Habari za leo!
Mimi ni Mwanaume. (angalizo!)
Katika kipindi cha wiki tatu za karibuni nimekuwa nikisikia maumivu usawa wa kitovu upande wa kulia.
Maumivu hayo yanaongezeka zaidi nikitembea au...
Habari.
Katika wiki tatu zilizopita nimekuwa nikihisi sauti ya "kaaa" sauti mfano wa mvunjiko wa mfupa shingoni upande wa kulia.
Hulia kila ninapotoa pumzi nje hususani kwa nguvu ingawaje hata...
Mwanaume hutakiwi kucheza mbali na hizi mbogamboga kama unahitaji kuwa na risasi za kutosha kwa ajili ya bunduki yako.
Je, nini kifanyike kuwa na sperms za kutosha?
Fanya mazoezi mara kwa mara...
Hello Guys,
My mother is dying of Cancer. We tried everything we possibly could, but today we have been told by the Doctors that she will likely die within two/three days. It feels like a...
Husika na kichwa Cha habari hapo juu,
Mimi ni mama kijacho miezi mitatu na nusu. Jioni hi nimepatwa na shida ya mafua. Pua zimeziba kabisa napumulia mdomoni. Je, naweza kunywa dawa ipi ya mafua?
Habarini sana jamvi!!
Nilikua naomba ushauri kuhusu afya yangu week kama moja ilo pita nimeugua malaria,typhoid,minyoo,brucella na nilikua nimemaliza dozi ya ghono.
Nimetumia Madawa nikaribu...
Unapozungumza na madaktari wa chumba cha wagonjwa mahututi nchini Uingereza na mataifa mengine duniani ambao wamekuwa wakikabiliana na athari mbaya za Covid-19 kwa wiki kadhaa, maneno...
Salam wapendwa, nina hii tabia ya kuwa na hasira za karibu (short tempered), na nikichukia huwa sipati subra ya kukaa kimya yaani naropoka maneno makali mno, mpaka kuna muda siamini kama ni mimi...
Wakati dunia ikiendelea kupambana kudhibiti mlipuko wa CoronaVirus, Tanzania imetangaza kuendelea kwa shughuli nyingi za kiuchumi na kijamii.
Hii inapelekea Watanzania kulazimika kutafta namna...
Habari ndugu zangu.
Niende moja kwa moja kwenye mada Mimi ni kijana Wa miaka 29 nina tatizo LA kuwashwa kwa ndani ya uume hasa ninapokojoa huku uume ukiwa umesimama baada ya kumaliza kukojoa Mara...
Naomba msaada wa matibabu kwa mtoto anayesumbuliwa na kifua ambacho inasemekana kimesababishwa na kunywa maji machafu wakati anazaliwa, kwa sasa anaumri wa mwaka mmoja na miez 6 ameanza...
COLD WATER - CAUTION
Please be a true friend and send this article to all your friends you care about.
For those who like to drink cold water, this article is applicable to you. It is nice to...
Wanajamvi Huu ni ugonjwa wa muda mfupi lakini ni hatari mno! Usiombe ukukute upo mbali na nyumbani au uwe safarini ndani ya public transport aisee utaomba ardhi ipasuke utumbukie humo!
Ni...
wakuu,
hapa JF Dr kunana uzi huu:
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/210330-tonses.html
Dr Nguruvi3 alikuwa amemjinu mtoa mada kama nilivyoquote hapo chini:
Ni uvimbe katika Tonsils za...
Kuna Rafiki yangu amegombana hadi kafikia kumpa talaka mkewe kisa tu ana maambukizi ya VVU.
Ilivokuwa:
Rafiki yangu ananisimulia kuwa mke wake wakati ana Mimba aligundulika ana VVU mimba...
Kinga ya mwili ni ile hali ya mwili kuwa na uwezo wa kujikinga wenyewe dhidi ya maradhi mbalimbali.
Mtu anapokuwa na kinga imara za mwili, huepuka kuugua mara kwa mara na kwa kifupi unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.