Za Usiku Viongozi?
Leo nilienda Kituo cha Afya jirani na Getoni kwangu kumpeleka Mtu wangu wa karibu, lakini baada ya kufanyiwa vipimo akagundulika ana ujauzito wa Wiki nane.
Hatimae amepewa...
KUKOSA CHOO WAKATI WA UJAUZITO.
Kukosa choo ni moja ya matatizo ambayo yamekuwa yakiwasumbua wajawazito wengi hususani katika miezi ya awali ya ujauzito na miezi ya mwisho ya ujauzito ,kukosa...
Wadau naomba msaada nina mtoto wangu wa kike wa miaka 7, alipofikisha umri wa miaka 5 alianza tatizo a kutoka vipele mwili hasa miguuni na kiasi kwenye vidole vya mikono. Nilimpeleka TMJ hospitala...
Habari wanajamvi
Nimekwenda hosipitali ya CCBRT leo hii kwa ajili ya kupima miwani mala baada ya miwani yangu kuvunjika nikiwa nashuka kwenye darada
Nilichokikuta pale ni huduma ziko well...
Wadau habari za leo? Naamini muu wazima, na wale wenye changamoto ya Afya nawaombea kwa mwenyezi Mungu AENDELEE kutupigania.
Naandika uzi huu kuomba msaada kwa wataalamu mlio humu. Juzi usiku...
Habari wakuu
Nina changamoto ya miguu yangu kuuma sana Pale nnapokua nimeining'iniza muda mrefu bila kugusa chini. Au nikivaa viatu vyepesi nikapita eneo lenye mawe hiyo hali itajitokeza.
Je...
Jaman wakuu naomba kufahamu ni Tatzo gani ambalo linaandama mwili wangu, Mda mfupi uliopita nilikuwa sjui maana ya njaa yaani nilikuwa sihisi njaa kirahisi nilikuwa nina uwezo wa kushinda siku...
Habari za wakati wakuu,
~ Tatizo la uhanithi ni moja ya mambo mabaya kabisa miongoni mwa maradhi yanayomkabili mwanadamu.
~Tatizo hili humpelekea mtoto/mwanaume kutokupata hisia ya kujamiina au...
Habari madaktari wa JF?
Naomba msaada wenu, nina mtoto wa kiume ana miezi 7 sasa, tatizo tangu amezaliwa anashtuka sana na mara kwa mara, yaani mshtuko wa mtu anayeogopa kitu ukidondosha hata...
Habari,
Juzi nilienda gym na nikapiga chuma Sana kwa kiasi fulani, lakin Jana na Leo nimeshindwa kwenda kutokana na maumivu ya mikono sehemu ya gimbi na Kwenye viungio,Na mkono wa kushoto ni kama...
Tanzania imeendelea kuboresha huduma zake katika sekta ya afya nchini baada ya Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo jijini Dar es Salaam jana kuzindua huduma ya kusafi sha fi go ambayo itakuwa inalipiwa...
Nina ndugu yangu ni mgonjwa wa akili hataki kunywa dawa ila chakula anakula naweza kumwekea dawa gani kwenye chakula ya usingizi maana usiku anasumbua sana na hospital waliwapa vidonge na yeye...
Habari za majukumu wana JF mimi nina mtoto wa kiume mwenye mwaka na miezi minne sasa lakini siku za hivi karibuni nimegundua kuwa katika korodani zake iliyoshuka ni moja yaani namaanisha ukimshika...
Natumai hamjambo wakuu,
Wakuu naombeni usaidizi wenu katika hili, je kumzaa mtoto akiwa mlemavu wa ngozi, macho, kiziwi, bubu, kilema or hata sura mbaya inatokana na sababu za kibailojia or...
Mimi ni mnywaji mzuri sana wa soda ya pepsi, wasi wasi wangu ni kwamba unapoiweka kweny fridge huwa inashika kutu kwenye vifuniko. je hii kutu haina madhara kiafya? if yes mamlaka husika zipo wp?
Tafadhali naomba mnisaidie, Visigino vyangu vinauma na nikinyanyua unyayo kwenye kisigino pana vuta kwenda chini kama pamefungwa kajiwe kadogo.
Naomba msaada wenu wa kitabibu.
Mara nyingi mtu anapokuwa au anapopatwa na hasira lazima chanzo kitakuwa mtu mwingine au jambo Fulani au tukio Fulani. Sababu za hasira hazipo nje ya hapo na kama kuna hasira nje ya hapa basi hizo...
How does crying work?
You are so much emotional, yet you feel so much better right after crying!!
Its amazing how emotions (sadness, happiness, anger, joy, relief, and confusion) are...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.