Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Corona inaingilia machoni, puani na mdomoni. Tunafunika mdomo na pua kujikinga na corona. KWANINI HATUFUNIKI MACHO KUJIKINGA NA CORONA? Nawasilisha.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zangu wa JF salam kwenu, Kwa wataalam na wenye uelewa wa mambo ya afya naombeni elimu kidogo kuondoa hofu niliyonayo na umri huu akili imevurugika kabisa. Nilitoka safari jana nikiwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari jf Nadhani sijakosea kuweka hii post yangu ktk jukwaa la jf doctor Shida yangu ni kwamba ninasikia kuwa mtu mume akiwa na sauti nzito mpaka kiasi ya kutosikika vizuri huwavutia Wanawake...
3 Reactions
155 Replies
25K Views
Habari wanabodi, Mnaweza shangaa leo kuja na uzi huu wa Saratani ya Utumbo mpana, kifupi mi si tatbibu na wala sina fani yoyote ya namna hiyo, bali mambo haya yakikukuta ndo utayajua, sometime...
4 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari wanabodi, Mnaweza shangaa leo kuja na uzi huu wa Saratani ya Utumbo mpana, kifupi mi si tatbibu na wala sina fani yoyote ya namna hiyo, bali mambo haya yakikukuta ndo utayajua, sometime...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Closed
Kwa mujibu wa wataalamu wa afya, ‘surgical masks’ na mask aina ya N95 hazipaswi kufuliwa wala kuvaliwa zaidi ya mara moja. Baada ya matumizi, ikiloa au kila baada ya saa 4, mask ivuliwe kwa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Before you try Kujifukiza, know that the virus is stable at 56°C for 30 minutes. Now, can your throat and Lungs survive 56° C for 30+ Minutes? • Human Body Temperature is 37°C • Human skin (which...
10 Reactions
143 Replies
15K Views
jamani naombeni mnisaidie coz sijui na kuuliza sio ujinga.my wife anapofikia kilele wakati tuna do huwa anapoteza fahamu kwa muda mpaka nimpepee au nimfutefute usoni kwa kitambaa chenye maji ya...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari wakuu, Naomba kujuzwa hospitali (doctor) nzuri kwa magonjwa ya watoto specifically ya ngozi kwa dodoma. Ahsante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau nimeona ku-share na nyie jambo hili huenda ikawa sababu ya kusaidia kuokoa uhai wa watu wanaosumbuliwa na maradhi hayo, ikumbukwe kwa sasa Dunia inapita kwenye taharuki kubwa ya ugonjwa unao...
4 Reactions
39 Replies
12K Views
Ni maradhi yanayotokana na machafuko ya maini, na matumbo ambayo inasababisha kuhara ambapo kuna kamasi au damu katika kinyesi. Bila kutibiwa ugonjwa huu unaweza kusababisha kifo. Dalili na...
0 Reactions
116 Replies
82K Views
Wapenzi na wanandoa wengi hivi leo wanapoingia kitandani tayari kwa kuianza safari ya kupeana haki zao za msingi hushindwa kufurahia tendo na hasa hali hii hujitokezwa kwa wanawake kwani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Punyeto imenifanya nimepata tatzo la masikio nikiongea na watu sauti naziskia ila maneno kuyatambua nashindwa nifanyaje nirudi kwenye hali ya kawaida naishi maisha ya kipweke tu kutongoza ndio...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Wakuu poleni na stress za corona.. Swali langu ni moja tu, hivi kwanini kirusi kinachoitwa HIV hakijawahi kuonekana popote tofauti na mwenzake COVID-19. Kila mahali mitandaoni na kwingineko...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Kimekuwepo kilio cha muda mrefu toka kwa wadau mbalimbali juu ya Tatizo la Kuvimba fizi. JF imeonelea ni vema iusimamie mjadala huu kwa...
0 Reactions
255 Replies
140K Views
Garlic Kills Brain Cancer Cells Without Side Effects by Dave Mihalovic PreventDisease.com Cancer cells have a high metabolism and require much energy for rapid growth. Researchers reported in the...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF, Nauliza kwa yeyote ambaye ameshawahi kuona dawa hii, D-Mannose, 500 Mg ni Supplement. kama ipo naweza kuipata wapi? Nitashukuru sana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je, wewe mwenzangu unajiuliza mwisho wa kuvaa barakoa ni lini ? Mfumo wa upumuaji ni kuvuta Oksijeni na kutoa Carbon dioxide kwa kiwango sahihi . kwa hakika nimechoka kuvaa barakoa, watu...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
UFAFANUZI WA JUMLA WA TATIZO HILI Hakika mapenzi ni matamu hakuna asiyelifahamu hili na mapenzi kwa kawaida hushirikisha vishiriki ngono kama kupapasana, kubusiana na hata mambo fulani ya kula...
2 Reactions
267 Replies
284K Views
Mti huu sio mgeni kwa tiba kwa baadhi ya nchi za Africa, siku za nyuma pia ulikuwa ukitumika kutibu malaria na maradhi mengine madogo madogo, Madascar wameendelea kugawa bure na kuhamasisha...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom