Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Maumbile ya siri ya wanaume yamegawanyika sehemu tatu 1. Uume mkubwa [TEMBO] 2. Uume wa kati [FARASI] 3. Uume mdogo [KONDOO] Kila mwanamke ana mapendeleo yake na hisia zake kuhusu ukubwa wa...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Wadau, kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbukiwa na tatizo la kutokwa na makohozi na mate ya utelezi. Tatizo hilo limedumu kwa muda wa miaka 3. Nimeenda hospitali kadhaa lakini sijapata matibabu ya...
3 Reactions
16 Replies
38K Views
  • Closed
Mke wangu alikuwa anaangalia nyigu kwenye dari. Ghafla akakojolewa na mmojawapo. Jicho limewasha sana. Hatujaweka chochote ingawa anaanza kupata ahueni. Naomba ushauri wenu iwapo kuna la kufanya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalam. Mimi sio mtaalam wa Afya wala miti shamba kwa mazingira yetu tunayoishi watanzania wote tumejikuta kwa namna moja au nyingine tunajikuta wote ni wataalamu wa mitishamba hata na Modern...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Habari zenu wakuu!? Niende moja kwa moja kwenye lengo langu Nahitaji kuuliza kuwa. Ni Muda gani kipimo Cha HIV kinaweza kudetect tangu ujamiiane na muathirika?? Je, Possibility Ipo ya...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Dear doctors! Naomba mawazo yenu ya kitaalamu katika suala langu hili. Tangu nijitambue Miaka Kama 15 iliyopita nimekuwa na shida moja kiafya nimekuwa nikishudia mapigo yangu ya moyo yakisikika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnijuze maana mimi mimi ndo nimeskia leo! Nilikuwa sina habari, Na Mbu huyo anakuwa Amemuuma mtu mwenye hayo magonjwa hapo juu, Kisha akikuuma na wewe pia lazima uugue, pia naomba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Natumai mnaendelea vyema kabisa. Well, swali langu ni kutaka kufahamu mtu anapoenda kupima Virusi vya UKIMWI, huwa vinaonesha Idadi ya wadudu waliopo ndani ya mwili wakuu? Na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hizi ni kada mbili za utabibu katika mfumo wa elimu Tanzania, medical doctors (MD) ni madaktari waliosoma doctor of medicine (five years) na Assistance medical doctors ni madaktari waliosoma...
1 Reactions
78 Replies
43K Views
Wakuu! Kuna hali ya tofauti naiona kwenye uume, Baada ya kukojoa huwa napatwa na maumivu kwenye kitundu cha kutolea mkojo, yani nawasha kama nimepaka pilipili, maumivu sio makali sana Sometimes...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Kwa jina lingine hujulikana kama GENITAL WARTS. SUNZUA ni ugonjwa wa ngozi unao sababishwa na virusi vya aina ya HUMAN PAPILOMA {{ HPV }} ambapo huota kama vipele au vinyama ambapo mara nying...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimeona niwashirikishe wenye dry eyes maana hii tiba ni lishe hata kama haitakutibu macho basi mwili utafaidika. Nilikuwa nasumbuliwa sana na tatizo la dry eyes ikanipelekea kuwa na Surfer's...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jamii! naomben kujua kuhusu hili! Kwanini binadamu haoni gizani?:rolleyes:
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamani nipo Huku kwa wangoni kjiji fulani kama week plus, ila kutokana na mazingira inanibidi nitumie maharagwe everyday kama mboga kuu kwa haya maeneo kiukweli haziishi Siku mbili lazima nipige...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Hydroxychloroquine Lowers COVID-19 Death Rate, US Study Finds by Zachary Stieber The Epoch Times The anti-malarial drug hydroxychloroquine lowers the death rate of COVID-19 patients, U.S...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wakuu, Naomba kujua matibabu ya henia ya kifua na gharama zake kwa ujumla. Na dawa nzuri ya kusaidia acid reflux tumboni...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakuu habarini! Nasikia kuwa mtu alieanza kutumia dawa za ARVs uwezo wake wa kuambukiza mtu huwa ni mdogo kulinganisha na mtu ambaye bado hajaanza kutumia. Ufafanuzi kwa anaefaham zaidi.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mpunga ambao upo shambani chuma shina moja, kisha chukua punje tatu tu za chuya ya mpunga, menya maganda kisha tafuna, muda huo huo utajisikilizia hali kubadilika na kujisikia hali ya utulivu...
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Habari zenu wataalam wa afya! Mke wangu alijifungua kwa operation mtoto ana miezi tisa sasa, sasa huwa tunashiriki tendo kwa kuangalia kalenda tu kujua siju za hatari na salama. Sasa imetokea...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Natumai hamjambo wakuu wakuu kuna Mtoto wa mwaka mmoja na sehem, sasa tangu afanyiwe tohara amepona lakini akikojoa hakojoi direct yaani mkojo unatoka kidogo then baada ya mda unatoka tena. Je...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom