Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habarini wakuu, kuna yoyote anaweza nifafanulia tiba ya tatizo tajwa apo juu? korodani zangu pamoja na uume vimeshrink sana, hii pengine ilisababishwa na punyeto niliyokua napiga kipindi icho...
1 Reactions
18 Replies
46K Views
Habari za jioni wapendwa! Je ni sahihi kumpa mafuta ya samaki mtoto wa miezi miwili? Mtoto wangu anasumbuliwa na mafua makali sana! Nimempeleka Hospitali nmepewa dawa lakini bado! Yaani hayatoki...
0 Reactions
11 Replies
38K Views
Katika jitihada za kupambana na Corona tumekuwa tukipata habari na taarifa mbalimbali jinsi ya kujikinga. Moja ya njia zinazoshauriwa ni kufunika mdomo kwa kitambaa pale unapopiga chafya ili...
1 Reactions
3 Replies
721 Views
Wote mnaoshabikia ujinga wa Madagaska, mnajidanganya na kupoteza muda, hamna tofauti na Kinjekitile na Vita ya maji maji tulishatoka huko, isitoshe kama haumini Sayansi iliyopo basi fungeni Vyuo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau habari zenu mimi ni mwanamke tatizo langu nikila chakula chochote baada ya muda nacheua kila mara kile chakula nnachokula inanikera sana naomba kujua ni tatizo gani na tiba yake ni nini
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Hivi ndivyo serikali inavyocheza na moto! 👉Suspects wote wenye mild symptoms HAWAPIMWI 🦠badala yake watatibiwa hizo symptoms na kurudi home 👉moderate to severe watatibiwa then wasipoonyesha...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wapendwa wana JF na wataalamu wa mambo ya harufu. Mimi huwa sihisi/sisikii harufu ya aina yoyote toka niwe na fahamu sasa sijui kama ni tatizo au ni kawaida kwa baadhi ya binadamu. Toka nikiwa...
1 Reactions
28 Replies
8K Views
Wakati wanasayansi duniani wakihangaika kupata chanjo na tiba ya virusi vya corona, rais wa Madagascar Andry Rajoelina amezindua dawa ya mitishamba ''inayotibu'' Covid-19 . Hata hivyo Shirika la...
6 Reactions
151 Replies
25K Views
Mimi ni Economist ila nimesoma biology mpaka form four na nielewavyo respiratory ni mfumo wa upumuaji yaani respiratory system. Nimeona mara nyingi sana mgonjwa anapofariki katika death...
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Jamani naombeni msaada mwanangu anasumbuliwa sana, Mwili hadi kichwani kinakuwa na moto iwe wakati wa joto au wakati wa baridi hali inabaki ileile, tumetumia panado kila siku kushusha joto lakini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya kupima mkojo wa binadamu kwa kutumia MRDT ambacho Ni kipimo kinachotumika kupima Malaria, nilitegemea majibu yangekuwa Invalid au undetermined lakini Cha kushangaza kipimo kimeonyesha...
2 Reactions
35 Replies
6K Views
Poleni na majukumu wana jamii wenzangu, naomba kufahamishwa zaidi kwa hiki ambacho nimezoea kukiona bila kukifuatilia kwa undani, maziwa huzuiaje madhara ya sumu mwilini? Nawasilisha MAJIBU...
1 Reactions
29 Replies
16K Views
Salaam sana niende moja kwa moja katika lengo la uzi huu nimekua nikikosa choo kwa myda hata wa siku tano kiasi kwamba kama isingekua haja ndogo choo ningekua nakiona tu wakati wa kufanya usafi...
0 Reactions
70 Replies
11K Views
Hello wana JF, Naombeni msaada wapendwa, naumwa viungo vyote vya mwli nimeenda kupima Daktari akasema nina Rheumatism, ameniandikia dawa hamna unafuu wowote ,nimeambatanisha vielelezo alivyonipa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Simple logic! Yaani kitendo cha kufanya mazoezi na kutoa jasho ni kujifukiza. Msio complicate sana. Ishu kubwa ni 'mvuke' ili 'utoe jasho la kutosha'. Kimbia utoe jasho, hapo unajifukiza...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum, Leo najitokeza kwenu wadau ili muweze kunisaidia tatizo nililonalo. Tatizo hili nimehangaika nalo mpaka nimekwama, so najua humu naweza kupata mtu aliyewahi kuwa na...
8 Reactions
103 Replies
19K Views
Habarini za mihangaiko wakuu, Nahitaji kujua sababu za ujauzito kutoka,, Nina kesi moja ya Wife, alikua anasumbuliwa sana na tumbo kipindi cha ujauzito na damu zikawa zinatoka, kwa muda wa wiki...
1 Reactions
2 Replies
9K Views
Matatizo ya kifua wakati wa ujauzito huweza kutokea kwasababu mwili wako unakua na mabadiliko wakati wote wa ujauzito, na mabadiliko kadhaa yanaweza kusababisha maumivu kwenye kifua chako...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Jana wakati napitia Uzi mmoja kuhusu yiba za asili,nikambuka marehemu Bibi yangu. Utotoni Bibi alionionesha mti fulani ambao ukisikia kikohozi unakata kipande unakipitisha kwenye Moto unatafuna...
3 Reactions
9 Replies
5K Views
Salaam wanaJF wote. Nina ndugu yangu ametokewa na kiuvimbe/kifundo nyuma ya kiganja cha mkono karibu na ankle. Mfano wake ni kama picha hizi: Wakati kinaanza kutokeza anasema kilikuwa kinauma...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Back
Top Bottom