Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Mungu apishie mbali maambukizi ya Korona. Mungu alinusuru taifa letu, wananchi, Bara la Afrika na Dunia nzima dhidi ya balaa hili la ugonjwa wa Covid-19, Korona. Mpaka sasa ushauri na elimu...
1 Reactions
3 Replies
930 Views
Habari zenu, naomba kuuliza. Mtu aliye athirika anayetumia dawa kwa mda mrefu akijichoma na sindano alafu akamchoma mtu asiye na maambukizi je mtu anapata virus? Na damu ya mtu mwenye vizur...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Magigo yangu yametoboka yote mawili kulia na kushoto..na siwezi kutafuna vizuri.sijui nifanyeje na sitaki kuyatoa sababu nasikia ukitoa jino kwa mtu mzima halioti tena.naomba msaada nifanyeje...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
BS/MRDT: Umefika hospitali daktari kakusikiliza kisha kwenye fomu yako kaandika ukapime BS/MRDT unashindwa kuelewa ila kwa sababu unaumwa unaenda kupima. Hii BS/MRDT ni nini? Leo acha nikujuze...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Vipimo vya maabara huwa sahihi kama ukipima kile kinachotakiwa kupimwa. Njia ya upimaji tutasema ni bora pale ambapo kipimo kimoja kitapimwa zaidi ya mara moja na kutupa majibu yanayofanana. Kwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu, naombeni ushauri, maana kila mmoja ana sababu zake. Je, baada ya kumwaga, kikawaida unastahili kurudia baada ya muda gani? Hapa tunazunguzia wale ambao hawatumii vilevi au dawa za...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, Naposti kwa niaba ya jamaa yangu. Amekuwa anasumbuliwa na mafua toka mwaka 2006. Asubuhi akiamka anapiga chafya sana, na mara nyingi akitembelea maeneo ya baridi ndio hali...
4 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari za mihangaiko Wakuu Nimekuja kwenu nina tatizo naomba msaada wa ushauri/mawazo ya kitaalamu kuhusu Afya yangu. Miaka mitano iliyopita nilipatwa na tatizo Kwenye kichwa, yaani ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada wana jf huwa naweza nikabanwa na mkojo wa kushindwa kujizuia then nikakimbilia chooni kwenda kukojoa na nikifika huwa natumia nguvu nyingi kukojoa mkojo hautoki kwa haraka naombeni kujua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu Wana jf wenzangu, Naomba mnisaidie, nina shida moja yaani nahisi maumivu kwenye koo, kuna ugumu wa kumeza kitu ila mwili uko poa tu. shida ni hiyo hata nikimeza mate nahisi maumivu...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Sijui niseme elimu zaidi ya corona inahitajika leo nimepanda daladala sasa kuna mtu hajavaa barakoa watu wamecharuka ashuke anasema yeye havai barakoa kwani yeye sio mgonjwa wa sukari corona...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Salaam, Kipindi cha ujauzito kuna mambo mengi yanatokea kwenye mwili wa mama na kufanya mabadiliko ya mwili wake kwa kipindi cha miezi 9. Mara nyingi huwa na hali tofauti kama kutapika...
9 Reactions
10 Replies
10K Views
Wadau mimi na mpenzi wangu tumepima VVU na tupo salama. Mpenzi wangu haenjoy kabisa tendo kwa kutumia kondom na wala hanifichi karaha anayoipata. Pamoja na hayo sijahitaji mtoto kwa sasa hivi...
3 Reactions
32 Replies
98K Views
Habarini wanaJF Aisee kweli hamna kitu kirahisi hapa duniani, almost 2weeks ago nilikuwa naumwa siwezi kula yaani nakuwa na hamu na kitu then nikila kidogo tu najisikia vibaya +kichefuchefu, joto...
13 Reactions
80 Replies
10K Views
Wakuu kuanzia juzi hadi leo kila nikimaliza haja kubwa nahisi maumivu makali kama nimetiwa pilipili baada ya kumaliza haja kuu. Pia kuna wakati huwa nahisi kama kitu kigumu kinaingia haja kubwa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari za siku ya leo. Natumai mtakuwa salama huku mkiendelea vema kulitumikia Taifa. Binafsi namshukuru Mungu kwa vile niko salama na ninaendelea na majukumu yangu ya kila siku. Lengo la thread...
4 Reactions
7 Replies
9K Views
Habari wana jukwaa Kwa miaka ya nyuma nilipokuwa naugua malaria nilikuwa natumia dawa ya SP (Meltakefin) au sindano ya Krolokwini na nilikua napitisha miezi hadi miaka kadhaa pasipo kuugua...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Dawa ya kifua kikali/ kubanwa na mapafu DAWA HII HAIPONYI CORONA BALI INAPONYA EFFECTS ZA KORONA Hapa tunaongelea mimea mitatu kuna mzughwa au jina lingne ikumburi kuna mzumbasha au jina lingne...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
Nikipumua pumzi inaniumiza shingoni hewa ninayoingiza na kutoa H pylol ni positive nina maumivu ya kifua pia pumzi yangu ipo slowly yani kiujumla tu hema yangu sio ya kawaida msaada tafadhari...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuwa mnene wa mwili wa kupindukia kunafahamika kuongeza hatari ya mtu kupata magonjwa kadhaa, mkiwemo magonjwa ya moyo na kisukari aina ya pili. Utafiti wa awali unasema huenda unene wa...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom