Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari ya mchana bandugu, Natumain wote tuko salama. Jaman nahitaji msaana kwa yeyote anayejua, me nina mtoto wa mwaka mmoja kamili. Tatizo lake week sasa anashituka sana usiku, yaani anaweza...
0 Reactions
12 Replies
36K Views
Ni siku ya nne sasa, kila nikishika pua upande wa kushoto nasikia maumivu makali mno, nashindwa kuelewa ni tatizo gani kwa kweli. Msaada tafadhali
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Bpharm: Chriss Johny Tatizo la kuwa na ukavu ukeni hutokea wakati tishu za uke hukosa ute wa kutosha na uke kutokua na afya thabiti. Kwa kawaida, kuta za uke hukaa zimehifadhiwa na safu nyembamba...
2 Reactions
4 Replies
9K Views
Welcome to this article, I know you want to know more about the habits that can damage the brain. So stay cool to follow up this article. In this article we will also discuss important things you...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Salaam Wakuu, kama mnavyojua kama binadaamu tuwapo hai basi kuna uwezekano wa kupata ajali au tatizo lolote muda wowote. Baadhi ya matatizo yanaweza kutupata kwa kutarajia na mengine yanaweza...
6 Reactions
10 Replies
8K Views
Kama kichwa kinavyosema hapo nakaribisha maswali yanayohusu afya
7 Reactions
414 Replies
52K Views
Habari zenu waungwana, Nimekuja nikitokea hospital ya ocean road ambako dada angu amepewa majibu ya vipimo kua ana cancer ya Kizaizi stage 1. Anatakiwa aanze tiba ya mionzi. Wanadai kizazi...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari zenu wadau, Nina serious issue, inanisumbuaga miaka nenda rudi, nashindwa kuelewa, whether ni uelewa wangu mdogo wa group za damu au la? Ninaomba msaada kwa mtaalamu anayeweza...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Za mida hii wana jf, Humu ni kisima cha maarifa unaelimishwa na kuelimika. Nina hoja yangu hii kidogo kwamba Hospital au ata kwenye movies mbalimbali naona huwa kuna kinyundo kidogo kama cha...
1 Reactions
4 Replies
944 Views
As we all know, heart is a muscular organ in most animals, which pumps blood through the blood vessels of the circulatory system .The pumped blood carries oxygen and nutrients to the body, while...
3 Reactions
2 Replies
638 Views
What is cardiac arrest? Cardiac arrest is the abrupt loss of heart function in a person who may or may not have been diagnosed with heart disease. It can come on suddenly, or in the wake of other...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
MATIBABU YA KANSA """"""""""""""""""""""""""""""""" Haifai kwa yeyote afe kwa maradhi ya Cancer baada ya sasa isipokua ni kwa uzembe wake. (1) Hatua ya kwanza:- Simamisha kutumia sukari na...
11 Reactions
38 Replies
7K Views
Mimi ni mama wa mtoto mmoja, Mtoto wangu ana miezi miwili lakini miguu yake hainyooki. Je, hii ni sawa kweli? Maana ndio mwanang wa kwanza sijui kitu.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nina twins wenye miezi tisa. Katika kuzaliwa kwao kulikuwa na complication kidogo hasa kwa Doto, ambaye alikaa vibaya na tulitegemea atatoka kwa operation, lakini Mungu akatia wepesi, wote...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Nimenunua maziwa fresh yale yanayokaa kwenye box. Nikayakuta ndani maziwa yake yameharibika na yanatoa harufu kali, kampuni zinazotengeza maziwa hapa Tanzania zikaguliwe kwa umakini maana...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Urutubishaji (Fertilization). Ni muunganiko wa mbegu ya mwanaume na yai la mwanamke, ambayo husababisha kuumbika kwa kijusi (zygote). Utaratibu huu kawaida hufanyika kwenye mirija ya uzazi kwenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A lot of people are not aware that carbonated drinks have numerous side-effects. Some of the negative effects according to researchers are: First ten minutes Do you know that one glass of a...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwanangu ana miezi miwili. Lakini kuna muda anatetemeka miguu kama baridi na kunakuwa hamna baridi pia kuna wakati anageuza macho yake kiini hakionekani na kama anarembua hadi anaogopesha! Je...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarin wazee... Kwa anayefahamu ni aina gani ya protein ni nzuri naomba kufahamishwa maana nishapiga sanaa vyuma naona nakauka tu Nawasilisha
0 Reactions
9 Replies
6K Views
LEO tutangalia madhara ya kula nyama… lakini kabla ya kuangalia madhara, kuna makundi makuu mawili ya nyama yaani nyama nyekundu na nyama nyeupe. Nyama nyeupe na nyekundu Nyama nyekundu...
3 Reactions
23 Replies
12K Views
Back
Top Bottom