SOLUTION FOR MISCARRIAGES.
This plant really works wonders for women who frequently have miscarriages.
It is called Amaranthus cruentus in scientific name, Amaranth in...
wadau,
Ninaomba ushauri wa dawa nzuri za mafua au kikohozi kwa mama mjamzito wa mimba ya week 37-38.
Dalili ni;
kikohozi kikavu
kubanwa na kifua
pua kuziba
natanguliza shukrani zangu.
regards.
Habari zenu waungwana? Mimi ni mschana wa miaka 23. huwa napata hedhi mara mbili ndani ya mwezi mmoja yaani ni hivi mwezi huu wa kwanza nilipata hedhi tarehe 4 ikaisha Siku 5.
Sasa hivi tena huu...
Habari dr?
Mwanangu anasumbuliwa na vipele vina miezi mitano (5) sasa mahosptal tumeenda bila mafanikio mpaka kwa specialist wa ngozi akasema vinasabibishwa na vrusi na pia dawa ni kuchoma au...
Natumai hamjambo wanabodi,
Wakuu mimi baadhi ya nyakati hukumbana na hii hali ya kujihisi mpweke hata niwapo mbele za watu, yaani unajikuta bored then hujielewi tu, je ni ipi suluhu ya tatizo...
Wakuu kuna ndugu yangu anasumbuliwa na vipele vidogo vinamuwasha sana vipo kichwani kwenye nywele akikuna unatoka unga mweupe, vipo kifuani mgongoni makwapani.
Alienda hospital mara 3 akaambiwa...
Kisayansi imekaaje mtu anapata ajali au anagonga kichwa na kupoteza kumbukumbu karibia zote ikiwepo na jina lake lakini lugha aliykua anatumia kabla ya janga Hilo hasahau.
Jambo hili lina...
Wakuu habari za weekend,
Shida yangu kubwa ni meno yangu mawili ya mbele, meno ya tabasamu. Meno haya yameinuka kidogo kiasi ambacho yamezidi ule usawa wa meno ya chini. Yametengeza kitu...
A new study revealed that a certain type of specialized white blood cells are capable of finding hidden infected cells in tissue and destroy them, providing new insights into finding a possible...
Habari jf doctor,
Nimepatwa na tatizo la kuhara maji tangu jana usiku nineenda chooni zaidi ya mara saba, juzi kuna dawa za minyoo zentel nimekuwa nikitumia inabidi nimalize leo je naomba...
Wakuu poleni na majukum,
Naomba msaada wapi naweza pata hii dawa (dapson tab) nlienda na mgonjwa wangu kwa dermatologist alikuwa na kidonda mguuni akaandika hiyo dawa nimezunguka maduka yote hapa...
Kuna tatizo ambalo huwa sijui kitalaam linaitwa vipi ila lipo kama hivi.
Korodan moja inakua ndogo tofauti na nyingine
Inavuta kama inataka kuzama kurudi juu
Je, tatizo hili kitalam linaitwa...
Wanabodi habari za asubuhi.
Kwa anayefahamu naomba ushauri au ufafanuzi wa nini kitakuwa kinanisumbua kulingana na maumivu nitakayoyaeleza hapa.
Huwa napatwa na maumivu makali upande wa kulia wa...
Wadau,
Ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya member/ wadau wakipotosha wenzentu (wanaoshi na VVU) kuhusiana na matumizi ya ARV au kwa jina lingine dawa za kufubaisha makali ya virusi vya Ukimwi...
Ni mara chache sana inatokea katika wanandoa kuwa mmoja ana VVU na mwingine hana. Ila kama ikitokea, Mara nyingi ni kuwa mwanamke anao na Mwanamme hana. (Ila mara nyingi kama Mwanamme ana VVU...
Salaam wana jf wote
Nimekuwa nasumbuliwa na tatizo la uvimbe sehemu za kwenye korodani ambapo shida mwanzo ilianza muasho sehemu za mapajan,korodani,nikaenda duka la dawa nikapewa dawa ya kupaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.