Wakuu wadau wa JF Doctor, tumetangaziwa kupeleka watoto wetu kupata chanjo ya Rubella, tujifunze hapa kuwa rubella ni nini. Bahati mbaya mimi sources zote nilizo nazo ni za kingereza namwomba mkuu...
Nilifanyiwa upasuaji na kuchomwa sindano ya ganzi kwenye uti Wa mgongo.Baada ya mpaka mguu Wa kulia na mkono kunakuwa kama kuna kitu kinatembea kutoka mguuni mpaka begani Kwa sekunde 1 kinaacha...
Huyu mtoto ana siku 45 toka azaliwe!
Amekuwa anataka kunyonya muda wote ukimtoa kwenye nyonyo anagombana kabisa! Analia saana huku akirusha mikono na miguu! Kuna wakati anyonya anatema maziwa...
FAIDA ZA KUTUMIA MAJANI YA MPERA KWA AJILI YA AFYA YAKO
Chai ya majani ya mpera inasaidia mwili kuwa stadi, inasaidia madini ya carbohydrates yasigeuzwe kuwa sukari ndani ya mwili hivyo kupunguza...
Habari,
Kwa muda sasa nimekua nikipata maumivu ya kichwa kuuma upande mmoja na kujiskia vibaya.
Kabla kichwa hakijaanza kuuma huwa jicho linakua kama halioni vizur then maumivu yaananza kwa...
Habari wadau,
Mwenza wangu analalamika maumivu ya tumbo baada ya kujifungua kwa muda mrefu sasa takribani miezi 8 sasa
Anasema ni ule upande ambao mtoto alikuwa analalia akiwa tumboni kuna...
Samahani naomba msaada wa mawazo au kama Kuna mtu amewahi pitia Hali Kama yangu anisaidie maana Nina miaka mitatu saivi sili chakula vizuri maana naweza ingia mgahawani au hata nikipika nakula...
Hii ni hali inayotokea pale yai la kike lililorutubishwa linaposhindwa kufika na kwenda kujipachika kwenye mji wa uzazi (uterine cavity) hivyo kusababisha mimba kutungwa na kukua kwenye mirija ya...
Homemade face masks can help limit the spread of coronavirus - but they do have downsides, according to a new study.
Seven types of face masks were put to the test by the University of Edinburgh...
Watalamu mbalimbali wa masula ya afya wameeleza ya kwamba ipo haja kubwa sana kwa wanaume kuacha kula baadhi ya vyakula ili kuweza kuyazuia madhara ambayo nimeyaeleza katika Makala haya, kwani...
How to treat coronavirus symptoms at home
There is currently no specific treatment for coronavirus (COVID-19), but you can often ease the symptoms at home until you recover.
Treating a high...
Naomba msaada wenu, kama mtu anasafisha meno yake mara 3 kwa siku lakini bado yana rangi ya 'njano' na sio meupe!
UFAFANUZI NA MICHANGO KUTOKA KWA WADAU
Watu wengine wakiona rangi ya 'njano'...
Meno yangu mengi yana rangi ya kahawia na baadhi yametoboka toboka. Ingawa najitahidi kudumisha usafi wa kinywa kwa kutumia dawa za kawaida za meno inaelekea yanaendelea kutoboka, kumeguka na...
Meno ni muhimu kwa muonekano na sura nzuri. Memo hutusaidia katika kuongea na kuwa na mawasiliano ya kueleweka. Kikubwa zaidi meno ni muhimu katika mfumo wa chakula.
Afya ya kinywa na meno...
Habari wadau,
Niende moja kwa moja kwenye mada takriban tangia korona ianze kumekuwa na visa vya watu mbalimbali kuugua na wengine kupoteza maisha katika nchi mbalimbali duniani ila...
Habari wanaJF,
Kuna mdogo wangu ana tatizo la kigugumizi cha kuongea kiasi kwamba hawezi kuzungumza bila kujipigapiga au kuruka!!Ningependa kujua chanzo cha tatizo hili na pia tiba yake kama...
habari zenu jamani,
Naombeni mnifahamishe iwapo nitamtolea mtu figo. Je, mimi naweza nikaishi kwa aman bila shda yoyote? Na haitakua na madhara yoyote kwa upande wangu?
Naomben ufafanuzi tafadhali
Habari wapendwa mabibi na mabwana. Habari za kazi Madaktari na Wauguzi
Kwa miaka nenda miaka rudi wanawake wasipopata ujauzito, lawama zote wamekua wakitupiwa wao.
Hi ni mbaya Sana kwa sababu...
Imeandaliwa na @doktamathew
Huu ni ugonjwa wa virusi unaoenezwa na mbu aina ya Aedes aegypti na Aedes albopictus. Neno chikungunya limetoholewa kutoka neno la kimakonde(kun-kunyala) ambalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.