Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
https://www.bbc.co.uk/news/amp/health-46973641 Joto duniani linaongezela sawia na kuzaliana kwa wadudu ambao ni sugu kwa kwa dawa. Hili ni janga la dunia. Antibiotics zinatumika sana, sasa...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Jamani hali hii inanisumbua kila ninapokula , kuna chakula hubakia kooni hivyo hunifanya ninywe maji mara kwa mara ili kukulazimisha kishuke tumboni, lakini bado hung'ang'ania kooni na kuniletea...
2 Reactions
56 Replies
11K Views
Wakuu habari ya muda, anayejua hospitali nzuri ambayo kuna vipimo bora vya mtu mwenye uvimbe kwenye shingo au Daktari mzuri apa dar es salaam ambaye anahusiana na vimbe katika mwili mfano...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
, nimekua nikiskia mmea huu unaojulikana kwa jina la mvumbasi hutibu magonjwa mengi, je kunaukweli wowote kuhusiana na tetesi hizo??? Naomba mtufahamishe unatibu nini na maandalizi yake yako vip...
1 Reactions
3 Replies
13K Views
Many of my clients come to me with the same story: "My doctor says my test results are normal—but I still feel like my hormones are out-of-whack. Can herbs help?" Their symptoms vary. One woman...
2 Reactions
6 Replies
9K Views
Wakuu, mie nilipokuwa napatwa na tonsil miaka ya 80 mpaka 90 nilikuwa nadingwa sindano ya PPF (Procaine benzylpenicillin) kwa siku tana. Dawa hii ilikuwa inanitibu haswa kwani siku ya mwanzo...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari wanaJf, Ni furaha na pongezi kubwa wa serikali,vyombo vya habari pamoja na mtu mmoja mmoja kwa kutoa taarifa juu ya maambukizi na dalili za ugojwa wa ugonjwa wa COVID-19. Kutokana na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua . Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa ...
0 Reactions
91 Replies
13K Views
  • Closed
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) limetoa taarifa ya kusisitiza kuwa kuambukizwa ugonjwa huo unaosababishwa na Virusi vya Corona si mwisho wa maisha Imeelezwa kuwa Watu waliopata...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Msaada wenu jamani, Je? inachukua mda gani virus vya UKIMWI kujitokeza baada ya kutoka kushiriki tendo la ndoa na mtu mwenye virusi hivyo (mtu aliyeathirika), Je? unaweza kushiriki leo tendo alafu...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu yaani tangia ijumaa iliyopita sipo vizuri, tangia ijumaa nasumbuliwa na -homa Kali -kichwa kinauma -joint kwenye magoti naumwa -nyao za miguu zinauma Kama zinawasha -maumiva/ Kama kuwashwa...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
  • Closed
Watu wamekuwa wakiendelea kuitikia wito wa kukaa nyumbani na kuepuka mizunguko isiyokuwa na ulazima ili kujilinda dhidi ya maambukizi ya #COVID19. Hata hivyo watu wamekuwa wakijihusisha na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
NI SEHEMU GANI HATARISHI ZAIDI KWA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA #CORONA? Sehemu za kuepuka kabisa Sehemu za starehe kama vilabu na baa, migahawa, nyumba za mazoezi, saluni, sehemu za kuangalia...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada jaman, Nina tatizo la mdomo kuwa na ladha ya uchungu na viungo vya mwili kuuma nini tatizo? nimezunguka hospital mbalimbali na kuchukua vipimo mbalimbali na jana tu nimepima UKIMWI lakini...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Salaam JF, Kama mtaalamu wa afya Mungu amenipa msukumo wa kukusaidia kiushauri juu ya changamoto ya kiafya inayokukabiri. Wataalamu tunaamini kutambua msingi wa tatizo ni hatua mhimu katika...
20 Reactions
223 Replies
23K Views
Kichwa changu baada ya kuwa na msongo wa mawazo wa mda mrefu naona kwa ndani kama kuna washa kama kizito yani hata sikielew nitumie dawa gani mwanzo hakikwepo ivyo ila sioni kama kinauma...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mayai yana protini, vitamini na madini. Hata hivyo mayai yana lehemu kwa wingi. Yai moja lina 213 mg za lehemu (cholesterol) ambazo huhitajika mwilini kwa siku. Hivyo ni bora kupunguza matumizi...
12 Reactions
25 Replies
13K Views
Sio kila mask inaweza kukusaidia kuepuka Corona Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wasalaaam wanaNzengo Kuna jambo hapa napenda kupewa ufafanuzi juu ya mabadiliko ya harufu ya papuchi Iko hivi nimetembea na mademu wengi sana ,ila baadhi niliexperience mabadiliko ya harufu za...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
kuna ripoti naisoma hapa inasema Wazungu 61000 wamekufa marekani kutokana na mafua ndani ya mwaka mmoja.hii ripoti ilitolewa na ikulu ya marekani muda mfupi tu kabla ya hili vugu vugu la corona...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Back
Top Bottom