Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wandugu nitumie dawa gani au nifanye nini? kuepukana na mafua mana yana takriban mwezi mzima hayaponi. Yanatulia siku moja inayofuata yanaanza upya na mara nyingine yanatoka kama maji. Nijuzeni...
0 Reactions
42 Replies
11K Views
Wapi nitapata kipimo hiki ukiondoa hospital ya mkoa ambapo mashine yake imeharibika. Nakihitaji ili kuthibitisha tatizo la appendicites kabla sijafanyiwa upasuaji...!! Je, Kolandoto hospital wana...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
There is a sharp contrast between how African nations and the rest of the World utilized traditional medicine in the fight against COVID-19 pandemic outbreak. In Africa, the African traditional...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajamvi habari za asubuhi, Kuna Jambo ninaomba niwashirikishe nikuwa siku ya Alhamisi iliyopita nilikunywa pombe kumbe nimezidisha, matokeo yake siku ya Ijumaa nilishinda naumwa vibaya sana...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Nilikuwa naulizia, hivi mtu anapomaliza ku-do na Shahawa akamwagia nje huwa zinachukua Muda gani kukauka? Na Je Shahawa bora zenye mbegu utazijuaje!? Asante sana, nahitaji majibu niweze kupata...
1 Reactions
42 Replies
28K Views
Jamani kuna dawa zinazo ondoa infenction ya sulphur pindi mtu unapo kunywa Metakeflyn au Fanzida za kutibu malaria. Mwenye information anipe data.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habar drs. Niliugua malaria ktkt ya mwezi huu wa tatu 2018. Nkatibiwa na dawa ziitwazo malafin. Baada ya sku moja nkaanza kuhisi kizunguzungu na kuishiwa nguvu..pia kifua kuuma na kukohoa usku...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Msaada ndugu zangu, hizi dawa za kiislam za kisunna kwa mliowahi zitumia ni kweli zinasaidia?
0 Reactions
119 Replies
32K Views
Wakuu nimekuwa nikisumbuliwa na typhoid kwa muda mrefu. Natumiaga dawa aina ya Ciprofloxciline siponi. Je, kuna sindano za typhoide? Msaada please.
0 Reactions
16 Replies
18K Views
Jamani naomba msaada kwa anayeweza kutambua hili tatizo,naona kucha yangu inabadilika kila kukicha Na nikishika maji ndo kabisa inauma sana Naomba msaada nifanyaje au nitumie dawa gani na Hilo ni...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba kuuliza hivi Wazungu nao wanaathirika kwa UKIMWI? Maana huwasisikii habari zao kuwa wanaugua, na kama wanaugua mbona habari zao hazisikiki kama huku kwetu AFRICA. Au wao wanapewa CHANJO...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nazi ikiliwa na binadamu hugeuza aina hizo za mafuta kuwa tindikali ambayo kitaalamu huitwa ‘medium chain fatty acids’ au kwa kifupi (MCFA’s) ambazo huua na kutokomeza virusi vya aina mbalimbali...
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Kifua na mgongo vinakuwa kama vimetiwa pili pili niliwah kucheck H paylol kipimo kilikuw positive nikapewa heligo kit box mbil na lecer gelly dose zimeisha lakin sina uhafadhali na nina mawazo ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Je uume wangu una urefu sahihi?? Ni swali ambalo kila mwanaume hujiuliza, ili kujiridhisha na kuwa mwenye kujiamini pale anapokutana na mwanamke Yafuatayo ni majibu kwa maswali yote kuhusu uuume...
4 Reactions
70 Replies
21K Views
Nilikuwa nikisumbuliwa muda mrefu na kero ya upele wa ndevu baada ya kunyoa kiasi cha kutamani kutokuwa na ndevu, nilitumia aftershave nyingi ila hazikuwahi kunipa matokeo mazuri, nilishauriwa...
6 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa mwenye kufahamu, naomba aniunganishe na gynecologist (daktari wa magonjwa ya mfumo wa uzazi wa mwanamke). Nitashukuru kupata mawasiliano yake na kujua ofisi yake ilipo.
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Nusu ya wanawake wote wajawazito hupatwa na tatizo la kujisikia kichefu chefu na kutapika; ni mojawapo ya dalili kuu za ujauzito. Husababishwa na kuongezeka kwa hormone mwilini, mara nyingi...
3 Reactions
32 Replies
70K Views
Habari zenu wataalam mbalimbali wa kundi hili la Jf. Ninaomba msaada wa kushauriwa. Nina mtoto wa miezi 5. Tokea azaliwe hajawah kula chochote zaidi ya maziwa ya mama, na lengo langu hadi atimize...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Mtoto mchanga chini ya miezi sita hapaswi kupewa chochote kile tofauti na maziwa ya mama, mtoto mchanga chini ya miezi sita hatakiwi kupewa maji, kwasababu maziwa ya mama yana maji yakutosha ndio...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari: Wahenga wanasema mficha maradhi kifo humuumbua, hivyo sina budi kuweka wazi tatizo linalonisumbua kwa muda mrefu. Nimekuwa nachanika mwili mithili ya mtu alonichana na kiwembe kwa ncha ya...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom