BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU MADA
Naomba msaada wenu,nimeolewa na nina watoto 2 wa kike.nifanyeje ili nipate mtoto wa kiume mana mme wangu anapenda sana watoto wa kiume hivyo ananikosesha...
Watu walio na hali hii huwa wana upungufu wa chembechembe nyekundu kwenye damu mwilini. Hivi ni kumaanisha kuwa miili yao huwa haibebi hewa ya kutosha ya oksigeni. Hali hii inaweza kuwafanya...
Msaada wa haraka mtoto wa miezi 2 analia mpaka napata wasiwasi tatizo linaweza kuwa nini mbaya zaidi maziwa hataki kunyonya.
Kuwa ni kwa wenye udhoefu wa watoto
Habari jf doctor nimekunywa dawa siku ya pili leo dawa ni za malaria mseto zile za kunywa kimoja asubuh kimoja jioni sasa leo muda huu nimejisahau nimekunywa viwili badala ya kimoja naombeni...
Jamani aliewahi kwenda kuziba jino aniambie hapa ilikuwaje? Je, unachomwa sindano ya ngazi kwenye fizi? Hapa ndio naogopa, kajino kangu kametoboka nataka kwenda kuziba niambieni kama hakuna...
Acha kabisa mdau!!
Si unajua jinsi jino linavyotaka sifa usiku? Pale ndo unaapa kabisa kuwa alfajiri utaamkia kwa Israeli mtoa meno.
Siku ya Ijumaa niliamka Alfajiri na kujihimia moja ya Vituo...
Mimi mwenzenu zaidi ya miezi miwili sasa kila siku najisikia kama nimelewa lewa hivi, mawenge mawenge, kichwa nakisikia kizito, kuna wakati kinauma, mara mapigo ya moyo yananienda mbio mara...
Kulikuwa na dawa inaitwa ngetwa3. Nilitumia kwaajiri ya maralia lakini ikaadimika baadae nikawa naiona kwenye maduka ya waindi mtaa wa uhuru kariakoo kwa bei ya juu.
Sasa nina muda mrefu siioni.
Ambaye ameshawahi kujaza jino lililotoboka, kitaalam wanaita ROOT CANAL naomba anipe uzoefu. Mimi niliwahi kusafisha tu jino la huku mwisho yanaitwa magego 2016 ila sikurudi kulijaza mpaka leo...
Wasalaam wakuu!
Naomba msaada juu ya tatizo linalonikabili yapata muda sasa. Ni kwamba mdomo wangu wa chini unabadili rangi yake ya asili na kuwa mwekundu.
Nilitembelea hospitali Dar es salaam...
Wakuu jino langu la mbele limeoza nataka kung'oa na kuweka lingine. Naombemi mnitajie hispitali yenye madaktari wazuri hapa Dar na yenye gharama nafuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar JF Doctors. Nimepata tatizo la mkono kuishiwa nguvu hasa vidole vili vya mwisho nashindwa kuvinyòosha vizuri. Baadhi ya watu nilioqauliza wanasema inaweza kuwa
1. Ulnar nerve compression
2...
Wakuu habari ya saa hizi. Nipo mkoani naomba kwa mwenye ufahamu kwa hili anisaide kujua ni hospitali gani Dar ambayo nitapata huduma ya kufanyiwa vpimo vya mwlil mzma kwa kutumia bima ya afya...
Wapendwa naomba msaada wa wapi nipate Dr mzuri wa meno? Nasumbuliwa na meno ya juu ya mbele kuweka weusi na baadae kumeguka ila hayana maumivu. Nilienda hospitali moja ya meno Dr aliyasafisha tu...
Wanajamii Forum habari za majukumu.
Naombeni msaada wa mtoto wangu kwa kusumbuliwa na kikohozi (anakohoa sana sana mida ya usiku kikohozi kikavu na mida ya mchana hukohoa kikohozi kama...
Your Body Is Acidic. Here’s What You NEED To Do (The Real Truth Behind Cancer). His actually means that the body will become acidic and this will accelerate the development of cancer if the lacks...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.