kooni mwashoni mwa koo kuelekea kifuani...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Ni mwaka sasa tangu ichi kidonda kinipate. Kilianza kama jipu karibu na sehemu ya aja kubwa. Baada ya siku mbili kikawa kikubwa uku ndani kikiwa na usaha. Nikaamua kwenda hospital na kuni angalia...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
kheri ya mwaka mpya wadau. Naomba ushauri kwa anaejua bima ya afya ( isiwe ya watoto, ) ambayo ni ya gharama nafuu. nina wategemezi watu wazima wanne ila siwezi kumudu ile ya NHIF ya 1.5Mil...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wapendwa nawasalimu kwa upendo wa Mwenyezi Mungu, Mungu katujalia mtoto mwezi wa nane mwishoni but, kwasasa nimepoteza hamu ya tendo la ndoa, sijajua shida ni nini. Naomba ushauri wenu wadau hasa...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
DAKTARI bingwa wa magonjwa ya pua, koo na mdomo kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila, Perfect Godfrey, ameishauri jamii kuwapeleka watoto wanaokoroma hospitali kupata matibabu kwani...
2 Reactions
4 Replies
10K Views
Habar wakuu, licha yakwenda hospital mara kadhaa nakupewa dawa but maumivu ya kifua+kubana bado yananitesa sana.Nahitaji msaada wenu. Cc MziziMkavu etc
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Back
Top Bottom