Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari zenu wana Jf, Nataraji mpo salama pamoja na Familia zenu Niende kwenye lengo. Mimi kama mmoja wa wale waliopata dalili juu ya Gonjwa hili la Corona,Takriban Dalili zote nilikuwa nazo...
9 Reactions
19 Replies
3K Views
Lakini jitokeze leo hadharani utangaze hivyo kama hujakamatwa kwa kutoa tiba isiyothibitishwa kitaalamu. Mimi nimezaliwa kijijini, nimetumia mitishamba sana. Nimekunywa sana mwarobaini, mjohoro...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Kegel exercises for men Controlling ejaculation is a huge issue for many men, one that they are often too embarrassed to bring up. How do I control myself? How can I last longer, be firmer and do...
0 Reactions
94 Replies
48K Views
Wapendwa ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mungu anawasaidia katika mambo yenu Naomba niende kwenye hoja, nilikuwa nasumbuliwa na tatizo LA moyo kuwa na Mapigo ya chini na wakati mwingine...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
P { MARGIN: 0px } UL { MARGIN-TOP: 5px; MARGIN-BOTTOM: 5px } OL { MARGIN-TOP: 5px; MARGIN-BOTTOM: 5px } Drug Search Heart attacks don't always strike out of the blue -- there are...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Let's get straight to the heart of the matter--the heart's job is to move blood. Day and night, the muscles of your heart contract and relax to pump blood throughout your body. When blood returns...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Hellow viongozi, Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo Binafsi ni kijana 20s kazi yangu inanilazimu kuwa kwenye computer kwa muda mwingi mpaka kwa masaa (12) tatizo ni kwamba macho yangu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakati nikikua, kule kwetu, kucheua kwa nguvu iliashiria shibe. Na kila ilipotokea inalazimu wenzio waliopo karipu wa kufagilie; kama ni mkeo atakwambia "Njiko/Nkabako yani"-ikimaanisha mume...
1 Reactions
10 Replies
22K Views
Habar za muda huu wadau wote wa JF. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Hakuna asiefahamu janga linaloendelea kipindi hichi duniani kote, juu ya ugonjwa huu hatar wa Corona" unaoambukizwa na...
4 Reactions
41 Replies
7K Views
Habari wana jamvi naomba kuuliza swali hili mwenye uwezo wa kujibu anijibu maana huwa najiuliza kuwa wengi wanaopona corona kuwa kinga yao ni kubwa zaidi kuliko wale wanaofariki. Je, ikitokea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Amani na Salama Ndugu. Kamati imejitahidi kudadisi dalili za awali za ugonjwa huu kutoka kwenye machapisho mbalimbali ya kisayansi, vyombo vya habari, simulizi za madaktari, wauguzi, wagonjwa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu kwema. Nilipimwa week moja iliyopita nikaonekana kuwa jicho langu lina allergy na lina vipele kwa ndani,hivyo specialist akanipa hizi dawa IVYDEXONE eye drops na PYRIMON Dexamethasone...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Salaam wataalam, Naombeni msaada mnijuze Dawa nzuri ya kutibu malaria Siku za hivi karibuni nimekua naugua ugua malaria Mara kwa Mara Tangu udogoni Dawa yangu ilikua Meltakefin but nowadays...
0 Reactions
16 Replies
19K Views
Naomba mnisaidie kunafaida au hasara pale mtu anapoamua kwenda sauna vilevile kuna faida au hasara mtu anaipata pale asipokwenda sauna?
0 Reactions
22 Replies
20K Views
Hii ni hali ya kuhisi maumivu kooni kama kuna kitu kimekwama kooni (lump in a throat). Uchunguzi unaweza kufanya lakini ukagundulika hauna kitu chochote kooni. Kwa kipindi hiki cha gonjwa la...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ijue ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona Watu wengi wanasambaza taarifa za uwongo juu ya Corona kwenye mitandao. Kama daktari na mtafiti wa afya niliyazungumzia baadhi ya hizo taarifa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
NATURAL REMEDY FOR CLEANSING THE WOMB, OVARIAN CYST, or PCOS, FOLLOPIAN TUBES and LOW SPERM COUNT This mixture work magic!! #Guava Leaves and #Soursop Leaves HOW TO PREPARE Take moderate of...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
  • Closed
Fanya Mikutano na Vikao kwa Njia ya Video: VideoTime (bure), Jami (bure), Jitsi Meet (bure) Watu wengi ulimwenguni kote wamekuwa wakitumia Zoom, na kuongezeka hivi kwa watumiaji wapya kumeleta...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello members! Naomba kufahamishwa vyakula hasa vya asili vinavoleta hamu ya kula. Vitamin B- complex hizi dawa kwakweli zina harufu kali sana nikimeza ile harufu binafsi huwa inabaki kooni...
0 Reactions
8 Replies
16K Views
Wapendwa wanajamvi umofia kwenu!!!!! Mimi ni mgonjwa naishi nje ya Dar! Napenda kujua ni hospital gani iliyopo Dar ambapo naweza pata huduma nzuri kitengo cha njia ya mkojo na uzazi (Urology)...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom