Jamani naomba ushauri wenu pua yangu kama imeziba hivi inatoa pumzi kwa kupishana muda huu inatoa tundu hili na muda huu inatoka tundu hili nimeenda hosptali sina vinyama nimepewa nasal spray...
Lengo haswa ningependa kushare kama kuna ambaye ana ufahamu au baadhi ya vitu ambavyo hunitokea katika mwili wangu tangu utotoni mpaka sasa na pia kama kuna mtu naye humtokea basi ningependa...
Mkaratusi ni mti wenye harufu nzuri na unapatikana kila sehemu duniani. Mafuta hukamuliwa kutoka kwenye majani yake na kuweza kutumika kama tiba
Hutuliza kikohozi. Hii ni kwa kujichua kwa mafuta...
Watu wengi licha ya kusoma na kufika level mbalimbali za elimu ambazo si za afya, tuna ule uelewa wa juu juu tu kuhusu mambo ya afya na hasa swala la maambukizi ya UKIMWI.
wengi tunajua ni...
Drs habarini, ninaomba kufahamishwa Hali halisi ya dada mlemavu anaeandika script kwa ulimi, Je Ile ni stroke ya aina gani, maana inasemekana kila kitu hakifanyi kazi chini ya Shingo, ni kichwa...
Habari wanajakwaa, naamini Mungu wetu yuko pamoja nasi jumapili inaenda vyema.
Nijikite kwa kile kilichonisukumua kuandika hapa,
Mimi ni kijana chini ya miaka 27 tatizo nililonalo kwa sasa sijui...
Wadau tangu mwaka huu umeanza nimeanza kuexiperience hali hii ya kukata moto mara tu ninapofika kileleni wakati wa tendo.
Hali hii imenishtua sana kiasi kwamba ninaogopa na ninaona aibu hata...
Na Festo Donald Ngadaya
Twitter, Instagram and Facebook @FestoNgadaya
Mwezi wa kwanza mwaka huu shirika la afya la dunia (WHO) lilitanganza covid-19 kama janga la kidunia (global pandemic). Toka...
Heshima kwenu doctors, naomba kuelimishwa juu ya hili tafadhali:-
Binafsi Nina mzunguko wa siku 27 wa hedhi, ninautumia kujua siku zangu za hatari na salama.
Lakini mwezi huu ilitokea nikafanya...
wakuu habari zenu.
Mimi ni mhanga wa watu walioteseka mda mrefu sana na tatizo la tumbo kuuma, kujaa gesi, kukosa choo na the like, kwa ujumla na ufupi wake constipation. Nimeteseka sana kwa...
Mimi ni kijana mdogo tu 20s naishi mpanda nimepata tatizo.
la fungus sugu mdomoni zinazo sababisha ngozi ya lips kukauka na kubanduka kwa takribani miaka 5 sasa nikienda kwa madaktari wanasema...
Wakuu poleni na mihangaiko.
Me niliumwaga ulcers yaani Niko kwenye dozi za hospitali Ila hali haijatengamaa.
Naomba kuuliza kwa mtu mwenye ulcers anaruhusiwa kula nyama na samaki?
Vipi kuusu...
Jamani ndugu watalaam mke wangu anasumbuliwa na mishipa ya mwili inapelekea mwili unavimba bila sababu, miguu inamuuma, vidole vinavimba.
Naombeni kujua namna ya kutibu huu ugonjwa ameshatumia...
Msaada kwa anayejua dawa ya kupunguza uzalishwaji wa kiasi kikubwa cha nyingi na kupelekea mdomo kuwa na radha ya uchungu muda wote na viungo vya mwili kuuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Awali ya yote Leo nimekuja kuwaletea mrejesho kuhusu afya yangu
Wiki iliyopita niliwaeleza wadau kuhusu tatizo langu la kiafya linalohusu mim kuwa na tatizo la kuamka asubuh mdomo unakuwa mchungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.