Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
kuna mtu apa nmemsindikiza hospitalini juzi, anatokwa na vitu kama usaha uumeni ila havina ata harufu ya usaha vinatoka taratibu yaani kidogo kidogo, alvoenda hospital dr. alimwambia hana ugonjwa...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Mwenza wangu week iliyopita aliteleza kwenye mtaro akadondokea kiuno. Sasa naona bridi iliisha week iliyopita then leo imeanza tena. Tatizo nini madokta au afanye nini apone maana duuh?
0 Reactions
2 Replies
646 Views
INGREDIENTS : ▪Tigernut/aya(dry one) ▪Coconut ▪Dates/dabino ▪Ginger Tigernut milk is one of d most powerful ancient food source known to humanity and used traditionally to stimulate sexual...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapambanaji wenzangu poleni na mihangaiko na pilika pilika za siku zote. Niingie kwenye mada Mke wangu alikuwa na ujauzito wa mwezi mmoja na wiki mbili ikatokea bahati mbaya mimba ikatoka hivyo...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa miaka 28 mkazi wa Singida japo kwa sasa nipo Iringa. Mwaka 2018 nilikuwa Mbeya kimasomo ni mwanafunzi wa mambo ya afya katika kada ya afya. Tatizo linalonisumbua ni kuwa mwili...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari wana JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, wiki kadhaa nyuma nilikuwa nasumbuliwa na kifua kubana, yaani maeneo ya kifua kubana. Sasa ukichanganya na haya mambo ya corona na wiki...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Muda mwingi tunaambiwa kwamba Ukimwi ni Ogonjwa hatari sana, unaoa sana. Ila kwa ninavyo ona Kansa inatisha ni moja ya ugonjwa ambao kwanza una mateso...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Mkurugenzi wa Tiba Asili katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Dk Joseph Otieno alisema kujifukiza ni tiba ambayo imekuwa ikitumika miaka mingi na baadhi ya familia...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
This remedy is for those that have missed their periods. If your period is irregular not forth coming for long and you are seeking. natural ways to bring them back try this recipe. Do not go to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu Wana jf wenzangu, Baada ya mimi kusumbuliwa na maumivu ya koo na kifua kubana..hatimaye Nmepata suluhisho lake. Ili kupona changamoto ya kupumua nawashauri wagonjwa kutafuna tangawizi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Madaktari/ wataalamu wa afya na kinga. Wazee wangu wana umri wa utu uzima sasa 65-70s na wote wana shida sana ya kuumwa na miguu. Mzazi wa kiume anashida pia ya magonjwa ya moyo na pia ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A lot of Africans (man and woman) often view foreplay as bad and full of suspicions. Most women feel reluctant to show they enjoy certain play before sex because men will feel suspect if he's not...
0 Reactions
10 Replies
74K Views
Habari za jumapili GT nimeizoea sana juice ya lozea/lozela( mtanisahihisha jina kama nimekosea) ili kuepuka industrial juices na soda,lakin last week kuna jamaa alinambia zina madhara...
0 Reactions
18 Replies
14K Views
Wakuu kwema Nilipata ajali ya pikipiki/ bodaboda siku ya jumatatu nikaumia kwenye mguu na gotini Nilienda kituo cha afya nikatibiwa kidogo naendelea vizuri Sasa hapa kuna jamaa kanambia kuwa...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu. Kwanza poleni na janga la Covid19. Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni mwanaume. Na niko na mpenzi wangu mpya nilimpata hivi karibu. Kabla ya kumpata huyu, hapo awali...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Naombeni msaada jamani kwa mtu anayefahamu njia bora ya asili ya kusaidia mtu kuongeza damu mwilini kwa haraka bila kutumia dawa za hospital.
1 Reactions
38 Replies
91K Views
Mke wangu haoni siku zake inakaribia miezi mitatu, analalamika kuhisi maumivu chini kidogo ya mbavu changa, kama kuchomwa na sindano. Hii inaweza kuwa dalili ya tatizo gani ? Wapi naweza pata...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Yaani mpaka naandika hapa, nadhani yule malaika mtoa roho yuko mfuko wa Shari hapa. Nisaidieni dawa wakuu ya kichwa kuuma na kubana sana, nitashukuru sana ikiwa ya kienyeji. Nb; nimeenda...
1 Reactions
33 Replies
7K Views
Sasa wakuu mimi binafsi nimeona tiba ya kitunguu swaum , tangawizi malimao yamekuwa mazuri sana kwangu, pia natumia sana habat souda na mrungu rungu katika kujitibu Corona Sasa picha linaanza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mara nyingi nimekua nikiamini kwamba yale tunayoyafahamu kuhusu maisha ni machache sana ukilinganisha na yale tusioyafahamu. Kiasi cha miezi kadhaa iliyopita nilisoma utafiti fulani kuhusu hedhi...
5 Reactions
560 Replies
62K Views
Back
Top Bottom