Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wakuu naomba kujuzwa kuhusu hii ishu ya kukuza mtarimbo mana pengine kuna iwezekano kama kuna mtu anakuza naomba nijue je kuna shida? Au kuna uwezekano wa kukuza uume na unene pia mke akaogopa na...
1 Reactions
50 Replies
15K Views
Ikitokea hivyo na wewe ni mtoa huduma ya kwanza; ya pili au ya mwisho? Mtu kapungukiwa maji na damu.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Huyu Mama mjamzito alianza clinic wiki ya 13 akapimwa vipimo mbalimbali alikuwa Salama,imefika wiki ya 30( round ya tatu ) ya kwenda clinic Mambo yakabadilika. Amepatwa ana kisukari lakini awali...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za mchana wandugu, Mwanangu ana tatizo la macho, akiwa anaangalia anafanya kama haoni vizuri, yaani macho anafumbua kwa mbali. Hii hali hutokea zaidi kwenye jicho moja, pia akiwa ameshika...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Neno food poisoning ni ugonjwa unaosababishwa na ulaji na unywaji wa chakula kilichochafuliwa au kuguswa na aidha sumu za bacteria au vimelea vya maradhi na kumsababishia mtu maumivu ya tumbo...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Side Effects of Long Term Paracetamol or Panadol Use Paracetamol side effects Use with caution in * Decreased kidney function. * Decreased liver function. Paracetamol side effects...
2 Reactions
14 Replies
11K Views
Mimi ni daktari bingwa wa magonjwa ya ndani na pia ni mkufunzi wa kitaifa wa magonjwa ya mlipuko ikiwapo COVID. Na nimekuwa nikitibu wagonjwa wengi wa COVID toka huu ugonjwa uje nchini kwetu na...
13 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu Waungwana, kuna mtoto mmoja wa kiume anamiaka 9 ni mtoto mwenye Utindio wa Ubongo, Huyo mtoto amekuwa hapati usingizi kabisa,Je mwenye kutoa ushauri juu ya dawa za kumpatia ili kuweza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tangawizi ina faida nyingi sana kwa mwili wa mwanadamu. Baadhi ya faida hizo ni kama ifuatavyo : 1. Kutibu kutokusagika kwa chakula tumboni,. 2. Kutibu tatizo la gesi tumboni 3...
1 Reactions
103 Replies
172K Views
Serikali ya Uingereza imesema kuwa dawa ya Dexamethasone itakayoanza kutumika mara moja kwa wagonjwa wa COVID 19 nchini humo ina uwezo wa kuokoa maisha ya waliopata maambukizi ya virusi hivyo...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wasalaam, Awali ya yote ni vizuri tukafahamu kuwa baadhi ya maneno yametumika kwa lugha ya kigeni ili kutoathiri muktadha . “procedure” hii ambayo kitaalamu inaitwa GASTRIC BYPASS SURGERY hii...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakuu habari naomba msaada natokwa ni vipele n vijipu kwenye mwili inaweza ikawa tatizo gani au damu imechafuka nifanye nini?
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habri zenu wana JF, Ningependa kwa yeyote mwenye ujuzi wa hili anipe ushauri... miaka 6 iliyopita nilikuwa nacheza mchezo wa karate, katika hali ya kurusha ngumi nikasikia mshutuko katika mfupa...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
  • Closed
Anga la Tanzania limefunguliwa takribani wiki 2 zilizopita na nchi kuruhusu Watalii kuingia nchini. Utaratibu wa watalii kuingia nchini utahusisha upimaji wa joto wakiwa Uwanja wa Ndege na kisha...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu Wiki mbili zilizopita nilikuwa na homa, kikohozi kikavu pamoja na mafua mfululizo. Nilitumia dawa za chenga na panadol ikiwa ni pamoja na kujifukiza huku nikinywa maji yenye tangawizi...
4 Reactions
34 Replies
8K Views
Inashauriwa kulala masaa 6-8 kwa siku. Lakini itakuaje kama ukiacha kusinzia kabisa? Kwa kawaida binadamu hutumia theluthi moja (⅓) ya maisha yake akisinzia. Hii ina maana mtu aliyeishia miaka...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi, naombeni niende kwenye Mada kama inavyoeleza hapo juu. Nimekuwa nawaza nianzishe duka la dawa ila naombeni mwongozo wa namna ya kuanza kwa kuona makisio ya mtaji, na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jamiiforum wiki kama mbili zilizopita kuna mwanamke nilifanya nae mapenzi bila kinga baada ya kufanya nae mapenzi after one week kuna mabadiliko kadhaa yamejitokeza na ninahisi...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
  • Closed
Ugonjwa wa COVID-19 ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na Virusi vya Corona vilivyogunduliwa Mwaka 2019. Virusi vinavyosababisha COVID19 husambazwa haswa kupitia vitone vinavyotokana na...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya mimba kuharibika yapata miezi wa miwili sasa imepita na bado hajapata hedhi yake , ili hali anaweza akapata siku moja na kupotea.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom