Ndugu wana jamiiforum, naombeni msaada wenu, nasumbuliwa sana na kifua.
Dalili ninazoziskia mpaka muda huu ni hizi hapa:
1. Kwanza nianze kusema sikohoi kabisa, nikimeza mate naskia mkwamo wa...
Wana jamii forum naomba ushauri nina mpenzi wangu ambae hapo mwanzo alikuwa ni mzima lakini baada ya kuachana kidogo kuringana na mazingira Mara tulipo rudiana nilimwomba tupime ila alikuwa...
Kwa anaefahamu aina ya dawa za kuongeza uzarishwaji wa kiwango cha hormone ya testosterone tuwasiliane nazihitaji hizo dawa wadau.
Maana nahisi kama ufanisi umepungua .
Sent using Jamii Forums...
Sabuni hufanya kazi kwa kuharibu Molekyuli za kirusi cha Corona hasa Molekyuli za mafuta zinazounda ngao ya nje inayozunguka kirusi
Ngao ya nje ya kirusi ina mafuta ambayo hukisaidia kirusi...
Kwa sasa kuna wimbi kubwa la watu ambao wanasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume, wengi wao matatizo yao yanatumiika kwa kubadili mfumo wa maisha tu na wachache ambao wamejiharibu kwa kujichua na...
Habari JF,
Kuna hii condition wataaramu wanaita "Neonatal Mastitis" au "enlargement of breast for a newborn" ambapo mtoto wa baada ya kuzaliwa anavimba matiti awe wa kiume au wakike baadae...
Ni vibaya ya kwamba kwa sababu ya kukosa fedha watu wengi katika nchi za joto wanateseka
kwa kutokana na njaa. Lakini pia ni vibaya zaidi ya kwamba wanateseka ya kuwa jibu la
kupata matangazo...
Habari za usiku,
Bila kuchelewa naomba nitoe dukuduku langu. Kwenye ofisi yetu kuliku na kijana wa field ambae aliondoka week mbili zilizopita, lakini Leo huyo kijana akeniambia kwamba amepima na...
Nahisi kama mtu kaikamata shingo yangu muda wote yani imekuwa nzito na mda mwingine kama mwishoni mwa koromeo imebeba kitu na kuchoma choma muda mwingine nikiidomasa inauma kifua pia kama...
Wanabodi,
Kufuatia malumbano yanayoendelea kuhusu ugonjwa wa Dr. Mwakiyembe. Hatimaye leo Dr. Mwakyembe mwenyewe ameka wazi ugonjwa unaomsumbua ni
Dk. Harrison G. Mwakyembe (Mb)...
Tetradenia riparia .ni mmea unaopataikana sana afrika na inadaiwa hapa Tanzania upo sana sijui kwa kabila lako unaitwaje kama hujui uliza tusaidiane kuupata tunywe sio lazima tuagize.
Rais wa...
Kila mmoja wetu ana nafasi sawa ya kupata maambukizi ya Virusi vya #Corona lakini athari baada ya kuambukizwa hutofautiana kutegemeana na kinga ya mwili
Endapo una maradhi ya Shinikizo la Damu...
Habari za jioni wanajamvi
Mimi ni medical personnel. Ningependa kutoa walau mchango wangu wa mawazo katika ugonjwa huu wa COVID 19 na namna bora ya kuukabili ugonjwa huu.
Siko hapa kwa ajili ya...
Herd immunity (population immunity, herd effect, community immunity or social immunity ) au kwa tafsiri ya kiswahili kinga ya jamii, kinga ya kundi.
Nianze kwa mfano: Nyumbani mnaishi watu 10...
UTANGULIZI
Barakoa (mask) ni kikinga pua na mdomo na ni nyenzo muhimu inayoweza kutumika kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya vimelea vya maradhi kupitia njia ya hewa. Kuna aina mbalimbali za...
Habari wakubwa,
Naenda kwenye tatizo kuna siku nililalia bega vibaya, sasa tokea siku hiyo bega limekufa ganzi na lina uma.
Yaani na lala kwa tabu sana wakuu tiba ni nini naombeni msaada wenu...
Katika kipindi hiki cha kukaa ndani watu wamepunguza mizunguko ambayo inasaidia kama mazoezi madogo madogo. Sasa leo naomba tujifunze ni namna gani mtu anapata kitambi, Kitambi ni nini hasa...
Salam wakuu,
Ni siku ya tano sasa nasumbuliwa na Kiungulia (Bile......), haijalishi nimekula aina gani ya chakula basi ni shida tu. Nimejaribu kuomba ushauri kwa watu nao wakasema ni tumbo chafu...
Wakuu kwanza napenda kuwasalimu wadau wote kutoka Jamii forum,
Mimi ni kijana wa miaka 21 nimetimiza umri huo kama last 3 weeks hiv, kipindi Niko secondary form2 niliingia katika huu mchezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.