Tatizo limeanza kidogo kidogo toka 2009 akiwa 4m 3.
Jicho kuwa jekundu. Alipofika 4m6 kukawa kama kuna kaweupe kidogo karibu ya mboni. Baada ya kwenda hospitali akaambiwa hiyo ni INFLAMMATION...
Wakuu natumai humu akishindikani kitu ninatatizo naombeni ushauri na kujua tatizo na tiba.
Ninasumbuliwa na muwasho katika shingo ya uume yani napenda kujikuna sana naisi raha tu ila ninapukua...
Wakuu habari za Leo,
Kiukweli kuna tatizo linanisumbua ambalo halijawai kunisumbua kabisa.
Nahitaji kujua kwenu ni athari zipi za kiafya anaweza kuzipata mtu anayekula denda.
Siku moja jioni mke wangu mjamzito alikuwa na kivimbe kama kigololi au kitenesi hivi kstikato mwa uke wake, hapo alikuwa na ujauzito wa miezi Saba.
Nikampeleka hospitality docta akasema ni...
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 22. Ni kama wiki ya pili sasa nakutakana na hili tatizo,
Yaani nikimaliza kufanya mapenzi (?) ngono na mwanamke baada ya masaa kadhaa yaani kama ni usiku basi...
Habari za asubuhi wana JF,
Naomba kuelekezwa home remedy kwa ajili ya tatizo la kuhisi kama kuna mchanga kwenye macho, macho kuuma na kupoteza uwezo wa kuona vizuri mazingira yenye mwanga na...
Wana bodi salaam,
Naombeni ushaur wenu hapa. Mtoto wang mdogo mwenye umri wa miezi 10 amekuwa na tabia ya kulia sana sana,asipo muona mama yake tuu ni kilio. Nilidhani pengine ana umwa...
Habari zenu wakuu,
Mwezi uliopita tulienda kijijini kumsalimia Mzee mmoja ambaye ni babu yetu
Baada ya siku 2 tukiwa shambani tuliona mti wa madodoki, ndipo mwenzangu akamuulza babu. Je, ni...
Kwa vyovyote vile faida za kutumia sanitizers kunawa mikono kujikinga na COVID-19 ni nyingi kuliko hasara za kuacha kutumia. Hata ni vema pia mtumiaji akafahamu madhara ya sanitizers.
Kwanza...
Dalili hatari kipindi cha ujauzito ambazo si za kupuuzia
Hata kama umesoma sana na kuongea na wazazi mbalimbali kuhusu dalili mbali mbali kipindi cha ujauzito, bado itatokea baadhi ya wakati...
Habari,
Nimekuwa katika weight loss journey kwa muda kidogo... Mwaka 2018 nlikua na kilo 64 lakini Kuna Dawa nilitumia nikaongezka mpaka kilo 95.
Sasa nimejaribu kupungua nasaivi nakilo 79...
Nilitumia ujanjaunja nikampima HIV bila yeye kujua, majibu yakawa positive baada ya vipimo nikaingia mitini, tumekuja kuonana baada ya mwaka mmoja kupita katika stori za hapa na pale nikamwambia...
Habari ndugu,
Nina mtoto wa kiume umri mwaka mmoja na miezi minne amekuwa analia anapotaka kukojoa ila akishakojoa anakuwa vizuri tu, nimeona hili tangu juzi ila nilifikiri ni kidonda cha...
Remedy for watering sperm and weak erections
Ingredients
Milk
Original honey
Native egg
preparatolion
Crack 3 native eggs inside cup add equal proportion of raw honey and milk to it stear it...
Mbegu za Flax (Flax seeds):
Wanaume wanapaswa kufahamu aina ya vyakula ambavyo si rafiki kwao katika kuongeza kiwango cha homoni ya kiume iitwayo testosterone inayochochea sifa ya mwanaume...
Naitwa naila naishi kibaha. Mimi ni mama wa mtoto mmoja nimemzaa tarehe 20/05/2020 mpaka sasa mtoto wangu anakama siku 49 kama sikosei.
Lakini mpaka sasa haonyesh kama anaona maana nikimuangalia...
BAADHI YA MWASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI
Nina miezi kadhaa nasumbuliwa na maumivu ya miguu sehemu ya makanyagio (kwenye nyayo eneo la nyuma).
Nimejaribu kufuatilia kwa madaktari...
Habari Tanzania!
Wataalamu wa afya, uchumi na fedha, watafiti na wapenda biashara na maendeleo wote kwa pamoja naomba muwasaidie watanzania wamechoka na magonjwa sugu na kuwa walemavu pasipo...
Wadau habari,
Nimekuwa ni mpenzi sana wa kutumia sukari, chumvi na pilipili nyingi siku za nyuma, nina miaka 27 na siku ambazo nilitumia sukari kidogo ni zile tu ambazo nilikuwa shuleni boarding...
Wataalamu mnalizungumziaje hili?!
Mwili wangu umejiwekea kawaida moja ya ajabu sana, hata sielewi ni kwanini.
Mara kadhaa nikiwa nimelala na mwanamke baada ya mapenzi, najikuta mpaka inafika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.